Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Umewahi kufuga kondoo au Mbuzi? Ingawa bia imekolea ila nataka nikutolee lock hio ili ujue jambo ambala haukuwaahi kulijua, mimina hio bia kwanza upige glass moja chap
Sijawahi kufuga hiyo mifugo.
 
Tehe tehe..hapa si bia mkuu,tunaelishana kama nina maswali na wewe unamajibu yake unanipa ila si aliekuwa sahiz basi anabia
 
Sijawahi kufuga hiyo mifugo.
Sasa bwana ipo hivi, ukichukua beberu jeupe la Mbuzi ukachukua na Mbuzi jike mweupe, beberu la mtaa akamtia mimba mbuzi mbuzi jike unaonaee akishamtia mimba atazaa sasa kwenye kuzaa zinatoka species ushaelewa kwenye hiizo species utakuta kuna Mbuzi mweusi yupo, hujaelewa bado sasa utajiuliza beberu la mtaa ni mweupe mbuzi mbuzi ni mweupe haka kambuzi kadogo keusi kametokea wapi, and that's how Africans comes in you know what I am saying? Kunywa bia kwanza.
 
Nimekuelewa mfano wako mkuu ila nipe mfano wa bidamu kwamba alioa mzungu/ mweupe wa kike akamtia mimba akatoka Muarabu, Mchina, Muhindi na MuaAfrica maana wewe umetoa mfano wa wanyama. Nipe elimu mkuu maana tunaona Binadamu wanazaana vipi na ni tofauti hata na wannyama kwa mfano wako, maana mimi nimefuga mbwa anazaa watoto sita ila hawafanani kimuonekano. Mimi nijibu huku kwa binadamu na vipi wawe na Imani tofauti kulingana na aina zao za rangi?
 
Kwani kati ya wasabato na walokole au dhehebu lolote lile ni kina nani hupandwa na roho mtakatifu?
Hawana Roho Mtakatifu .....hadi mtu kufikia kuwa na roho mtakatifu siyo masihara na awezi kuwa mtu wa madhehebu ya dini wala mkristo wa kuangaika na makanisa
 
Nimekuelewa mfano wako mkuu ila nipe mfano wa bidamu kwamba alioa mzungu/ mweupe wa kike akamtia mimba akatoka Muarabu, Mchina, Muhindi na MuaAfrica maana wewe umetoa mfano wa wanyama. Nipe elimu mkuu maana tunaona Binadamu wanazaana vipi na ni tofauti hata na wannyama kwa mfano wako, maana mimi nimefuga mbwa anazaa watoto sita ila hawafanani kimuonekano. Mimi nijibu huku kwa binadamu na vipi wawe na Imani tofauti kulingana na aina zao za rangi?
Mazingira ndio yanawafanya binadamu wawe walivyo wapo watanzania wanaishi China ukiwaangalia ni km wachina, umewahi kujiuliza kwanini? Living condition you know, au unataka nizame ndani kabisa nikupasulie yai nikutolee kiini cha tatizo?
 
Hawana Roho Mtakatifu .....hadi mtu kufikia kuwa na roho mtakatifu siyo masihara na awezi kuwa mtu wa madhehebu ya dini wala mkristo wa kuangaika na makanisa
Mkuu hio bia uluyokunywa ni chungu sana, punguza kunywa kwa kasi utapaliwa
 
Itakuwa faida mkuu ndo elimu.Tupe waTanzania na mifano yao ambao wako kama waChina kimuonekano na tamaduni kiasi ambacho hatuwezi kuwatofautisha na Wachina mkuu. Ila bado hujanijibu unauhusiano vipi na Adam na kizazi chake ukiwa kama muAfrica na huna historia yoyote imeiandikwa kwenyw vitabu vyao?!
 
Tupo watu wenye akili wachache tumesalia duniani ..kama wewe ni mmoja wao unaye amini mwamposa au gwajima ni mtume basi tambua kuwa wewe ni mpumbavu kwa sababu hata kutokuamini kuwa mwamposa ni mtume pia ni upumbavu kwa sababu hao wanao jihita mitume ni wahuni kamili hivyo hata asiye amini pia hana uhakika yupo karibu na kuja kuamini.
 
Wewe usiseme watu wamelewa kumbe wewe ndo umelewa. Tupe connection hapa ya hawa watu wote wa races tofauti wametokeaje kulingana na vitabu hivyo viwili vya dini na kwanini imani zao ni tofauti hata kijeografia? Na kwanin hata hapo mnaposema ndo wametoka wanadamu wa kwanza bado ni tofauti? Hata madabii ni wanagombaniana..,yupi yuko sahihi? Wa kwanza au wa mwisho? Mbona majina ya miungu yanatofautiana hata tamaduni za kuabudu kama wote ni sawa kianzia Mungu na manabiii?? Yaan huyu mara Isa mara Yesu na wote wanasema ni mtu mmoja ila story yeke tofauti. Kimtaa tunasema mtu asiyejurikana.
 
Itakuwa faida mkuu ndo elimu.Tupe waTanzania na mifano yao ambao wako kama waChina kimuonekano na tamaduni kiasi ambacho hatuwezi kuwatofautisha na Wachina mkuu. Ila bado hujanijibu unauhusiano vipi na Adam na kizazi chake ukiwa kama muAfrica na huna historia yoyote imeiandikwa kwenyw vitabu vyao?!
Tofauti za kimuonekano kati ya binadamu—kama vile rangi ya ngozi, umbo la macho, na aina ya nywele—ni matokeo ya mchakato mrefu wa kibaolojia na kimazingira uliodumu kwa maelfu ya miaka. Kisayansi, vyanzo vikuu ni hivi vifuatavyo:
1. Mageuzi na Mazingira (Evolution & Adaptation)
Hii ndiyo sababu kuu. Binadamu walipohama kutoka Afrika na kusambaa sehemu mbalimbali duniani, walilazimika kubadilika ili kuendana na hali ya hewa ya maeneo mapya.
* Rangi ya Ngozi: Watu wanaoishi maeneo yenye jua kali (kama Afrika) wana kiasi kikubwa cha melanin (rangi asilia ya mwili) inayolinda ngozi dhidi ya miale ya hatari ya jua (UV rays). Kule ambako jua ni chache (kama Ulaya), miili ilipoteza melanin ili kuruhusu ngozi kufyonza mwanga mdogo wa jua kwa ajili ya kutengeneza Vitamin D.
* Umbo la Macho: Kwa mfano, "mkunjo wa epicanthic" unaopatikana kwa watu wa Asia Mashariki (kama Wachina), unadhaniwa kuwa ni kinga ya macho dhidi ya baridi kali, upepo mkali, au mwanga mkali wa jua unaoakisiwa kwenye theluji.
2. Vinasaba (Genetics)
Kila kundi la watu limekuwa likizaliana ndani ya eneo lake kwa muda mrefu, jambo ambalo limefanya sifa fulani za kijenetiki (DNA) ziwe na nguvu zaidi katika kundi hilo kuliko kundi lingine. Hii inaitwa Natural Selection.
* Kama kundi fulani lina vinasaba vya pua pana (nzuri kwa kupoza hewa ya moto) au pua ndefu na nyembamba (nzuri kwa kupasha joto hewa ya baridi kabla haijafika mapafuni), sifa hizo hurithishwa vizuri zaidi katika mazingira hayo.
3. Kutengwa kwa Kijiografia (Geographical Isolation)
Zamani, kabla ya kuwepo kwa ndege na meli za kisasa, milima mirefu, bahari, na majangwa vilizuia watu wa mabara tofauti kuchangamana. Hii ilifanya kila kundi liendelee kuwa na muonekano wake wa kipekee kwa maelfu ya miaka bila kuingiliwa na vinasaba vya kutoka mbali.
4. Mutation (Mabadiliko ya Ghafla ya Vinaba)
Wakati mwingine, mabadiliko madogo yanayotokea kwenye DNA (mutations) yanaweza kuanzisha sifa mpya. Kama sifa hiyo haina madhara au inasaidia kuishi, inazidi kusambaa kwenye kizazi kinachofuata. Kwa mfano, rangi ya macho ya bluu ilianza kama mabadiliko ya vinasaba kwa mtu mmoja huko Ulaya maelfu ya miaka iliyopita na kusambaa.
Ni muhimu kukumbuka kuwa, licha ya tofauti hizi za nje, DNA ya binadamu wote duniani inafanana kwa zaidi ya 99.9%. Tofauti tunazoziona ni za "juu juu" tu zilizosaidia babu zetu kuishi kwenye mazingira yao.

Hapa kuna maelezo ya kina ya jinsi vinasaba (DNA) na mfumo wa urithi unavyofanya kazi kuamua rangi ya ngozi ya binadamu:
1. Jukumu la Melanin
Rangi ya ngozi inategemea zaidi kitu kinachoitwa Melanin. Hii ni pigmenti (rangi asilia) inayozalishwa na seli maalum zinazoitwa melanocytes. Kuna aina mbili kuu za melanin:
* Eumelanin: Inatoa rangi nyeusi au kahawia (inapatikana kwa wingi kwa Waafrika).
* Pheomelanin: Inatoa rangi nyekundu au njano (inapatikana kwa wingi kwa watu weupe/Wazungu).
2. Mfumo wa "Polygenic Inheritance"
Tofauti na sifa nyingine rahisi (kama kikundi cha damu), rangi ya ngozi haidhibitiwi na jini moja tu. Inadhibitiwa na majini mengi kwa pamoja (kitaalamu huitwa polygenic). Wanasayansi wamegundua zaidi ya majini 100 yanayohusika, lakini machache kama MC1R, SLC24A5, na TYR yana nguvu zaidi.
Mfano rahisi: Fikiria rangi ya ngozi kama mchanganyiko wa rangi kwenye ndoo. Ukichanganya matone mengi ya rangi nyeusi, ndoo itakuwa na rangi nzito. Ukichanganya matone machache, itakuwa hafifu. Kila mzazi anachangia "matone" (majini) yake kwa mtoto.
3. Jinsi Inavyorithishwa (Punnett Square Logic)
Mtoto anapopata nusu ya DNA kutoka kwa baba na nusu kutoka kwa mama, mchanganyiko wa majini hayo ndio unaoamua rangi yake:
* Wazazi wenye rangi sawa: Kama wazazi wote wana majini yanayozalisha melanin nyingi, mtoto atakuwa na melanin nyingi.
* Wazazi wenye rangi tofauti: Mtoto anaweza kuwa na rangi ya "katikati" au wakati mwingine kufanana zaidi na mmoja wa wazazi, kulingana na ni majini gani yenye nguvu (dominant) yamepita.
* Asili ya Kale: Tafiti zinaonyesha kuwa majini ya ngozi nyeusi ndiyo ya asili ya binadamu wa kwanza. Mabadiliko (mutations) yaliyotokea maelfu ya miaka iliyopita ndiyo yalisababisha majini ya ngozi nyeupe kuanza kujitokeza kwa watu waliohamia maeneo yenye baridi.
4. Kwanini Ndugu wa Damu Wanatofautiana?
Hata watoto wa baba na mama mmoja wanaweza kuwa na rangi tofauti kidogo. Hii ni kwa sababu kila yai na kila mbegu ya kiume hubeba mchanganyiko wa nasibu (random shuffle) wa majini ya wazazi. Ni kama kucheza karata; kila mara unapata "mkono" tofauti kidogo.

Hapa kuna maelezo ya kina ya jinsi rangi ya ngozi inavyofanya kazi kama "kinga" ya kibaolojia ili kulinda afya ya binadamu kulingana na mazingira aliyopo:
1. Ulinzi dhidi ya Miale ya UV (Kwa Ngozi Nyeusi)
Maeneo ya tropiki (kama Afrika) yana jua kali sana lenye miale ya Ultraviolet (UV).
* Kuzuia Kansa: Melanin nyingi kwenye ngozi nyeusi inafanya kazi kama "koti la kinga" (natural sunscreen). Inafyonza miale ya UV na kuizuia isiharibu DNA ya seli za ngozi, jambo ambalo lingeweza kusababisha kansa ya ngozi.
* Kulinda Folate (Vitamin B9): Miale mikali ya UV inaweza kuharibu folate mwilini, ambayo ni muhimu sana kwa ukuaji wa mtoto tumboni na utengenezaji wa mbegu za kiume. Ngozi nyeusi inazuia uharibifu huu, ikihakikisha binadamu anaweza kuendelea kuzaliana salama kwenye jua kali.
2. Utengenezaji wa Vitamin D (Kwa Ngozi Nyeupe)
Maeneo ya mbali na ikweta (kama Ulaya na Kaskazini mwa Asia) yana jua chache sana, hasa wakati wa baridi.
* Changamoto ya Vitamin D: Binadamu anahitaji mwanga wa jua (UVB) ili ngozi yake iweze kutengeneza Vitamin D, ambayo ni muhimu kwa mifupa imara na mfumo wa kinga.
* Mageuzi (Adaptation): Ikiwa mtu mweusi angeishi maeneo hayo ya baridi kali bila teknolojia ya kisasa, ngozi yake nzito ingezuia kiasi kidogo cha jua kilichopo kisipenye. Matokeo yake, angepata ugonjwa wa mifupa (Rickets).
* Suluhisho: Ndiyo maana watu wa maeneo hayo walipoteza melanin (wakawa weupe) ili kuruhusu hata ule mwanga mdogo wa jua upenye na kutengeneza Vitamin D ya kutosha.

Hitimisho la Kisayansi
Tofauti tunazoziona leo ni ushahidi wa jinsi miili ya babu zetu ilivyokuwa na akili ya "kubadilika" ili kutuwezesha kuishi popote duniani. Hakuna rangi iliyo bora kuliko nyingine; kila moja ni teknolojia ya kibaolojia iliyoundwa kwa ajili ya mazingira fulani.

Ngoja nimalize hii bia niende naanza kuona wahudumu wanaanza kua wazuri sasa.
 
Tupo watu wenye akili wachache tumesalia duniani ..kama wewe ni mmoja wao unaye amini mwamposa au gwajima ni mtume basi tambua kuwa wewe ni mpumbavu kwa sababu hata kutokuamini kuwa mwamposa ni mtume pia ni upumbavu kwa sababu hao wanao jihita mitume ni wahuni kamili hivyo hata asiye amini pia hana uhakika yupo karibu na kuja kuamini.
Miaka 2000 ijayo hawa watahukumiwa kwa kutomkubali Mwamposa kama Mtume wa Mungu maana wanasema hata nabii hakubaliki kwao na mitume yote Wayahudi waliiki

Sasa swali la kiimani umejibu kisayansi tena.Wewe ndo umelewa sasa. Umekunywa nini mkuu unaleta maelezo mengi ya Kisanyansi bila rejea ya Vitabu vya dini yako? Maliza Kisungura ukalale.
 
Sinywagi maji ya betrii mimi, watch your tongue. Wewe unasemaje? Where is my key's?
 
Kama haujui mtu kufikia daraja ya utume anatakiwa kuwa na sifa gani na njia zake zinatakiwa kuwa vipi ndiyo shida inapo anzia ....kwanza mtume awezi kuwa chawa wa mtu yoyote wala chawa wa pesa wala chawa wa serikali ..pia mafundisho yake ndiyo msingi ...mafundisho yake yamenyoka ...hakuna mtume anaye sema Mungu ana nafsi 3
 
Nipe sifa zake mkuu ili baadae wasijekusema Mwamposa alikataliwa tu ila ni mtume maana hamnaga mtume alikubalika huko kwa waliokuletea dini wengine walikufa tena kifo cha uhaini kabisa..hawakukubalika kabisa mkuu.
 
Sinywagi maji ya betrii mimi, watch your tongue. Wewe unasemaje? Where is my key's?
Tumepishana lugha kidigo, hapa unamaanisha nini mkuu ? Wengine sisi Lugha za kigeni hatuzielewi mkuu nieleweshe tu ili nijue
 
Wakati watu wanasema mambo ya roho mtaktifu Muddy hayupo. Na kwanini ujinasibu na mababu wa wenzio waliopambania imani yao huko na mungu wao hata hukuwepo?? Muarabu/Myahudi/MuaAfrika wapi na wapi na hao wote washawabeba WaAfrika kama Watumwa na hadi leo mnadharaulika WaAfrika si kwenye Mataifa yao tu Hadi kwenye mataifa yenu!!
Kwani wewe unajua kuwa kila mwarabu au mzungu alichukua watu watumwa?
 
Hawana Roho Mtakatifu .....hadi mtu kufikia kuwa na roho mtakatifu siyo masihara na awezi kuwa mtu wa madhehebu ya dini wala mkristo wa kuangaika na makanisa
Wewe unaye Roho Mtakatifu?
Na vipi katika walioandika Injil yaani Marko,Luka,Mathayo na Yohana nani alikuwa na Roho Mtakatifu?
 
Kwani wewe unajua kuwa kila mwarabu au mzungu alichukua watu watumwa?
Sijasema wote ila wale wafanyabiashara kutoka huko waliifanya hiyo biashara ya binadamu kihalali kabisa tena kulingana na mahitaji ya watumwa kipindi hicho. Walipomaliza kufanyana watumwa wenyewe wakaigeukia Africa kwamba sisi ndo tulikuwa wazuri zaidi kulingana na hali ngumu ya mazingira ya kufanya kazi kipindi hicho. Hata leo tunasikia vilio vya mabinti wengi sana kutoka Afrika wakienda kufanya kazi huko Uarabuni mateso na manyanyaso wanayoyapokea huko ni balaa so bado wanatuona sisi ni watumwa wao wala si ndugu katika dini sababu hata mimi sijaona connection ya sisi na babu zao ingawa hata wao wanaibiana mababu kwa kiwabadirisha majina yao.
 
Wewe unaye Roho Mtakatifu?
Na vipi katika walioandika Injil yaani Marko,Luka,Mathayo na Yohana nani alikuwa na Roho Mtakatifu?
Mimi sina roho mtakatifu ila injili imeandikwa na roho mtakatifu ndiyo maana aipingani ila asije na akili udhani inapingana..msahafu ni kitabu chenye hekima ovu wala hakina unyoofu wala utakatifu ndani yake .... kina logic potovu kwa asilimia 80%....mfano ..

1)ndani ya uislamu kuna mafundisho yana waagiza waislamu kushindana kutenda mema 👈 hapa pana mtego mbaya sana wa shetani kama waislamu wangekuwa na hekima wangetambua kuwa fundisho hili si la Mungu bali ni la Shetani.

2)kusalisha na kusalishwa 👈 hili nalo ni fundisho la shetani (hata makanisa na wakristo wanafanya huu udhalimu) ni kosa kusalisha au kukubali kuswalishwa..

3)Muhammad alikuwa hajui hata maana ya Mtume na Nabii ndiyo maana akasema haya maneno kuwa uma wake ndiyo uma bora kuliko nyuma zote 👈 hapa kuna kosa kubwa sana tena makosa mengi....
 
Back
Top Bottom