Je, Umeshakaa ukijiuliza mistari hii kwenye taulo ni ya nini? 🤔

Yaani nashangaaga sana
eti mtu ananunua hadi sabuni ya kuogea
Mtu anaoga kwa siku mara mbili
Hiyo ni idadi ya wiki nzima
Eeh eti siku hizi wananunua hadi shower gel sijui ya usoni na ya mwilini khaaa utadhani jamaa ya kufulia haina povu. Yaani kuoga pamepewa kipaumbele sana.

Mkuu wananunua hadi vidodoki vya kujisugulia utadhani magunia hamna wakate kipande.
 
Kuna watu wamezidi wao hujifutia tshirt au kanga. Na wengine hawajifuti kabisaaaa 😅
Hawa wa hivi huwakosi na chawa sababu taulo haibebi chawa hata uiche na maji au kutoipasi Sasa chawa wanakaa zaidi kwenye nguo za polyester ambazo ndo nyingi humu bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…