Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Yesu kwenye torati na injili kanenwa kuwa ni MFALME...SASA TUAMBIE NI MFALME WAPI ?tatizo lako wewe ni kufuata dini kwa kurithi siyo kutaka kuijua kweli na kuifuata .
Utamuitaje Mungu mtu anayeonyesha dalili zote za utume?
 
Kwenye Biblia ni watu wangapi wametajwa kuwa na ufalme wa mbinguni?
Je wote ni miungu?
Neno kuwa mfalme mbinguni ni yesu tu ...kama ingekuwa ni kawaida kuitwa hivyo basi Wayahudi Wasinge mshitaki Yesu kwa hizo tuhuma...maana ukiwauliza wayahudi sababu za wao kutaka kumuua na kumshitaki Yesu basi watakuambia kuwa ni kujifananisha na Mungu kwa sababu wao awakumtambua kuwa ni Mungu...hivyo akili za Wayahudi ni sawa na waislamu...
Kuna tofauti baina ya haya maneno ...
1)kuwa na ufalme
2)na kuwa Mfalme
Mfano saudia ...msaudia anaweza kukuambia kuwa wao wana ufalme ila ni tofauti na kusema yeye ni Mfalme.....siku hizi waislamu hata logic ya lugha inawapinga chenga...wewe katika uislamu unajua kwa nini Yesu alitafutwa kuuliwa na wayahudi ? Sababu ni hiyo ya wao kudai Yesu anajifananisha na Mungu. Hivyo wayahudi na waislamu mnampinga Yesu kwa hoja yenye kufanana wayahudi awakuwana shida na Yesu kama mtume au nabii shida yao na Yesu ilikuwa hiyo ya UUNGU.
 
Kwa hiyo kuwa mfalme ndio sawa na kuwa Mungu?
Mfalme mbinguni ni mmoja tu ...Mungu alipo ongea na Daudi alimwambia kuwa huyo Yesu atakuwa mfalme na ufalme wake hautakuwa na mwisho sasa tumia akili Yesu ni mfalme wapi na ni nani ?
 
Neno kuwa mfalme mbinguni ni yesu tu ...kama ingekuwa ni kawaida kuitwa hivyo basi Wayahudi Wasinge mshitaki Yesu kwa hizo tuhuma...maana ukiwauliza wayahudi sababu za wao kutaka kumuua na kumshitaki Yesu basi watakuambia kuwa ni kujifananisha na Mungu kwa sababu wao awakumtambua kuwa ni Mungu...hivyo akili za Wayahudi ni sawa na waislamu...
Kuna tofauti baina ya haya maneno ...
1)kuwa na ufalme
2)na kuwa Mfalme
Mfano saudia ...msaudia anaweza kukuambia kuwa wao wana ufalme ila ni tofauti na kusema yeye ni Mfalme....
Ufunuo 3:21

Nitamruhusu kila atakayeshinda kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi. Ilikuwa vivyo hivyo hata kwangu. Nilishinda na kuketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi.

Je hao wote watakaoruhusiwa kukaa kwenye kiti cha enzi wote ni miungu?
Mfalme.....siku hizi waislamu hata logic ya lugha inawapinga chenga
Wewe ambaye ni mtaalam wa lugha unaelewa nini Yesu aliposema Eloi Eloi lama sabakhtani?

wewe katika uislamu unajua kwa nini Yesu alitafutwa kuuliwa na wayahudi ? Sababu ni hiyo ya wao kudai Yesu anajifananisha na Mungu. Hivyo wayahudi na waislamu mnampinga Yesu kwa hoja yenye kufanana wayahudi awakuwana shida na Yesu kama mtume au nabii shida yao na Yesu ilikuwa hiyo ya UUNGU.
Sio Yesu tu bali ni manabii wengi tu waliuawa na wayahudi kama vile Zakaria na wengine wakitaka kuuliwa

Je hao wote walikuwa wanauliwa sababu ya uungu?
 
Yesu alirithi ufalme wa Daudi je ufalme wa Daudi ulikuwa ni uungu?
Alirithi wapi ? Yesu aliwai kuwa Mfalme duniani ? Tumia akili utajua kwanini inasema yesu atarithi ufalme wa daudi ...anza na ufalme wa daudi ni nini ? Daudi slikuwa Mfalme wa taifa la mungu na kwa uzawa wake mwili wa Yesu ukazaliwa ...Yesu ni mfalme wa taifa la mbinguni siyo duniani
 
Baba mbona unaniacha au umeniacha tafsiri yake ni nafsi kuuacha ule mwili...nilisha kuelewesha sana siku za nyuma ...💥baba ni nafsi ya yesu na 💥mwana ni ule mwili . Hivyo hayo maneno eloi maana yake ni NAFSI YA YESU KUUACHA ULE MWILI WA YESU ...YAANI KUTENGANIKA KWA NAFSI NA MWILI NDIYO KUFA KWA MWILI ILA NAFSI YA YESU NI BABA NDIYE MUNGU AIWEZI KUFA WALA HAIKUFA...NILISHA KUELIMISHA SANA UNARUXIA RUDIA MAMBO Al-mukheef
 
Ufunuo 3:21

Nitamruhusu kila atakayeshinda kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi. Ilikuwa vivyo hivyo hata kwangu. Nilishinda na kuketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi.

Je hao wote watakaoruhusiwa kukaa kwenye kiti cha enzi wote ni miungu?

Wewe ambaye ni mtaalam wa lugha unaelewa nini Yesu aliposema Eloi Eloi lama sabakhtani?

Sio Yesu tu bali ni manabii wengi tu waliuawa na wayahudi kama vile Zakaria na wengine wakitaka kuuliwa

Je hao wote walikuwa wanauliwa sababu ya uungu?
Baba mbona unaniacha au umeniacha tafsiri yake ni nafsi kuuacha ule mwili...nilisha kuelewesha sana siku za nyuma ...💥baba ni nafsi ya yesu na 💥mwana ni ule mwili . Hivyo hayo maneno eloi maana yake ni NAFSI YA YESU KUUACHA ULE MWILI WA YESU ...YAANI KUTENGANIKA KWA NAFSI NA MWILI NDIYO KUFA KWA MWILI ILA NAFSI YA YESU NI BABA NDIYE MUNGU AIWEZI KUFA WALA HAIKUFA...NILISHA KUELIMISHA SANA UNARUXIA RUDIA MAMBO Al-mukheef
 
Baba mbona unaniacha au umeniacha tafsiri yake ni nafsi kuuacha ule mwili...nilisha kuelewesha sana siku za nyuma ...💥baba ni nafsi ya yesu na 💥mwana ni ule mwili . Hivyo hayo maneno eloi maana yake ni NAFSI YA YESU KUUACHA ULE MWILI WA YESU ...YAANI KUTENGANIKA KWA NAFSI NA MWILI NDIYO KUFA KWA MWILI ILA NAFSI YA YESU NI BABA NDIYE MUNGU AIWEZI KUFA WALA HAIKUFA...NILISHA KUELIMISHA SANA UNARUXIA RUDIA MAMBO Al-mukheef
Maana yake ni Mungu wangu,mungu wangu na wala sio baba yangu baba yangu
 
Nilikuambia kuwa neno YESU ni mambo mawili 1)MWILI NA NAFSI hivyo Mungu wa Yesu ni ile NAFSI YAKE NA MWANA WA MUNGU NI ULE MWILI...tambua kuwa YESU NI MWILI WA KIBINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU PASIPO NAFSI YA BINADAMU ...YAANI NAFSI YA MUNGU ILITWAA MWILI WA KIBINADAMU
 
Hakuna mungu wa baba kwa kuwa baba ndiye mungu
Kwa hiyo Yesu sio Mungu maana kuna Mungu wa Yesu ambaye ni baba ila hakuna Mungu wa Baba maana Baba ndiye Mungu

Hayo nimeyatoa kwenye maelezo yako
Unabisha?
 
Nilikuambia kuwa neno YESU ni mambo mawili 1)MWILI NA NAFSI hivyo Mungu wa Yesu ni ile NAFSI YAKE NA MWANA WA MUNGU NI ULE MWILI...tambua kuwa YESU NI MWILI WA KIBINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU PASIPO NAFSI YA BINADAMU ...YAANI NAFSI YA MUNGU ILITWAA MWILI WA KIBINADAMU
Kati ya Yesu,Roho Mtakatifu na Baba yupi ni Mungu?
 
💥Nafsi ya Mungu ndiyo baba nayo ndiyo Mungu.

💥Nafsi ya Mungu ilitwaa mwili wa mwanadamu usio na nafsi ya mwanadamu na kujihita Yesu, ndiyo maana ya neno (emanuel) yaana Mungu pamoja nasi.

💥Nafsi ya Mungu ikitwaa mwili wa binadamu mwenye nafsi ya binadamu ndiyo hiyo nafsi ya mungu ujihita Roho Mtakatifu. (Nafsi mbili ndani ya mwili mmoja).. Ndiyo maana Yesu aliwaonya watu wenye Roho mtakatifu na kuwaambia kuwa, wakikamatwa na kuitwa kwenye mabaraza wasiwazewaze watakayo ulizwa au jibu au watakayo sema...kwa maana ROHO MTAKATIFU AKAAYE NDANI YENU ATAJIBU.

HIVYO NENO YESU NI MAMBO MAWILI ..
1)MWILI
2)NAFSI

1)MWILI
Mwili wa Yesu ndiyo utajwa kwa haya majina (popote usikiapo au usomapo, ukiyakuta haya majina yanatajwa kuhusu yesu basi jua kuwa unazungumziwa ule mwili siyo nafsi)

A)MWANA
B)MWANA WA MUNGU
C)MWANA KONDOO
D)MWANA WA ADAM
E)MASIHA.
Hoyo majina yanatajwa kuuelezea ule mwili siyo nafsi.

2)NAFSI
Nafsi ya Yesu ndiyo utajwa kwa haya majina (popote usomapo au usikiapo haya majina tambua hapo inatajwa nafsi ya Yesu siyo ule mwili)

A)BABA
B)ROHO MTAKATIFU
C)MFALME
haya majina yana tajwa kuelezea nafsi ya Mungu.

adriz Al-mukheef Malaria 2 FaizaFoxy OHB11 Covax Jagina Bwana Utam
HIi fafanuzi ndiyo ukweli ambao uwezi kuupata hata makanisani ni sahihi kwa asilimia 100 .. sasa soma upya injili yote na pitia vipengere ulivyo tatizika navyo kwa kutumia hii fafanuzi utaona wewe ndiyo ulikuwa haujui ...hivyo kudhani injili imepinda au umepingana au inagongana .
 
Wewe umesema Mungu wa Yesu ni Baba halafu nikakuuliza na Mungu wa Baba ni nani ukajibu Baba hana Mungu kwa kuwa yeye ndiye Mungu

Sasa je,Yesu mwenye Mungu unakubali kuwa sio Mungu?
 
Yesu asemapo baba umaanisha nafsi yake siyo mwili wake na asemapo mwana umaanisha ule mwili wake ...na Baba ndiyo Nafsi ya Mungu ...

Nimekuambia NAFSI YA MUNGU ILITWAA MWILI WA BINADAMU NA KUJIHITA YESU ....HIYO NAFSI NDIYO BABA NA ULE MWILI ILIYO UTWAA NDIYO MWANA .. NDIYO MAANA YESU ANASEMA..
👉 MIMI NA BABA TU WAMOJA
👉ANIONAYE MIMI KAMUONA BABA
👉BABA YANGU NI MKUU KULIKO MIMI
👉NAFSI NDIYO UZIMA MWILI HAUFAI KITU..
 
MIMI NA BABA TU WAMOJA
Yohana 17:21-23

21 Ninawaombea wote wawe kitu kimoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi ni ndani yako; ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma. 22 Nimewapa utukufu ule ule ulionipa ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo - 23 mimi nikiwa ndani yao na wewe ndani yangu; ili wakamilike katika umoja na ulimwengu upate kujua ya kuwa umenituma na kwamba unawapenda kama unavyonipenda mimi.

Hapo inasemwa wanafunzi wawe ndani ya Yesu kama Yesu alivyo ndani ya Baba je wanafunzi nao ni miungu?
ANIONAYE MIMI KAMUONA BABA
Mungu haonekani
BABA YANGU NI MKUU KULIKO MIMI
👉NAFSI NDIYO UZIMA MWILI HAUFAI KITU
Kwa hiyo kama mwili haufai kitu na Yesu ndiye mwili basi Yesu hafai kitu
 
Back
Top Bottom