Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Soma soma soma .... Ni sahihi unacho sema ila ni potovu kwa kuwa uelewi maandiko ...
Yesu anasema 👉 Alipanda mbegu njema ila watu walipo lala adui akaja kupanda magugu ....sasa ukisoma biblia yesu kafafanua kuwa 👉 Mbegu ni NENO LA MUNGU hivyo magugu ni maneno na fafanuzi zilizo potoshwa na potovu ambazo zimepandwa na adui ambaye ni (shetani na waovu)

HIVYO UNACHOELEZA WEWE NI KAZI YA SHETANI ...NA SHETANI YUPO KWA AJILI YA HIYO KAZI KAMA UNAVYO ELEZA HATA UISLAMU KUWA .. Shetani aliapa kumpotosha binadamu katika pande 4 ..Soma Mathayo 13 (24 hadi 30)
Kwa hiyo lile kosa la kunakili ni kazi ya shetani?
 
Kwa hiyo lile kosa la kunakili ni kazi ya shetani?
Ndiyo sababu unaona hadi sasa limebakishwa wewe ujiulizi wachapishaji wa biblia awalioni ...gugu limeachwa likuwe na ngano ..ukiwa na akili utaliona na kulijua gugu
 
Ndiyo sababu unaona hadi sasa limebakishwa wewe ujiulizi wachapishaji wa biblia awalioni ...gugu limeachwa likuwe na ngano ..ukiwa na akili utaliona na kulijua gugu
Kwa hiyo kwenye Biblia kuna kazi ya shetani?
Na hiyo ni moja tu tuliyoitaja ziko nyingi tu je nazo ni kazi za shetani?
 
Kwa hiyo kwenye Biblia kuna kazi ya shetani?
Na hiyo ni moja tu tuliyoitaja ziko nyingi tu je nazo ni kazi za shetani?
Siyo kwenye biblia tu hata duniani ndivyo ilivyo ....unashangaa gugu katiya neno la Mungu na haushangai mudi boy kuwa na shetani ndani yake ..japo inadaiwa alipasuliwa na kusafishwa na malaika 😁 tena japo anadai yeye ni mtukufu wa daraja 😁 .. sasa ajabu ni ipi
 
Hii ni comment yangu ya mwisho humu, In Shaa Allah.

Acha kuzungumza Dini ya Allah bila ya Elimu. Mche Allah, kuwa makini Internet dopamine isikuzuzue. Isije kutafuta vi likes na vi engagement kukakufanya ukaharibu, nimekunasihi kwa upole, ila unaleta ufedhuli. Mimi nimefikisha.

Mitume wa Allah (Amani iwe juu ya Mitume wote) sio Watu wa kuzungumziwa kwa namna mbaya na isiyo na adabu. Kuwa na Adabu. Na mambo ya Ghaibu hayazungumzwi kwa ku guess na kuleta maoni binafsi. Unajifanya unataka ku guess mambo ya Akhera.

Kuliko kuhangaika na contents usizoelewa ni bora ukae chini usome na uifahamu Dini yako kwa Dalili sahihi.

Watu wa Peponi hawataoneana Hasad, Chuki wala hawatakuwa na Nia mbaya wao kwa wao. Watatakaswa.

Acha kufikiria Mambo ya Akhera kwa standard za maisha ya Dunia. Actually Acha kuleta ujuaji katika mambo ya Ghaibu. Dalili za Kishari'ah zipo. Fuata Dalili. Na kaa chini usome.

Sio unawazungumzia Mitume wa Allah kwa mambo mabaya kabisa. Kuwa na Adabu. Mitume ni watu wema na wabora tokea wakiwa Duniani. Na watu wa Peponi hawataoneana Chuki wala Hasad. Why uwafikirie Mitume wa Allah vibaya? Watu Ambao Allah Aliwachagua na ni Watu wabora kabisa.

Kuwa na Adabu.

Soma Dini yako na Fanya mambo yenye manufaa kwa ajili ya Akhera yako na mambo ya halali yenye manufaa kwa ajili ya Dunia yako.

Acha kuzungumza Dini kwa ujinga.

Mimi nimefikisha.

Kwaheri.
Oya Alshabab wametangaza nafasi ya wavaa Mabom kupenyezwa Israel ....vipi nikuunganishe?
 
Siyo kwenye biblia tu hata duniani ndivyo ilivyo ....unashangaa gugu katiya neno la Mungu na haushangai mudi boy kuwa na shetani ndani yake ..japo inadaiwa alipasuliwa na kusafishwa na malaika 😁 tena japo anadai yeye ni mtukufu wa daraja 😁 .. sasa ajabu ni ipi
Sawa bhana bakini na kitabu chenu chenye maneno ya shetani
 
Swali la kujiuliza huyo sheta alitoa wapi program ya uasi wakati anaumbwa hakuwa nayo?
Mambo ya dini ni ya kitoto Sana!
Japo umeandika kwa ufupi sana
mkuu ila umeandika jambo la maana Sana. Wafia dini hili Hilo swali Huwa hawajiulizi?
 
waislam wanaweza simama na Muhamad dhidi ya Allah if it were to happen kitu ka hiyo. ni kwamba; ni mara chache waislam wanaua kwasababu muhanga kamdhihaki Allah,ila mara nyingi wanaua kwasababu muhanga kamudhihaki Muhamad. rejea charlie Hebdo.
Umeoongea vzr sana sheikh,kikubwa Allah atuhifadhi na ujinga
 
Je kama hayo maelezo ya Yesu nayo pia yamepitiwa na shetani🤣🤣🤣
Tumia akili ndiyo kazi ya akili kutambua gugu na ngano..mfano nilikuuliza ni nani aliye zuia watu kufikia daraja ya Mtume na nabii ndani ya uislamu? Kwanini waislamu wanafurahia sana kutokuwa na hayo madaraja kati yao je ni jambo la kujifaharisha kuwa hakuna tena atakaje fikia hayo madaraja?
 
Nilishakuambia acha kuchanganya Utume au Unabii na uchamungu
Kila Mtume ana zama zake na watu wake na hizi ni zama Mtume Muhammad unasemaje shetani kazuia Utume wakati upo???

Hicho kitabu chenu pekee ndio chenye ushawishi wa shetani ndani yake🤣🤣🤣
 
Hivi akili zako ziko sawa kweli? ...unajuq kazi za mitume na manabii ? Mitume wanaweza kuwa wengi na manabii wanaweza kuwa wengi katika zama moja hiyo hiyo...manabii na mitume ni daraja za juu ze uchamungu ...hiyo ukisema hakuna tena hizo daraja basi maana yake ni kuwa huo uma ni duni mbele za mungu ...kumbuka uislamu unadai kuwa ndiyo uma bora ...sasa vipi uwe uma bora kinyume na uchamunguwa daraja za juu ? Uma bora mbinguni ni ule wrnye wachamungu wakubwa zaidi , uchamungu wa daraja ya juu...
 
Haujui hata maana ya Unabii wala Utume
Halafu huu umma mbona una Mtume au wewe haujui?
 
Mungu hechezi Checkers anacheza Chess..

Ana malaika watiifu na anajua namna ya kuwaturn rivals into allies . Kisha anawacrush .. kimtindo wa kishaitwani...

Na wanaishi kwa kupokezana vijiti ......

Malaika tofauti ..
Mungu mmoja
 
Nilidhani unaongelea mitume kwa maana ya watu, lakini heading inanikataza kuamini. Ama sentensi yako haikujali uoatanisho wa kisarufi? (mitume IKAJA kuamua badala ya mitume WAKAJA kuamua)
 
Back
Top Bottom