batan
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 416
- 365
Footballer,,mchora ramani walimu walikua wananiita nkachole raman za Africa,,Dunia nk pind wanapofundsha na nlikua mwanahisabati
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KapichaUrefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,
Acha uongo ww unajua siasa uchwara tuuPrimary ni kwa sababu nilikuwa kipanga halafu wa kishua,secondary ni kwa sababu nilikuwa kipanga halafu rapper, advance ni kwa sababu nilikuwa kipanga mwalimu wao (tulienda kuanzisha comb na shule haikuwa na mwalimu), chuo nilikuwa underground king
Akupe nn mzee?? NyapuNingesoma na wewe lazima ningekuomba tu unipe,nilikuwa napenda tutoto tudogo tuzuri
Leo Vp ukisimamishwa ana Leta shida?? Maana Nataka kuja pmHaahahahaha ndio nn kunichekesha hivyo,nlikuwa nasoma na kaka zangu wangekupa kipigo balaa, maana hata ukinisimamisha tu wakikuona basi kazi unayo
hahahaha..! nilikuwa mpiga kelele maarufu, kila mkiitwa hata kama nililala utasikia teacher "panya mabaka, njoo hapa, lala chini" yani nakula za maana alaf wengine wanaachwa! dah, shule hizi..
Hahahhahahah hahah na uzee wote huu watalinda nini sasa
Humu kila mtu alikua namba moja (john kisomo)?
Ina mana wale tuliokuwa tunakamata mkia kama mimi humu hawamo?
Kila mtu kaenda chuo?wa la saba na form four hapa hawapo ehee??
Wale wa di nne za kuunga unga hawapo???
Wale wa ziro kama mimi hawapo???
Wale wa veta na setifiketi hawapo????
Duuuh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kila mtu alikua namba moja (john kisomo)?
Ina mana wale tuliokuwa tunakamata mkia kama mimi humu hawamo?
Kila mtu kaenda chuo?wa la saba na form four hapa hawapo ehee??
Wale wa di nne za kuunga unga hawapo???
Wale wa ziro kama mimi hawapo???
Wale wa veta na setifiketi hawapo????
Duuuh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua we tiririka tu.live u're life ukitaka mchumba tengeneza id mpya.Wachumba wenyewe humu wako below standards.Tunapita kimya. Kuna vitu vingine unaweza kukosa,mchumba bure..bora tu upige kimya