Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

waislam wanaweza simama na Muhamad dhidi ya Allah if it were to happen kitu ka hiyo. ni kwamba; ni mara chache waislam wanaua kwasababu muhanga kamdhihaki Allah,ila mara nyingi wanaua kwasababu muhanga kamudhihaki Muhamad. rejea charlie Hebdo.
Chai.

Muhammad ni binadamu kama wewe usimlinganishe na Allah.
 
Swali la kujiuliza huyo sheta alitoa wapi program ya uasi wakati anaumbwa hakuwa nayo?
Mambo ya dini ni ya kitoto Sana!
Shetani/ Ibilisi ni jini.

Binadamu na majini tumeumbiwa utashi wa kuchagua, kutii/kutokutii, kushukuru au kukufuru.

Yeye kulingana na utashi wake alijiona bora kuliko nabii Adamu kisa yeye kaumbwa na moto na Adamu kaumbwa na udongo.
 
وَنَزَعْنَا مَا فِي صُدُورِهِمْ مِنْ غِلٍّ

حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ مَسْلَمَةَ، عَنْ مَالِكٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عَجْلَانَ، عَنْ أَبِي الزِّنَادِ، عَنْ الْأَعْرَجِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ:
يَدْخُلُ أَهْلُ الْجَنَّةِ الْجَنَّةَ لَا تَبَاغُضَ بَيْنَهُمْ وَلَا تَحَاسُدَ، قُلُوبُهُمْ قَلْبُ رَجُلٍ وَاحِدٍ.
Tafsiri kwa niaba ya wengi.

1. Aya ya Qur’ani

وَنَزَعْنَا مَا فِي صُدُورِهِمْ مِنْ غِلٍّ
Tafsiri:
“Na tutaondoa yaliyomo ndani ya vifua vyao katika chuki (au kinyongo).”
Maana yake ni kwamba Mungu ataondoa kabisa chuki, husuda, na uhasama katika nyoyo za watu wa Peponi, hivyo wataishi kwa upendo na amani.

2. Hadithi ya Mtume ﷺ
Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira kwamba Muhammad ﷺ amesema:
يَدْخُلُ أَهْلُ الْجَنَّةِ الْجَنَّةَ لَا تَبَاغُضَ بَيْنَهُمْ وَلَا تَحَاسُدَ، قُلُوبُهُمْ قَلْبُ رَجُلٍ وَاحِدٍ
Tafsiri:
“Watu wa Peponi wataingia Peponi hali ya kuwa hakuna kuchukiana wala kuoneana wivu kati yao, na nyoyo zao zitakuwa kama moyo wa mtu mmoja.”

✅ Maana kwa ujumla:

Peponi hakutakuwa na:
chuki
husuda
wivu
uhasama
Watu wote watakuwa wanapendana, wenye moyo mmoja, na wenye amani kamili.
 
Kati ya Yesu na Mudi boy na kati ya msahafu na injili ni yupi na ni mafundisho gani ni maafilifu zaidi ...Yesu ni muhadilifu kuliko mudi boy na injili ni adilifu zaidi ya msahafi sasa iweje Muhammad awe juu ya Yesu na msahafu uwe juu ya injili...UHUNI MTUPU
 
Iki ndicho ninachokijua mimi ila waislam hawakijui.
au ninasema uwongo ndugu yangu?.
Chai.

Waislamu wameweka mipaka baina ya mitume na Mwenyezi Mungu.

Hatuwezi kutoa sifa za Allah na tukampa mtume.

Ndio maana hata mtume alipotaka kuharamisha asali aya ilishuka na suala lake likatenguliwa.
 
Hapo bado hujajibu.

Fafanua ,kweli au si kweli.

Mimi ninakunasihi usizungumze Dini ya Allah bila ya Elimu. Unafanya kitu cha hatari sana na sio kizuri kabisa. Nimekupa dalili kuwa unayoyafikiria sio sawa na uache kuwafikiria Mitume wa Allah kwa fikra mbaya sana na ku hypothesize vitu viovu mno ukawahusisha navyo, kuwa na Adabu na Allah na kuwa na Adabu na Mitume wake. Na acha kuyazungumza mambo ya ghaibu kwa kutumia akili yako yenye ukomo na maoni yako. Mambo ya Ghaibu hayafanyiwi guessing wala kuya hypothesize.

Baki katika Dalili za Kishari'ah. Huwezi kuyajua mambo ya Peponi ila kwa Wahyi Alioletewa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Acha kufikiria Mambo yaliyofichikana kwa kutumia akili yako.

Sijui kama ile comment yangu kule juu umeisoma.

Mche Allah, Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao) hawazungumzwi hovyo hovyo wala hawahusishwi na mambo ya hovyo hovyo.

Nakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu kwa mara nyengine umche Allah.
 
Akili huna
 
Akili huna

Hii ni comment yangu ya mwisho humu, In Shaa Allah.

Acha kuzungumza Dini ya Allah bila ya Elimu. Mche Allah, kuwa makini Internet dopamine isikuzuzue. Isije kutafuta vi likes na vi engagement kukakufanya ukaharibu, nimekunasihi kwa upole, ila unaleta ufedhuli. Mimi nimefikisha.

Mitume wa Allah (Amani iwe juu ya Mitume wote) sio Watu wa kuzungumziwa kwa namna mbaya na isiyo na adabu. Kuwa na Adabu. Na mambo ya Ghaibu hayazungumzwi kwa ku guess na kuleta maoni binafsi. Unajifanya unataka ku guess mambo ya Akhera.

Kuliko kuhangaika na contents usizoelewa ni bora ukae chini usome na uifahamu Dini yako kwa Dalili sahihi.

Watu wa Peponi hawataoneana Hasad, Chuki wala hawatakuwa na Nia mbaya wao kwa wao. Watatakaswa.

Acha kufikiria Mambo ya Akhera kwa standard za maisha ya Dunia. Actually Acha kuleta ujuaji katika mambo ya Ghaibu. Dalili za Kishari'ah zipo. Fuata Dalili. Na kaa chini usome.

Sio unawazungumzia Mitume wa Allah kwa mambo mabaya kabisa. Kuwa na Adabu. Mitume ni watu wema na wabora tokea wakiwa Duniani. Na watu wa Peponi hawataoneana Chuki wala Hasad. Why uwafikirie Mitume wa Allah vibaya? Watu Ambao Allah Aliwachagua na ni Watu wabora kabisa.

Kuwa na Adabu.

Soma Dini yako na Fanya mambo yenye manufaa kwa ajili ya Akhera yako na mambo ya halali yenye manufaa kwa ajili ya Dunia yako.

Acha kuzungumza Dini kwa ujinga.

Mimi nimefikisha.

Kwaheri.
 
Back
Top Bottom