Mi unavyoandika tu nachora picha kuchwani ya hilo guu mmm
Nilipata umaarufu shuleni kwangu baada ya kushinda mashindano ya uandishi wa barua Zanzibar mzima mwaka 2004 nilipokuwa darasa la saba nilikuwa mshindi wa mwanzo kwa primary kwa shule zote na zawadi tuliitwa kwenda kuchukulia posta ya kijangwani, kwakweli nilitokea kujulikana sana kwa wanafunzi na walimu.Endapo ndiyo. Ni kitu gani kilikupa umaarufu?
Hahaha, sawa. Ila tunaamini kuna characteristics zimebaki baki.
Bwanawe! wowowo si mchezoUrefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,
KITU kilichonipa umaarufu O-LEVEL nilipendwa na mtoto mkali kuliko wote shule nzima (baba yake alikua mhindi mama yake muarabu), walimu, mabishoo, ma genius wa shule wote walimuimbisha dogo lakini dogo aligoma akawa ananielewa mimi tu,, (Pitia ID yangu kuna uzi nimesimulia kisa hiki unaitwa "KOSA LANGU")
Kilichonipa umaarufu baada ya kupendwa na uyu mtoto mkali, ni kwamba nilikua domo zege, dogo alijilengesha lakini wapi mzee sina habari, jamaa yangu alikua anakula rafiki yake, wote wanajadili pamoja na demu mwenyewe jinsi gani niwe na mtoto lakini wapi, mzee sina habari kichwani mwangu nilikua naiwaza man u, mpira na kutumikia altare kupiga chetezo.. .
Sasa siku moja katika harakati za hapa na pale skuli natembea mara paah mtoto uyu hapa anakuja mbele yangu, mimi ni nani bwana mpaka nikutane nae, mzee uyo nikakunja njia kwenda ofisi ya waalimu ile kuingia tu ndani nikakuta kupo kimyaa kumbe kulikua na kikao, ticha mmoja akaniuliza eenh vipi? mi lile wenge nikasema mwalimu ABC kanituma chaki kumbe lile wenge yule ticha alikuepo mle ofisini sikumuona akasema we dogo mi si nipo hapa.
Basi ticha alokua anafukuzia yule dg na anajua mi ndio kikwazo akadakia show wazee fimbo nilizochezea pale kama ingekua ni mtaji basi leo hii ningekua milionea, nilivopigwa nikajua kesi imeisha kumbe wapi bwana kesho yake parade yule ticha akaja kaniita kama wewe ni kijana upo kidato cha nne na kuna demu unamuogopa yupo kidato cha kwanza njoo hapa mbele utoe morning speech, mzee nikakaza wapi ticha kanifuata kanishika mkono mpaka pale mbele akani dis kinoma afu akanipachika jina la Domo gundi, mwisho akanipa adhabu ya kutoa morning speech wiki nzima, na viranja walivokua wananiita Welcome domo gundi ilifanya niwe maarufu sana shule nzima
Ilikua mwaka 2010 au 11 kitu kama hicho, Leo hii uyo dada ni best yangu sana sema kila tuki chat ananitania sana, mwisho wa siku tumebaki kua marafiki wakubwa na mimi niliishia kua mpenzi mtazamaji lakini maarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
OkSawa
Kuna kitabu nilisoma, sikumbuki jina ila kuna msitari wa "Winners Write History".
Akafafanunua kwamba what is written about the past is probably not what aspired, only what the writers thought we will appreciate how brave they were.
In that sense, the reality unaipata kwa wale ambao write-ups zao ziko rejected au banned.
Vyote nilivisahau huko ngoja nikavirudie labda nitafanikiwa kutikisa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKITU kilichonipa umaarufu O-LEVEL nilipendwa na mtoto mkali kuliko wote shule nzima (baba yake alikua mhindi mama yake muarabu), walimu, mabishoo, ma genius wa shule wote walimuimbisha dogo lakini dogo aligoma akawa ananielewa mimi tu,, (Pitia ID yangu kuna uzi nimesimulia kisa hiki unaitwa "KOSA LANGU")
Kilichonipa umaarufu baada ya kupendwa na uyu mtoto mkali, ni kwamba nilikua domo zege, dogo alijilengesha lakini wapi mzee sina habari, jamaa yangu alikua anakula rafiki yake, wote wanajadili pamoja na demu mwenyewe jinsi gani niwe na mtoto lakini wapi, mzee sina habari kichwani mwangu nilikua naiwaza man u, mpira na kutumikia altare kupiga chetezo.. .
Sasa siku moja katika harakati za hapa na pale skuli natembea mara paah mtoto uyu hapa anakuja mbele yangu, mimi ni nani bwana mpaka nikutane nae, mzee uyo nikakunja njia kwenda ofisi ya waalimu ile kuingia tu ndani nikakuta kupo kimyaa kumbe kulikua na kikao, ticha mmoja akaniuliza eenh vipi? mi lile wenge nikasema mwalimu ABC kanituma chaki kumbe lile wenge yule ticha alikuepo mle ofisini sikumuona akasema we dogo mi si nipo hapa.
Basi ticha alokua anafukuzia yule dg na anajua mi ndio kikwazo akadakia show wazee fimbo nilizochezea pale kama ingekua ni mtaji basi leo hii ningekua milionea, nilivopigwa nikajua kesi imeisha kumbe wapi bwana kesho yake parade yule ticha akaja kaniita kama wewe ni kijana upo kidato cha nne na kuna demu unamuogopa yupo kidato cha kwanza njoo hapa mbele utoe morning speech, mzee nikakaza wapi ticha kanifuata kanishika mkono mpaka pale mbele akani dis kinoma afu akanipachika jina la Domo gundi, mwisho akanipa adhabu ya kutoa morning speech wiki nzima, na viranja walivokua wananiita Welcome domo gundi ilifanya niwe maarufu sana shule nzima
Ilikua mwaka 2010 au 11 kitu kama hicho, Leo hii uyo dada ni best yangu sana sema kila tuki chat ananitania sana, mwisho wa siku tumebaki kua marafiki wakubwa na mimi niliishia kua mpenzi mtazamaji lakini maarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata umaarufu shuleni kwangu baada ya kushinda mashindano ya uandishi wa barua Zanzibar mzima mwaka 2004 nilipokuwa darasa la saba nilikuwa mshindi wa mwanzo kwa primary kwa shule zote na zawadi tuliitwa kwenda kuchukulia posta ya kijangwani, kwakweli nilitokea kujulikana sana kwa wanafunzi na walimu.
Nilipoingia secondary nilifanya tena mashindano kama hayo ya mwanzo mwaka 2006 baada ya kupata taarifa ya mashindano hapa sikutokea mshindi wa mwanzo lakini nilipata zawadi za ushiriki.
Kwakweli kila pakiletwa taarifa kama hiyo shuleni nikielezwa na kushiriki mpaka nilimaliza mbanda.
Umaarufu wangu ulikuja kwa mtindo huwo, uchoraji(hapa wanafunzi wakitoka madarasani mwao ili niwachoree), uandishi mashá Allah nilipokuwa form four 2009 tulipewa project ya geography mada (photography) kwakweli niliuchonga mchele wa hati nilipopeleka shule wanafunzi wote mate yaliwatoka mwalimu hakunipa mwenyewe baada ya kushaangalia kazi yake alinambia sikupi naendakuwekea wanangu kumbukumbu kwamba huyu aliandika ni fulani watakapokuwa.
Yapo mengi.
Kutongoza tu na umaarufu nilikuwa ninaogopa kujitosa hahaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetoa ukweli mchungu!
Always history ni heavily biased!
Kuna maticha walikuja BTP tuko Std 5, wiki ya kwanza tu nikajulikana ndo mpiga kelele, nikapelekwa staff nikalambishwa fimbo. Wakati hiyo batch inaondoka wanakabidhiana na wanaokuja eti wanasema mimi ndo mpiga kelele, mpaka batch nne zinaisha walikuwa wanapokezana kunitaja na kila batch ilikuwa ni lazima nidakwe kwa kelele.
Ikaja kwenye pepa, maana walitunga pamoja, tukafanya nikawa wa kwanza wakakataa kunipa zawadi, mpaka mwalimu wa darasa anawaambia mpeni tu, ndivyo alivyo.
Umenikumbusha primary kulikuwa na kitabu cha kiswahili chenye story ya mwanafunzi mchafu aliyeitwa cholo. Sasa kuna jamaa mmoja classmate siku yanukaguzi wa usafi alikuwa mchafu balaa. mwalimu akamwita mbele kisha akampa jina la cholo. Hadi leo tumamwitaga cholo.Me nakumbuka nikiwa secondary nilipata umaharufu
Ilikua ni siku ya ukaguzi pared me ndo nilkua mchafu shule nzima siku hiyo wakanipa bakora za kutosha
Nikapewa jina la tozi mchafu maana mtaan nikua tozi but shulen mchafu
Huo umaarufu ulinipa mtoto mmoja wa 4m 2 mzuri kinoma mpk form wanaume wakanionea wivu 2012 hyo niko 4m3
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaarufu wangu ulitokana na kushika nafasi za mwisho mara kwa mara na hatimaye
kupindua meza darasa la sita na kushika nafasi ya 1 , La saba term zote nafasi 1 mtihani wa
kata ya 1 Wilaya wa 5 Mkoa nikashika no 2 tukifungana watu Wawili yule aliyeshika no
1 alifariki kabla ya mtihani wa Taifa hivyo alituachia nafasi yetu ya kuongoza mimi na yule binti
ambaye nasikitika NAYE alifariki kwa ajali ya gari Wakati akielekea shuleni Kilakala MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA.