Al Mukheef
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 315
- 479
Acha ujuaji🤣Soma tena ....tumia akili ...waislamu na Muhammad wenu wote amjui mtume ni nini ndiyo maana mnashindwa kuelewa logic ...utume ni daraja ya juu kabisa ya uchamungu na thawabu ....sasa Mungu ana zuia vipi wachamungu kumcha yeye kwa utimilifu ?tumieni akili siyo vijambio kufikiri .... wewe pia umekuwa shabiki wa uislamu ndiyo maana unashindwa kuona logic😁😁
Mtume ni anayefikisha ujumbe wa Allah kwa wanadamu
Kuhusu watu wachamungu wapo wengi tu na hata sio Mitume
Wewe ndio haujui maana ya Mtume