Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.

Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.

Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano Muhammad, Issa, Ibrahimu, Mussa nk.

Na hao hao mitume wakubwa nao madaraja yao ni tofauti pia, na kwa kuwa peponi hakuna namna utafanya kuongeza daraja lako, ina maana kuwa maisha yako yatakuwa ni yale yale, raha ni zile zile, hakutakuwa na uwezo wa kumpiku mtu aliyekuzidi pepo/daraja.

Hivyo je hao mitume umeshawahi kufikiria wakiona wivu baina yao nini kitatokea?

Au je hao mitume kutaka daraja la zaidi na zaidi nini kitatokea.

Maana hata Ibilis alikuwa mcha Mungu sana kwa miaka mingi sana lakini mwisho wa siku kiburi kikamponza kwa kujiona bora zaidi na kuashia kupata laana.
 
Binadamu wameumbiwa utashi wa kuchagua, hivyo muda mwingine wanaenda kinyume na maamrisho ndio maana hata Adamu alienda kinyume na maamrisho aliyopewa.
 
Kwenye Pepo ipi?
Maana kule hakuna dhambi itakayoingia kule,sasa huo wivu utatoka wapi?
Labda kwenye Pepo ya Allah ambayo hakuna mtume wa Mungu ataingia kule!
Adamu na Hawa /Eva waliishi peponi lakini waliishia kumkosea Mwenyezi Mungu na kupelekea kutupwa duniani.
 
Yaani shughuli na hekaheka za duniani vinauwezekano kuendelea?
Maisha yataendelea kama kawaida.

Ila tofauti ni kwamba huko hakuna mambo ya kuabudu , zaidi na zaidi binadamu watalipwa kwa yale waliyoyatenda hapa duniani.

Watastareheka kulingana na kile walichokichuma .

Mfano wewe thawabu zako ndogo tarajia kuishi sehemu za hali ya chini mfano tandika ,mbagala nk ,kama thawabu kubwa utaishi sehemu za hadhi ya juu nk.

Hakuna namna utabadilisha au utaongeza kile ulichonacho.
 
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.

Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.

Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano Muhammad, Issa, Ibrahimu, Mussa nk.

Na hao hao mitume wakubwa nao madaraja yao ni tofauti pia, na kwa kuwa peponi hakuna namna utafanya kuongeza daraja lako, ina maana kuwa maisha yako yatakuwa ni yale yale, raha ni zile zile, hakutakuwa na uwezo wa kumpiku mtu aliyekuzidi pepo/daraja.

Hivyo je hao mitume umeshawahi kufikiria wakiona wivu baina yao nini kitatokea?

Au je hao mitume kutaka daraja la zaidi na zaidi nini kitatokea.

Maana hata Ibilis alikuwa mcha Mungu sana kwa miaka mingi sana lakini mwisho wa siku kiburi kikamponza kwa kujiona bora zaidi na kuashia kupata laana.





Kwanza, najua kuwa wewe ni Muislam mwenzangu, nakuusia na kuiusia nafsi yangu kumcha Allah.

Usiwe na tabia ya kuendekeza mawazo mabaya kama haya kwa sababu hayana faida na yanapelekea kwenye uovu. Repel kutoka kwenye moyo wako mawazo mabaya, usiyaache yatulizane moyoni mwako. Na mawazo maovu na machafu usiyaseme na jikinge kwa Allah kutokana nayo. Kuanzisha mada kama hizi kwenye forums kama hizi ni kufungua tu milango ya shaka na kukaribisha mashetani wa kibinadamu waliojificha humu kuja kuwatukana Mitume.

Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao wote) ni bora wa viumbe. Walikuwa ni watu wema zaidi na watukufu zaidi kuliko watu wote. Ni wasafi zaidi kuliko watu wote. Kuwawazia mambo mabaya na mambo maovu kama hasad Watu Watukufu waliochaguliwa na kuhifadhiwa na Allah na kutaka kuleta ufanano na Iblis (Laana ya Allah iwe juu yake) ni Jambo baya mnoooooo, Allahul Musta'aan!!


Vipi Mitume wawe na kibri Peponi? Vipi wawe na hasad na chuki baina yao?

Uko wapi na Aya tukufu za Qur-aan? Allah Mtukufu Anasema;



إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي جَنَّاتٍ وَعُيُونٍ(45)

Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem.
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ(46)

(Wataambiwa Ingieni kwa salama na amani.
وَنَزَعْنَا مَا فِي صُدُورِهِم مِّنْ غِلٍّ إِخْوَانًا عَلَىٰ سُرُرٍ مُّتَقَابِلِينَ(47)

Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana.

(Qur-aan 15 : 45-47)


Wote watakaoingia Peponi wataondolewa chuki nyoyoni mwao na mioyo yao itakuwa misafi, sasa vipi itakuwa kwa Mitume (Amani iwe juu yao) ambao ni Wabora zaidi katika watu wa Peponi na tena walikuwa ni Wabora tokea Duniani?


Uko wapi wewe na Maneno ya Mtume wetu (Swala na Salamu ziwe juu yake);


Sahih al-Bukhari 3245
Narrated Abu Huraira:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "The first group (of people) who will enter Paradise will be (glittering) like the moon when it is full. They will not spit or blow their noses or relieve nature. Their utensils will be of gold and their combs of gold and silver; in their centers the aloe wood will be used, and their sweat will smell like musk. Everyone of them will have two wives; the marrow of the bones of the wives' legs will be seen through the flesh out of excessive beauty. They ( i.e. the people of Paradise) will neither have differences nor hatred amongst themselves; their hearts will be as if one heart and they will be glorifying Allah in the morning and in the evening."

Umesoma Maneno Matukufu ya Allah?

وَسَقَاهُمْ رَبُّهُمْ شَرَابًا طَهُورًا﴾

and their Lord will give them a purifying drink.
(Qur'an 76:21)

Imaam Ibn Katheer (Allah Amrehemu) akaitafsiri ifuatavyo;


"He then says, وَسَقَـهُمْ رَبُّهُمْ شَرَاباً طَهُوراً ( and their Lord will give them a purifying drink. ) meaning, it will purify their insides of envy, despise, hatred, harm and the other reprehensible character traits.
This is just as we have recorded from the Commander of the believers, `Ali bin Abi Talib, that he said, "When the people of Paradise come to the Gate of Paradise, they will find two springs there.
Then it will be as if they were inspired with what to do, so they will drink from one of them and Allah will remove whatever harmfulness there may be within them.
Then they will bathe in the other spring and a glow of delight will run all over them."





Vipi tena uwawazie watu wa Peponi tena Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao wote) mawazo kama hayo?

Na pia watu wa Peponi watakuwa katika madaraja na hili limethibiti;

Sahih al-Bukhari 3256
Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:

The Prophet (ﷺ) said, "The people of Paradise will look at the dwellers of the lofty mansions (i.e. a superior place in Paradise) in the same way as one looks at a brilliant star far away in the East or in the West on the horizon; all that is because of their superiority over one another (in rewards)." On that the people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Are these lofty mansions for the prophets which nobody else can reach? The Prophet (ﷺ) replied," No! "By Allah in whose Hands my life is, these are for the men who believed in Allah and also believed in the Apostles."





Sahih Muslim 189 b
It is reported on the authority of al-Mughira b. Shu'ba that the Messenger of Allah (ﷺ) said:

Moses asked his Lord: Who amongst the inhabitants of Paradise is the lowest to rank? He (Allah) said: The person who would be admitted into Paradise last of all among those deserving of Paradise who are admitted to it. I would be said to him: Enter Paradise. He would say: O my Lord! how (should I enter) while the people have settled in their apartments and taken the shares (portions)? It would be said to him: Would you be pleased if there be for you like the kingdom of a king amongst the kings of the world? He would say: I am pleased my Lord. He (Allah) would say: For you is that, and like that, and like that, and like that, and that. He would say at the fifth (point): I am well pleased. My Lord. He (Allah) would say: It is for you and, ten times like it, and for you is what your self desires and your eye enjoys. He would say: I am well pleased, my Lord. He (Moses) said: (Which is) the highest of their (inhabitants of Paradise) ranks? He (Allah) said: They are those whom I choose. I establish their honour with My own hand and then set a seal over it (and they would be blessed with Bounties) which no eye has seen, no ear has heard and no human mind has perceived: and this is sub- stantiated by the Book of Allah, Exalted and Great:" So no soul knows what delight of the eye is hidden for them; a reward for what they did" (xxxii. 17).






Na mwisho nakunasihi na kuinasihi nafsi yangu kuisoma Dini yako na kujishughulisha na mambo yenye manufaa katika Dini yako. Tujifunze 'Aqidah sahihi ili kuepukana na shaka hizi na mawazo haya. Tuache kuchunguza undani wa mambo ya ghaibu na kuzungumza mambo ya ghaibu kwa maoni yetu binafsi na ku hypothesize mambo ya ghaibu. Turidhike na yale yaliyokuja katika Wahyi. Tunaamini mambo ya ghaibu na tunaamini yaliyokuja katika Qur-aan na Sunnah, wala hatuyajui mambo ya ghaibu wala hatuwezi kuyaelewa kwa akili zetu zenye ukomo.


رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ﴾
[ آل عمران: 8]

(Na hao husema): Mola wetu Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji.

Ninamuomba Allah Aniongoze mimi na wewe katika njia iliyonyooka, njia ya wale aliowaneemesha juu yao (Mitume, Maswiddiq, Mashahidi na Watu wema) na Atuepushe na njia ya wale walioghadhibikiwa na wale waliopotea na Atuhifadhi na Atupe Elimu yenye manufaa na Atufishe katika Tawheed na Sunnah, Atuepushe na Moto na Atuingize Peponi na Atukutanishe na Mitume (Amani iwe juu yao) na Maswahaba wao Vipenzi vyake wengine Allahumma Aamiin.
 
waislam wanaweza simama na Muhamad dhidi ya Allah if it were to happen kitu ka hiyo. ni kwamba; ni mara chache waislam wanaua kwasababu muhanga kamdhihaki Allah,ila mara nyingi wanaua kwasababu muhanga kamudhihaki Muhamad. rejea charlie Hebdo.
 
Swali la kujiuliza huyo sheta alitoa wapi program ya uasi wakati anaumbwa hakuwa nayo?
Mambo ya dini ni ya kitoto Sana!
 
وَنَزَعْنَا مَا فِي صُدُورِهِمْ مِنْ غِلٍّ


حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ مَسْلَمَةَ، عَنْ مَالِكٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عَجْلَانَ، عَنْ أَبِي الزِّنَادِ، عَنْ الْأَعْرَجِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ:
يَدْخُلُ أَهْلُ الْجَنَّةِ الْجَنَّةَ لَا تَبَاغُضَ بَيْنَهُمْ وَلَا تَحَاسُدَ، قُلُوبُهُمْ قَلْبُ رَجُلٍ وَاحِدٍ.
 
Back
Top Bottom