Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi huku nyumbani una mke.
Hii hali inachukuliwa poa ila kwa hakika inafanya umasikini uendelee kutamalaki. Imagine una mademu 4 na wote angalau uwaonyeshe upendo unategemea nini? Upendo Kibongo tunamaanisha kuwajali(kuwapa pesa au vitu vya gharama).
Hapo utajikuta unamtumia 100,000 mpaka 1,000, 000 kuhonga direct or indirect. Gharama za lodge, misosi, usafiri, vocha , mpesa n k
Unaweza usione unamtumia pesa nyingi hasa kipindi ambacho kazini kuna Asante au vichochoro vya pesa vingi ila vikikata ukikaa chini kupiga hesabu jinsi fedha zilivyopita mikononi mwako na maendeleo uliyoyafanya utajiona huna akili timamu.
Ukitaka kuwaacha hasa wale Ving"ang'anizi wanaopretend kukupenda wewe waambie umekwama huna pesa kabisa kila wakikupiga kirungu. Ila jitahidi kudhibiti hamu zako, sio leo unamdanganya huna pesa kesho unamwita mahali utafeli .
Unajisikiaje mchepuko anapata huduma bora na kubwa kuliko mama yako kijijini? Mama 20k per month, michepuko 200k per month. Una laana sio bure.
Hakuna demu anayekupenda hasa akijua kuwa hutamwoa, wanakuigizia tu bro. Umaskini uko mlangoni usipoacha umalaya.