Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

Yohana 17:21-23

21 Ninawaombea wote wawe kitu kimoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi ni ndani yako; ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma. 22 Nimewapa utukufu ule ule ulionipa ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo - 23 mimi nikiwa ndani yao na wewe ndani yangu; ili wakamilike katika umoja na ulimwengu upate kujua ya kuwa umenituma na kwamba unawapenda kama unavyonipenda mimi.

Hapo inasemwa wanafunzi wawe ndani ya Yesu kama Yesu alivyo ndani ya Baba je wanafunzi nao ni miungu?

Mungu haonekani

Kwa hiyo kama mwili haufai kitu na Yesu ndiye mwili basi Yesu hafai kitu
Ndiyo katika Roho mtakatifu mbona nilisha kuambia roho mtakatifu ni nini..mbona mtu akipandisha jini watu usema siyo yeye ni jini ...WOTE WENYE ROHO MTAKATIFU WANA MUNGU NDANI YAO..ROHO MTAKATIFU NI MUNGU YULE YULE.
 
Ndiyo katika Roho mtakatifu mbona nilisha kuambia roho mtakatifu ni nini..mbona mtu akipanfisha jini watu usema siyo yeye ni jini ...WOTE WENYE ROHO MTAKATIFU WANA MUNGU NDANI YAO..ROHO MTAKATIFU NI MUNGU YULE YULE.
Kama wote wenye Roho Mtakatifu wanakuwa na Mungu ndani mbona wanakuwa wanatofautiana mawazo?
 
Kama wote wenye Roho Mtakatifu wanakuwa na Mungu ndani mbona wanakuwa wanatofautiana mawazo?
Swali la kijinga ROHO MTAKATIFU ni kama mwalimu darasani ...swali lako ni kusema kama mwalimu ni mmoja huyo huyo mbona ufaulu wa wanafunzi wake ni tofauti...? Na mimi nitakuuliza swali kama mungu ni mmoja huyo huyo kwa watakatifu wote waendao peponi kwanini kuna daraja za utakatifu yaani hata mitume wapo kidaraja ...maswali yako ni ya kitoto sana.
 
Ngoja nikueleweshe sasa
Umesema Mungu akiwa ndani ya watu ndiyo huitwa Roho Mtakatifu
Je huyo Roho Mtakatifu anafanya kazi gani akiwa ndani ya watu?
Bila shaka nikuwaongoza
Sasa kama anawaongoza iweje watu wenyewe kuongozwa na Roho Mtakatifu mmoja aliyekuwepo ndani yao awaongoze kufanya mambo mbalimbali ambayo kila mmoja hutofautiana na mwenzie?

Mfano kwa nini Roho Mtakatifu awaongoze wasabato kuwa kula nguruwe ni haramu halafu hapohapo awaongoze walokole kuwa kula nguruwe ni halali?
 
ROHO MTAKATIFU AFANYAPO KAZI NDANI YA WATU HAKUNA ITILAFU ILA KUNA TOFAUTI YA KUWA NA ROHO MTAKATIFU NA KUPANDWA NA ROHO MTAKATIFU NI KAMA KUWA NA JINI NA KUPANDWA NA JINI ...MTU ANAWEZA KUWA NA JINI ILA ASIPANDWE NA JINI ...HIVYO ROHO MTAKATIFU AKIPANDA NDANI YA MTU HAPO HUYO MTU ANAKUWA MUNGU KWA KILA ASEMACHONA NA AFANYACHO ...NDIYO MAANA MWENYE ROHO MTAKATIFU WAMEONYWA PIA KUTO KUTENDA DHAMBI MAANA NAFSI NI MBILI, NAFSI YA MUNGU HAIWEZI KUTENDA TENDO LOLOTE LIKAWA DHAMBI ILA NAFSI YA BINADAMU INAWEZA KUTENDA DHAMBI ...Roho mtakatifu(yaani nafsi ya Mungu ) ufanya usahidizi nyuma ya nafsi ya mwanadamu.... ila ROHO MTAKATIFU Ifanyapo kazi mbele ya hiyo nafsi ya binadamu ndiyo kupanda kwa roho mtakatifu, hapo huyo mtu anakuwa ni Mungu kwa wakati huo .. hivyo ukisikia mtu ananena kwa Roho Mtakatifu tambua kuwa huyo siyo nafsi ya binadamu bali ni Mungu anatumia mwili wa huyo binadamu kunena .. dalili zake ni mtu huyo unena kwa ufasaha sana wala chafya wala kigugumizi wala kwikwi wala kukosea maneno kunakuwa hakupo kinywani mwake muda huo anenapo katika roho mtakatifu...

Kuhusu wasabato na madhehebu ya dini nilisha eleza hapa kuwa madhehebu ya dini ni NI MAKUSANYIKO YA SHETANI . WASABATO WAKATOLIKI WALOKOLE WOTE HAO NI SHETANI. HAKUNA MWENYE ROHO MTAKATIFU HATA MMOJA NDANI YA HAYO MADHEHEBU...
 
ROHO MTAKATIFU AFANYAPO KAZI NDANI YA WATU HAKUNA ITILAFU ILA KUNA TOFAUTI YA KUWA NA ROHO MTAKATIFU NA KUPANDWA NA ROHO MTAKATIFU NI KAMA KUWA NA JINI NA KUPANDWA NA JINI ...MTU ANAWEZA KUWA NA JINI ILA ASIPANDWE NA JINI ...HIVYO ROHO MTAKATIFU AKIPANDA NDANI YA MTU HAPO HUYO MTU ANAKUWA MUNGU KWA KILA ASEMACHONA NA AFANYACHO ...NDIYO MAANA MWENYE ROHO MTAKATIFU WAMEONYWA PIA KUTO KUTENDA ZAMBI MAANA NAFSI NI MBILI NAFSI YA MUNGU AIWEZI KUTENDA TENDO LOLOTE LIKAWA DHAMBI ILA NAFSI YA BINADAMU INAWEZA KUTENDA DHAMBI ...Roho mtakatifu(yaani nafsi ya Mungu ) ufanya usahidizi nyuma ya nafsi ya mwanadamu ila ifanyapo kazi mbele ya hiyo nafsi ndiyo kupanda kwa roho mtakatifu huyo anakuwa ni mungu kwa wakati huo .. hivyo ukisikia mtu ananena kwa roho mtakatifu tambua kuwa huyo siyo nafsi ya binadamu bali ni mungu anatumia mwili wa huyo binadamu kunena .. dalili zake ni mtu huyo unena kwa ufasaha sana wala chafya wala kigugumizi wala kwikwi wala kukosea maneno kunakuwa hakupo kinywani mwake muda huo anenapo katika roho mtakatifu...
Kwani kati ya wasabato na walokole au dhehebu lolote lile ni kina nani hupandwa na roho mtakatifu?
 
Mzee tuchague wewe ukaungue moto na mimi nikaungue kwenye udongo
 
Shetani/ Ibilisi ni jini.

Binadamu na majini tumeumbiwa utashi wa kuchagua, kutii/kutokutii, kushukuru au kukufuru.

Yeye kulingana na utashi wake alijiona bora kuliko nabii Adamu kisa yeye kaumbwa na moto na Adamu kaumbwa na udongo.

https://www.jamiiforums.com/threads...ingana-na-wivu-la-kidaraja-baina-yao.2424366/
 
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.

Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.

Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano Muhammad, Issa, Ibrahimu, Mussa nk.

Na hao hao mitume wakubwa nao madaraja yao ni tofauti pia, na kwa kuwa peponi hakuna namna utafanya kuongeza daraja lako, ina maana kuwa maisha yako yatakuwa ni yale yale, raha ni zile zile, hakutakuwa na uwezo wa kumpiku mtu aliyekuzidi pepo/daraja.

Hivyo je hao mitume umeshawahi kufikiria wakiona wivu baina yao nini kitatokea?

Au je hao mitume kutaka daraja la zaidi na zaidi nini kitatokea.

Maana hata Ibilis alikuwa mcha Mungu sana kwa miaka mingi sana lakini mwisho wa siku kiburi kikamponza kwa kujiona bora zaidi na kuashia kupata laana.
Walikuwa na Ngozi kama wewe??

Kwanini yeye tu ndo awe kiburi? Na si wengi kuwa viburi? Kumbe hata huko mbinguni kuna madaraja?/Status? Tulijua huko wote ni sawa.Kumbe msemo wa mbinguni kama duniani uko sahihi.😁
 
Mimi ninakunasihi usizungumze Dini ya Allah bila ya Elimu. Unafanya kitu cha hatari sana na sio kizuri kabisa. Nimekupa dalili kuwa unayoyafikiria sio sawa na uache kuwafikiria Mitume wa Allah kwa fikra mbaya sana na ku hypothesize vitu viovu mno ukawahusisha navyo, kuwa na Adabu na Allah na kuwa na Adabu na Mitume wake. Na acha kuyazungumza mambo ya ghaibu kwa kutumia akili yako yenye ukomo na maoni yako. Mambo ya Ghaibu hayafanyiwi guessing wala kuya hypothesize.

Baki katika Dalili za Kishari'ah. Huwezi kuyajua mambo ya Peponi ila kwa Wahyi Alioletewa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Acha kufikiria Mambo yaliyofichikana kwa kutumia akili yako.

Sijui kama ile comment yangu kule juu umeisoma.

Mche Allah, Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao) hawazungumzwi hovyo hovyo wala hawahusishwi na mambo ya hovyo hovyo.

Nakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu kwa mara nyengine umche Allah.
Ongea sana ila wewe ni Muarabu? Huyo unaemtaja ashafika hata Bongo yetu? Kwanini ahubiri tu huko? Kwanini aeneze kwa kuwashapa wenzie bakora? Kwanini iwe kwa Lugha ya kiaArabu ambacho hadi sasa hata waumini wake ni music kukielewa zaidi ya kukikariri? Kwanini mfanye mashindano ya kukariri Quran na si kuielewa? Kwanini utuhusishe na Muarabu wakati sisi ni WaaAfrica? Kwanni sisi WaAfrica hatuna miungu ytu na zaidi ipo ya wenzetu? Nina maswali mengi ila si nauliza tu ila naomba kusaidiwa maana sipati connection ya WaAfrica sisi na Waarabu au Wayahudi au Wahindi au Wachina maana hao wote wanaAmini Miungu imetokana na Mababu zao au hata hadithi za miungu imeitwa majina yao. Kwanini imekuwa hivi? Nielekezwe si kwa matusi wala kejeli
 
Kwani kati ya wasabato na walokole au dhehebu lolote lile ni kina nani hupandwa na roho mtakatifu?
Wakati watu wanasema mambo ya roho mtaktifu Muddy hayupo. Na kwanini ujinasibu na mababu wa wenzio waliopambania imani yao huko na mungu wao hata hukuwepo?? Muarabu/Myahudi/MuaAfrika wapi na wapi na hao wote washawabeba WaAfrika kama Watumwa na hadi leo mnadharaulika WaAfrika si kwenye Mataifa yao tu Hadi kwenye mataifa yenu!!
 
Malizia hio bia kwanza mkuu. Ila hapo km umepiga pabaya mababu wa wenziwe tena?
Mkuu watawaunganisha mababu na Mungu wa mababu siyo wao. Hata hawahusiki mtu anakwambia babu yetu Adam..mimi kichwa kinauma kuutafuta huo muunganiko.Nahitaji kueleweshwa hivyo vizazi maana kama kumbukumbuzi si ziliandikwa kwanini nisipewe??!Vitabu vyao ni moja ya kumbukumbu maana hata Yesu alitabiriwa na vizazi kuhusu yeye na koo yake zipo
 
Malizia hio bia kwanza mkuu. Ila hapo km umepiga pabaya mababu wa wenziwe tena?
Yaan kama wanajua vizazi vya Adam mpaka Yesu/Issa na vizazi vya Muddy sasa kwanni hamna Connection na kizazi chetu Africa/China au India na hivyo vizazi wanaamini tulitokana navyo?? Nataka nipate conmection hapo inanishinda kuunganisha dot.
 
Pole sana mkuu, bia zimeshapanda kichwani kesho basi utaamka na hangover kali sana, job kutaendeka kweli au utatoa kisingizio cha kutoibuka job?
Teh teh teh ...unaweza kunijibu mkuu?! Swala nipate jibu ili nami nisitatizike tena. Bado tunamtafuta kama wewe umempata wakweli unatuelekeza wenzio, au wewe unataka umjue peke yako? Huyo Mungu!
 
Yaan kama wanajua vizazi vya Adam mpaka Yesu/Issa na vizazi vya Muddy sasa kwanni hamna Connection na kizazi chetu Africa/China au India na hivyo vizazi wanaamini tulitokana navyo?? Nataka nipate conmection hapo inanishinda kuunganisha dot.
Umewahi kufuga kondoo au Mbuzi? Ingawa bia imekolea ila nataka nikutolee lock hio ili ujue jambo ambala haukuwaahi kulijua, mimina hio bia kwanza upige glass moja chap
 
Back
Top Bottom