Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

I second you chief...
 
Bora niamini something that makes sense kuliko a naked couple in a magical garden with a talking snake...hii ni story za watoto wa chekechea
wewe unaamini ktk nini ili tukupime huko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

vipo vipimo tunavyo.
 
Nilikua nikidhania watu wana fanikiwa kirahisi kumbe mpaka mtu unatoboa inakua sio mchezo.
Watoto wa vigogo wa CCM wanatoboa kirahisi sana. Balaa lipo kwa sisi watoto wa walala hoi. Hauna connections, unajitajidi kuwa mzalendo labda utaambulia chochote kitu, unaishia kutukanawa na kuambiwa statements za dhihaka na watoto wa wakubwa huko serikalini.
 
uligunduaje mkuu kwamba ni hadithi za kutunga!!!

wewe umetunga kitabu gani???

vipi historia ya mkwawa na kinje nayo unaionaje si ni hadithi iliyotungwa pia au???
Historia ya mkwawa sio ya kutunga hata kidgo kwa sababu wapo wazee wetu ambao waliishi enzi hizo na wametusimulia kuhusu hayo Kwa mfano bibi angu alikuwepo enzi hizo aliwahi kunisimulia Japo kuhusu baadhi ya story ndani ya historia hiyo zimeongezwa na zingine kupunguzwa ila ni tofauti kabisa na Story ambazo hauna Authentification nazo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kiimani ni Nini kwanza...kuamini kisa kipo kwenye kitabu ama ..if that's so, thank u...
 
๐Ÿ˜‚Ishara za kimungu ndo kuleta waigizaji waact wanaanguka mapepo ama... Video zipo mtandaoni yaani siku hizi ndo maana huwezi mdanganya mtu...
 
Waambie pia hata story ya uumbaji Ukisoma Kweny bhagavad Gita its far more different na ukisoma kwenye Athrahesis za Samerian au mesopotonia Au old babilonian history ambavyo ni vitabu vya zamani kuliko Biblia na quran navyo vina hadithi zao za Uumbaji na

vinasema uumbaji una zaidi ya miaka 100000 ambayo kwenye biblia mnatuambia ni Miaka 6000 tu tangu dunia iumbwe ambayo sayansi na mazingira yanakataaa
 
But hakuna Sehemu Biblia wala Quran imetoa Original of the solar system halafu weww unataka mwwnzako akupe original ya solar system is it legit....kweli?

Maana biblia inasema Mungu aliumba Dunia na Mbingu haikusema kuhusu Sayari zingine na uwepo wa vimondo na Makazi kwenye sayari hizo zingine ambazo sasa hivi tunaziona
 
kwahiyo ulitaka bibi yako pia akusimulie story za Yesu kwamba alikuwa anamjua ili ukubali kwamba ni kweli kabisa!!!!

umesahau mkwawa ni wa juzi tu hapo!!
 
Watakuambia hoo ya Mungu mengi sijui ye ndo anapanga sijui he has a greater plan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚Ishara za kimungu ndo kuleta waigizaji waact wanaanguka mapepo ama...
Yes hata wewe unaweza ukaigiza,uzuri sisi wenyewe tunajua ni kwa namna gani unaweza kugundua uongo.
Video zipo mtandaoni yaani siku hizi ndo maana huwezi mdanganya mtu...
wewe ni rahisi kukudanganya sababu,kwanza unataka uthibitisho kwa kila kitu.vipi mtu akikwambia Yesu anaponya na bibi yako asiyejiweza akasimama kukimbia???si kesho tutakukuta kanisani kwa huyo nabii unamfulia nguo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚Ishara za kimungu ndo kuleta waigizaji waact wanaanguka mapepo ama... Video zipo mtandaoni yaani siku hizi ndo maana huwezi mdanganya mtu...
Na hakuna Mapepo Duniani Chief watu wana ugonjwa wa Afya ya Akili unaitwa Multiple Dissociate Identity Disorder (MDID) wanakuwa wanajiona kama wako Posesed Waje tuwatibu tu Ili wawe poa
 
Sasa kama hakuna uthibitisho Then you unataka kuniambia you Follow Blindly
 
Kama na hapo umeshindwa kuelewa basi we can't go further let's agree to disagree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ