Una maanisha waoga wa kupiga povu,kuongea!Kuna watu mnachukulia kuoga siriazi sana. Mnanunua hadi matauloš©
Yaani nashangaaga sanaKuna watu mnachukulia kuoga siriazi sana. Mnanunua hadi matauloš©
Umesemaje mkuu?Una maanisha waoga wa kupiga povu,kuongea!
Eeh eti siku hizi wananunua hadi shower gel sijui ya usoni na ya mwilini khaaa utadhani jamaa ya kufulia haina povu. Yaani kuoga pamepewa kipaumbele sana.Yaani nashangaaga sana
eti mtu ananunua hadi sabuni ya kuogea
Mtu anaoga kwa siku mara mbili
Hiyo ni idadi ya wiki nzima
Hawa wa hivi huwakosi na chawa sababu taulo haibebi chawa hata uiche na maji au kutoipasi Sasa chawa wanakaa zaidi kwenye nguo za polyester ambazo ndo nyingi humu bongoKuna watu wamezidi wao hujifutia tshirt au kanga. Na wengine hawajifuti kabisaaaa š
Eeh eti siku hizi wananunua hadi shower gel sijui ya usoni na ya mwilini khaaa utadhani jamaa ya kufulia haina povu. Yaani kuoga pamepewa kipaumbele sana.
Mkuu wananunua hadi vidodoki vya kujisugulia utadhani magunia hamna wakate kipande.
Ndo furaha ya kuwa na bandoNimejikuta nafurahi bila maandalizi
Mbona kawaida sana mkuu.Yaani nashangaaga sana
eti mtu ananunua hadi sabuni ya kuogea
Mtu anaoga kwa siku mara mbili
Hiyo ni idadi ya wiki nzima
mhhh..! umetupanga asee!Hio ni kuonyesha juu ni wapi ufutie uso na chini ni wap ufutie tako
HahahaKuna watu mnachukulia kuoga siriazi sana. Mnanunua hadi matauloš©