Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Mambo mengi tu. Kuongeza maarifa kunatufanya tutupilie mbali imani za zamani. Tunatakiwa tuwe watu wa kutafuta ukweli na walio tayari kubadilika tukikutana na ukweli mpya.

1. Nilikuwa naamini Yesu ni Mungu kumbe siyo.
2. Niliamini demokrasia ni nzuri kuliko udikteta kumbe siyo.
3. Niliamini USA ndiyo kilele cha ubora, kumbe ni shithole kama shitholes zingine.
4. Niliamini CHADEMA ni chama cha Maana kumbe hamna kitu.
5. Niliamini ubepari na soko huria kumbe ni hovyo kabisa.
Facts
 
Sayansi haina majibu ya kila kitu.

Kwa vile sayansi mpaka itoe majibu ni lazima uchunguzi na utafiti ufanyike kutoa uthibitisho wa kuonekana kuhusu uwepo wa kitu fulani.

Imani haifanyi utafiti wowote ule, Haihitaji uchunguzi wowote ule, kuonesha uwepo wa kitu.

Kwa hiyo hata Majibu ya Uongo kwa imani yamewezeka na yana onekana ni ukweli kumbe sivyo.

Sayansi hadi itoa jibu, lazima ijiridhishe kwanza uwepo wa kitu hicho ni ukweli kabisa.

Kwa imani hata Uongo unaweza aminiwa.
Sasa usiseme sayansi haina majibu ya kila kitu bali sema tu sayansi ni utafiti na uchunguzi, kwa sababu yapo tusiyajua kwa sababu hatujayafanyia tu utafiti wa kisayansi na yapo tusiyotaka kuyafanyia utafiti.

Sema tuache huu ujinga wa kushindanisha et imani na sayansi, huu ujinga unatokana na kufikiri imani inahusu masuala ya dini na Mungu tu au sayansi ni kinyume cha imani.
 
Binadamu baada ya kukosa majibu ya maswali magumu yaliyo wasumbua.

Wali amua kuunda dhana ya kufikirika, kwamba dhana hiyo ndio itakuwa majibu ya kila swali gumu.

Kwamba, Swali likishindikana basi jibu lake lina fosiwa kuwa dhana hiyo ya kufikirika ndio jibu, Ambayo dhana hiyo ni Mungu.

Sayansi imekuja na majibu mengi sana ya maswali yaliyo sumbua binadamu hapo kale, Sayansi na teknolojia vina endelea kutoa majibu ya maswali mengi magumu,

Lakini dhana hiyo ya kufikirika Mungu, Haikuwahi kutoa majibu yeyote yenye uthibitisho ulio msaidia binadamu katika nyanja za maisha.

Dhana hiyo "Mungu" ni kama Psychotherapy kwa maswali magumu yaliyo kosa majibu.

Yenyewe ni kupiga tantalilaa za maneno tu,
Ni kwa vp dhana ya Mungu ilitumika kujibu maswali ukizingatia maswali hayaishii hadi sasa?
 
Suala lilikuwa origin of solar system sasa umesema Allah kasema Kaumba jua na mwezi labda utusaidie sasa je jua na mwezi sio sehemu ya solar system ?
Nadhani jibu utakuwa unalo, Lakini kama shida yako ni kuumbwa kwa sayari hata dunia ni sayari na ALLAH amesema hilo katika Qur an
"Did the unbeliever do not realize that Heaven and Earth were one solid mass, then we tore them apart" Qur an 21:30
Hapo umeona Allah akielezea uumbaji wa dunia na dunia ni sayari so kama hoja ni kuhusu sayari jibu tayari unalo na hapo qur an imetaja kitu cha ziada the big bang theory hiyo
Kwanza kabisa mkuu samahani sana Sijui Elimu yako Viumbe anga (celestial bodies) uliipata wapi maana inaonyesha jinsi gani ulivyo chaka sana na kuna muda ni bora kuficha ujinga kwa watu wengi si vyema kuonyesga ujuaji...

(Samahani kwa kutumia offensive words)
maana hilo kidogo ndo lilikuwa neno la heshima ambalo nilipata kulitumia.......

Facts Checks
  • Ninashauri ili uweze kuzitetea hoja zako inatakiwa uwe na elimu kuhusu Hoja zako Maana inaonekana unajibu hoja bila kuwa na elimu yoyote...
Kwa sababu Solar system ni Complex Multicelestial body na kwa mtu mwenye ujuzi kidogo sana hata basic tu ya astronomy hawzi kuniambia kwamba solar system is only jua na mwezi...

Wakati huo Kwenye solar system tu kuna miezi zaidi ya 100 na zote zipo kwenye kila sayari ni kwa bahati mbaya tu dunia yetu ina mwezi mmoja .....

Unafikiri kwanini Quran haikutaja maumbo mengine kama sayari zingine,Asteroidi,vimondo na viumbe vingine

Ni kwa sababu mwandishi Alikuwa havioni hivyo vingine na hakuwa na Elimu ya other celestial bodied ila only Jua na mwezi na nyota ndiyo vilionekana kwao.....

  • Nina shida kubwa sana kukuelimisha Ewe kijana mwenye qurani ya kugoogle namshukru Mungu qurani si"google" ipo kifuani mwangu... Vijana wa siku hizi wabishi kusoma nenda soma quran bado hujaielwa

Ila kwa kuwa wapenda Kusoma... Sawa...Nakusomesha skuli sasa...
Aya ulotoa al anbiya aya 30...

أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ

Kwa matamshi itasomwa hivi...

Awalam yara alladhiina kafaruu anna alssamawati waalardha/dhwa kanata ratqan fafataqnahuma wajaAAalna mina almai kulla shayin hayyin afala yuminuuuna....

Neno uliloshupalia Hilo al-ardhi halimaanishi dunia kama ulivyoshupalia ila linamaanisha ardhi au Nchi..

So hapo sio dunia watafsiri wa siku hizi wasikupotoshe rudi kwenye aya moja kwa moja zisome uje na jibu....

Sasa najua unaweza ukasema ooh sijui dunia ni sawa na ardhi na ukaja na ushahidi wako wa kubahatisha....
Ila ziko versi zaidi ya 30 zinazotaja ,Duniya kama duniya na hazikuzungumzia Ardhi so kwanini lisitumike Neno duniya ambalo ndo Earth au World tumia akili ndugu usudanganyike...

Neno Duniya limetumika kwenye (kasome Albaqara aya 86; albaqara aya 200; kasome pia Al araf Aya ya 32 na 36😉
neno Ardhi humaanisha nini kwenye quran nimeshasema Ardhi au mahali sasa nakupa uthibitisho...
kasome Sura ya WARUMI au ArRUM (sura ya 30)

anza aya ya 1-3...
sana sana ntajikita kwenye Aya ya pili na ya tatu..

Ar-Rum : verse no (2)

....... غُلِبَتِ ٱلرُّوم
فِىٓ أَدْنَى ٱلْأَرْضِ وَهُم مِّنۢ بَعْدِ غَلَبِهِمْ سَيَغْلِبُونَ

ambayo hutamkika..

Ghulibatil Rumi....
Fii adnaa alardhi wahum min baAAdi ghalabihim sayaghlibuuna

sasa unajua hapo imemaanisha nini 🤣🤣 maana usije tu ukaniambia Dunia ndogo...

ukiwa unajua kiarabu hata kidogo utagundua hapo anasema Warumi wameshindwa au wamekuwa defeated "Fi adnaa alardhi " ......
sasa unajua maana yake ....

kumbuka kuwa Adnaa mzizi wake ni "dana"
(دنا) neno hilo hilo ndo linalounda neno Ad-duniya (الرنيا)...

So tulikuwa huko sote sio kwamba Tunataka mtupe hoka za kina ukaona sisi hatujui sehemu mlipo...

Kingine nimeona umejaribu kutoa hiyo aya ukisupport kwamba duniani ni zao la BIGBANG 🤣🤣🤣.

SO Kumbe kwa aya hiyo unakubalian na sisi kwamba dunia ni zao la BIGBANG then kama unakubalo then Dunia haikuumbwa na mtu it was naturally appeared then Quran yako itakuwa inajipinga 🤣🤣🤣

SOMETIMES YOU NEED TO BE CONFUSED TO BECOME THE SAGE.....
 
Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.

Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Kweli shetani ni smart sana
 
Kwanza kabisa mkuu samahani sana Sijui Elimu yako Viumbe anga (celestial bodies) uliipata wapi maana inaonyesha jinsi gani ulivyo chaka sana na kuna muda ni bora kuficha ujinga kwa watu wengi si vyema kuonyesga ujuaji...

(Samahani kwa kutumia offensive words)
maana hilo kidogo ndo lilikuwa neno la heshima ambalo nilipata kulitumia.......

Facts Checks
  • Ninashauri ili uweze kuzitetea hoja zako inatakiwa uwe na elimu kuhusu Hoja zako Maana inaonekana unajibu hoja bila kuwa na elimu yoyote...
Kwa sababu Solar system ni Complex Multicelestial body na kwa mtu mwenye ujuzi kidogo sana hata basic tu ya astronomy hawzi kuniambia kwamba solar system is only jua na mwezi...

Wakati huo Kwenye solar system tu kuna miezi zaidi ya 100 na zote zipo kwenye kila sayari ni kwa bahati mbaya tu dunia yetu ina mwezi mmoja .....

Unafikiri kwanini Quran haikutaja maumbo mengine kama sayari zingine,Asteroidi,vimondo na viumbe vingine

Ni kwa sababu mwandishi Alikuwa havioni hivyo vingine na hakuwa na Elimu ya other celestial bodied ila only Jua na mwezi na nyota ndiyo vilionekana kwao.....

  • Nina shida kubwa sana kukuelimisha Ewe kijana mwenye qurani ya kugoogle namshukru Mungu qurani si"google" ipo kifuani mwangu... Vijana wa siku hizi wabishi kusoma nenda soma quran bado hujaielwa

Ila kwa kuwa wapenda Kusoma... Sawa...Nakusomesha skuli sasa...
Aya ulotoa al anbiya aya 30...

أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ

Kwa matamshi itasomwa hivi...

Awalam yara alladhiina kafaruu anna alssamawati waalardha/dhwa kanata ratqan fafataqnahuma wajaAAalna mina almai kulla shayin hayyin afala yuminuuuna....

Neno uliloshupalia Hilo al-ardhi halimaanishi dunia kama ulivyoshupalia ila linamaanisha ardhi au Nchi..

So hapo sio dunia watafsiri wa siku hizi wasikupotoshe rudi kwenye aya moja kwa moja zisome uje na jibu....

Sasa najua unaweza ukasema ooh sijui dunia ni sawa na ardhi na ukaja na ushahidi wako wa kubahatisha....
Ila ziko versi zaidi ya 30 zinazotaja ,Duniya kama duniya na hazikuzungumzia Ardhi so kwanini lisitumike Neno duniya ambalo ndo Earth au World tumia akili ndugu usudanganyike...

Neno Duniya limetumika kwenye (kasome Albaqara aya 86; albaqara aya 200; kasome pia Al araf Aya ya 32 na 36😉
neno Ardhi humaanisha nini kwenye quran nimeshasema Ardhi au mahali sasa nakupa uthibitisho...
kasome Sura ya WARUMI au ArRUM (sura ya 30)

anza aya ya 1-3...
sana sana ntajikita kwenye Aya ya pili na ya tatu..

Ar-Rum : verse no (2)

....... غُلِبَتِ ٱلرُّوم
فِىٓ أَدْنَى ٱلْأَرْضِ وَهُم مِّنۢ بَعْدِ غَلَبِهِمْ سَيَغْلِبُونَ

ambayo hutamkika..

Ghulibatil Rumi....
Fii adnaa alardhi wahum min baAAdi ghalabihim sayaghlibuuna

sasa unajua hapo imemaanisha nini 🤣🤣 maana usije tu ukaniambia Dunia ndogo...

ukiwa unajua kiarabu hata kidogo utagundua hapo anasema Warumi wameshindwa au wamekuwa defeated "Fi adnaa alardhi " ......
sasa unajua maana yake ....

kumbuka kuwa Adnaa mzizi wake ni "dana"
(دنا) neno hilo hilo ndo linalounda neno Ad-duniya (الرنيا)...

So tulikuwa huko sote sio kwamba Tunataka mtupe hoka za kina ukaona sisi hatujui sehemu mlipo...

Kingine nimeona umejaribu kutoa hiyo aya ukisupport kwamba duniani ni zao la BIGBANG 🤣🤣🤣.

SO Kumbe kwa aya hiyo unakubalian na sisi kwamba dunia ni zao la BIGBANG then kama unakubalo then Dunia haikuumbwa na mtu it was naturally appeared then Quran yako itakuwa inajipinga 🤣🤣🤣

SOMETIMES YOU NEED TO BE CONFUSED TO BECOME THE SAGE.....
Hata kwenye Biblia neno Ardhi limetumika kama nchi.
 
Kwanza kabisa mkuu samahani sana Sijui Elimu yako Viumbe anga (celestial bodies) uliipata wapi maana inaonyesha jinsi gani ulivyo chaka sana na kuna muda ni bora kuficha ujinga kwa watu wengi si vyema kuonyesga ujuaji...

(Samahani kwa kutumia offensive words)
maana hilo kidogo ndo lilikuwa neno la heshima ambalo nilipata kulitumia.......
No point ...just personal attack.
Unaweza endelea kutumia offensive words Kwani ni dalili ya kushindwa kujibu hoja so you can proceed.
Facts Checks
  • Ninashauri ili uweze kuzitetea hoja zako inatakiwa uwe na elimu kuhusu Hoja zako Maana inaonekana unajibu hoja bila kuwa na elimu yoyote...
Mfano wa hoja niliyojibu bila kuwa na elimu nayo??
Kwa sababu Solar system ni Complex Multicelestial body na kwa mtu mwenye ujuzi kidogo sana hata basic tu ya astronomy hawzi kuniambia kwamba solar system is only jua na mwezi...
Nani kasema solar system ni jua na mwezi tu??
Usiniwekee maneno, nilichosema ni kuwa jua na mwezi ni sehemu ya solar system ..au unapinga??
Sasa ulitaka Qur an ieleze kila kitu in detail then ulipewa Akili ya nini?? Ndio maana qur an inapotoa hints juu ya jambo inasema watu watafakari kwa maana katika kutafakari ndio utapata kubaini ukweli wa jambo
Yaani kwa akili zako ulitaka Qur an ikutajie Astronomy in details alafu tukija kwenye biology ungetaka ikutajie microbiology in detail, zoology,botany zote in detail sasa iko kitabu kingekuwaje?
Wakati huo Kwenye solar system tu kuna miezi zaidi ya 100 na zote zipo kwenye kila sayari ni kwa bahati mbaya tu dunia yetu ina mwezi mmoja .....

Unafikiri kwanini Quran haikutaja maumbo mengine kama sayari zingine,Asteroidi,vimondo na viumbe vingine

Ni kwa sababu mwandishi Alikuwa havioni hivyo vingine na hakuwa na Elimu ya other celestial bodied ila only Jua na mwezi na nyota ndiyo vilionekana kwao.....
  • Nina shida kubwa sana kukuelimisha Ewe kijana mwenye qurani ya kugoogle namshukru Mungu qurani si"google" ipo kifuani mwangu... Vijana wa siku hizi wabishi kusoma nenda soma quran bado hujaielwa
Qur an haipo kifuani mwako ..ingekuwa kifuani ungeamini uwepo wa Allah kwa sababu Qur an ni kitabu cha Allah.
wewe sema tu ulijifunza qur an ibilisi akakuzidi maarifa kwa sababu ulikuwa unasoma labda for your own purpose nasio kwa lengo la kumjua Allah.

Ila kwa kuwa wapenda Kusoma... Sawa...Nakusomesha skuli sasa...
Aya ulotoa al anbiya aya 30...

أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ

Kwa matamshi itasomwa hivi...

Awalam yara alladhiina kafaruu anna alssamawati waalardha/dhwa kanata ratqan fafataqnahuma wajaAAalna mina almai kulla shayin hayyin afala yuminuuuna....

Neno uliloshupalia Hilo al-ardhi halimaanishi dunia kama ulivyoshupalia ila linamaanisha ardhi au Nchi..

So hapo sio dunia watafsiri wa siku hizi wasikupotoshe rudi kwenye aya moja kwa moja zisome uje na jibu....

Sasa najua unaweza ukasema ooh sijui dunia ni sawa na ardhi na ukaja na ushahidi wako wa kubahatisha....
Ila ziko versi zaidi ya 30 zinazotaja ,Duniya kama duniya na hazikuzungumzia Ardhi so kwanini lisitumike Neno duniya ambalo ndo Earth au World tumia akili ndugu usudanganyike...

Neno Duniya limetumika kwenye (kasome Albaqara aya 86; albaqara aya 200; kasome pia Al araf Aya ya 32 na 36😉
neno Ardhi humaanisha nini kwenye quran nimeshasema Ardhi au mahali sasa nakupa uthibitisho...
kasome Sura ya WARUMI au ArRUM (sura ya 30)

anza aya ya 1-3...
sana sana ntajikita kwenye Aya ya pili na ya tatu..

Ar-Rum : verse no (2)

....... غُلِبَتِ ٱلرُّوم
فِىٓ أَدْنَى ٱلْأَرْضِ وَهُم مِّنۢ بَعْدِ غَلَبِهِمْ سَيَغْلِبُونَ

ambayo hutamkika..

Ghulibatil Rumi....
Fii adnaa alardhi wahum min baAAdi ghalabihim sayaghlibuuna

sasa unajua hapo imemaanisha nini 🤣🤣 maana usije tu ukaniambia Dunia ndogo...

ukiwa unajua kiarabu hata kidogo utagundua hapo anasema Warumi wameshindwa au wamekuwa defeated "Fi adnaa alardhi " ......
sasa unajua maana yake ....

kumbuka kuwa Adnaa mzizi wake ni "dana"
(دنا) neno hilo hilo ndo linalounda neno Ad-duniya (الرنيا)...

So tulikuwa huko sote sio kwamba Tunataka mtupe hoka za kina ukaona sisi hatujui sehemu mlipo...

Kingine nimeona umejaribu kutoa hiyo aya ukisupport kwamba duniani ni zao la BIGBANG 🤣🤣🤣.

SO Kumbe kwa aya hiyo unakubalian na sisi kwamba dunia ni zao la BIGBANG then kama unakubalo then Dunia haikuumbwa na mtu it was naturally appeared then Quran yako itakuwa inajipinga 🤣🤣🤣

SOMETIMES YOU NEED TO BE CONFUSED TO BECOME THE SAGE.....
Nani kakuambia dunia ni zao la big bang ?
Dunia Kaumba Allah, Nilichokuwa nasema nikiwa qur an imegusia big bang na theory ya Bing bang inaelezea origin of universe from tiny,dense and fifeball that exploded Lakini bing bang haitoi majibu ya maswali kama..👇
1. What come before the big bang?
2. Where did energy come From before the big bang?
3. Did time exist before the big bang.
Sasa point yangu ni kuwa kwa kuwa Allah kagusia big bang na Yeye ndiye kasema Kaumba dunia maana yake nikuwa Allah alikuwa anatoa hints juu ya uumbaji Yaani ni jinsi gani aliumba dunia kumbuka hapo inaelezwa jinsi dunia ilivyoumbwa sasa muumbaji ni nani?
Ndio Allah anajibu yeye ndiye muumbaji. Hii ni sawa na kusema kwamba science haijafika level ya qur an kwa maana kuna mambo sayansi imeshindwa kutolea majibu ila qur an imeyatolea moja wapi ni hili la asili ya dunia.
Na wakati unajibu hayo maswali about big bang usisahau law of conservation of energy inayosema " Energy cannot be created nor destroyed but can be transferred from one form to another"
Sasa Swali ni..If energy can't be created, where did it come from into first place??
 
Qur an haipo kifuani mwako ..ingekuwa kifuani ungeamini uwepo wa Allah kwa sababu Qur an ni kitabu cha Allah.
wewe sema tu ulijifunza qur an ibilisi akakuzidi maarifa kwa sababu ulikuwa unasoma labda for your own purpose nasio kwa lengo la kumjua Allah.
Mkuu mimi nilikataa kuwa mtumwa wa Uongo na kulazimisha kupindisha ukweli ili kutetea Uongo **** wakati tumia akili kuwaza tu halafu nenda soma utaniambia...

Bible na Quran tunatumia Nguvu nyingu sana kuzitetea Literally bila kujua zipo symbolically na metaphotically so nakuacha kwa sbabu hujui unachotetea..
Nani kakuambia dunia ni zao la big bang ?
Dunia Kaumba Allah, Nilichokuwa nasema nikiwa qur an imegusia big bang na theory ya Bing bang inaelezea origin of universe from tiny,dense and fifeball that exploded Lakini bing bang haitoi majibu ya maswali kama..👇
1. What come before the big bang?
2. Where did energy come From before the big bang?
3. Did time exist before the big bang.
FOA (first of all); Japo nimeizungumzia Big bang na kuandika kwamba "kumbe unakubaliana na sisi kuhusu big bang" doesnt alwayz means naikubali Big bangs theory kwa 100% kuwa its true (Naweza nikakubali kwa 85%...
Though inahitaji scientific explanation kuhusu Quantum physics ambazo mara nyingi imekuwa so debateble na metaphysics kuhusu hilo....

Nilichosema hapo kwenye ile phrase kipindi najibu swali lako ni mfano kama tukikutana mimi na wewe Marekani hata kama umetokea nanjilinji huko ndani ndani na mimi nimetokea Upareni ndani ndani ila nitasema ni ndugu yangu kwa sababu tukiwa nje sisi wote Kwakua ni watanzania Tutaungana ila tukiwa nchini kwetu ndo tutakuja kusema kuwa wwe ni wa nanjilinji na mimi ni wa Upareni huko Gonja milimani....
(Nafikiri umenielewa...)

Second; Maswali hayo uliyouliza ni mazuri sana ila nakushauri sana usome Quantum mechanics inaonekana kwenye physics uko shallow sana na ndo maana mwanzoni nikasema kuwa Unatakiwa kusoma kwanza kuhusu hoja unayotoa kabla ya kujaribu kuileta...

What comes before the bigbangs.
kama nilivyosema mwazoninl kabisa big bangs inaweza isiwe the 100% realy acceptable kwangu lakini ndyo theory inayokubalika zaidi kuhusu Chanzo cha ulimwengu japo kwa maelezo yao nahisi unahitaji sana kujikita kwenye Quantum (Quantum physics) mechanic..

shida ni kwamba theory hii ipo scientifically ila ukianza kuleta Metaphysical concepts (Philosophical view itakushinda)...

sasa kuna majibu mazuri kuhusu swali lako ambayo yamejibiwa vyema na nina propose nenda kasome some of the theories...

Multiverse theory,Quantum cosmology,na theory ya mwisho ni Cyclic universe
Hizi theory zitakusaidia kujibu maswali yako yote..
Ila kwa summary...

Kwenye multiverse utapata kuwa hii universe yetu.....
(Labda unaweza ukawa hujui kujusu universe ngoja nikufafanulie .....

Universe Ni space yote, Time quantinum,matter yote na energy yote kwa ujumla katika cosmos yote inacontains Galaxies [ambapo sisi solar system ni moja ya system iliyopo kwenye milkyway galaxy ila kuna galaxy zaidi ya 500 na zote zikiwa na system za nyota kadhaa zilizo na sayari zake ,nyota zote na system zake [najua unaifahamu solar system peke yake] )

Na nakukumbusha kwamba nikisema Time quantinum simaanishi muda kama unavyodhani namaanisha fine line posibility yaani future,Past and present viewed at the same time
Na hii ndo theory ya time quont. hata waislamu na wakristo mnaitumia waislamu wanasema siku moja kwa Mungu sawa na miaka 50,000 duniani....wakristo wanasema siku moja kaa mungu sawa na miaka 1000 duniani Those metaphor were only spoke about Time spce quantinum...

sasa Kwa kutumia Multiverse theory ni kwamba Big bangs ilitokea kwenye universe yetu peke yake lakini kuna universe nyingi sana zipo so ilikuwa only localised event with multsructure and complex cosmos matter structure....
Lakini kwa kutumia Cycline universe Theory hiyo theory inaelezea zaidi kuwa universe yoyote ina undergo Constantly infinite cycle of expansion na contraction...Yaani each Cycle inaanza na bigbangs na humalizika na Bigcrunch kwa muda fulani... At the certain time space Quantinu....na kwenye theory hiyo wanasema huenda hata hii universe yetu iliwahi kupata Bigcrunch na kupotea then ikapata bigbangs na kuonekan tena ...

Sasa nisiongee sana niende kwenye swali la 2 na la tatu..
sasa sometimes nashangaa kwanini huwa mnaoinga ukisoma....

yohana 1:1 nakuendelea utaona anasema
"hapo mwanzo kulikuwa na neno naye neno alikuwa kwa Mungu....Vyote vilifanyika katiks yeye na hskuna hata kimoja ambacho hakikufanyika"

kwa waislamu kuna phraise ambayo imetumika sana hata kwenye Quran mara nyingi tu. "kun faya kun" akisema kuwa kinakuwa.....

halafu bado unapata audacity yakuuliza energy ilikuwa wapi?

Wakati unaona hapo inasema manzo kulikuwa na neno na neno alikuwa Mungu...So neno ni nini Its logos which presented by sound right! Define sound.....😀😀

Sound ni form ya energy means kulikuwa na energy kuu so this means Your GOD maybe is the Main Energy which produce sound energy for creation and mechanical energy to create the world and human 😀😀😀
Nafikiri mambo yanajijibu yenyewe...

Unauliza kuhusu Time kuwa present before bigbangs ...thats why nimedoubt your physics Knowledge...
Time is Illusion and Relative kasome Theory za Albert Einstern zipo nyingi sana kuhusu Time n Quantum Mechanics...
Jibu ni simple sana TIME HAIPO KWENYE SPACE (Means Time doesnot applied in space.....nimeelezea hapo juu pia kuhusu Quran na biblia concepts ya space time (mbinguni)..

Na wakati unajibu hayo maswali about big bang usisahau law of conservation of energy " Energy cannot be created nor destroyed but can be transferred from one form to another"
Sasa Swali ni..If energy can't be created, where did it come from into first place??
Nyani haoni kundule 🤣🤣🤣🤣🤣...
Sasa wewe unaesema kuwa Mungu anaweza kujionyesha kwa namna tofauti wala hakuumbwa na wala hawezi kuharibiwa wala hakuzaliwa narudisha swali kwako sasa Yeye alitoka wapi?.....

Na ndo maana on my explanation concerns with this nimekuambia Kuwa huenda nyinyi mnachokiita Mungu ni Energy ola hamjui tu
 
Sasa wewe unaesema kuwa Mungu anaweza kujionyesha kwa namna tofauti wala hakuumbwa na wala hawezi kuharibiwa wala hakuzaliwa narudisha swali kwako sasa Yeye aliyoka wapi?.....

Na ndo maana on my explanation concerns with this nimekuambia Kuwa huenda nyinyi mnachokiita Mungu ni Energy ola hamjui tu
I think Lidafo upitie hapa ni maelezo marefu ila yana ujumbe mzito
 
Niliacha kuamini dini baada ya kujua kwamba ilitengenezwa na binadamu kwa maslai yao binafsi, na roman catholic ni miongoni mwa secret societies .

niliacha kuamini katika dawa za hospital baada ya kugundua kwamba ni biashara za watu, wanakupa dawa ya kutibu tatizo na kuzalisha tatizo
Ukiumwa unatumia nm
 
nilijua jf ni ya watu wastaarabu mpaka pale nilipojiunga mambo niliyokutana nayo nikajiona mjinga
daah mm ilikuwa kinyume kabisa. zaman kipindi icho inaitwa Jamboforum nilijua apa ni pa wanafunzi na majobless wapiga soga tu na kupoteza muda tu.

Bwana Bwana Bwana apo mbeleni nkaona vinashushwa vitu humu adi nlijikuta tu naikubali sana hii forum

nkagundua kuna vichwa vya kila aina apa ndani kuanzia waangusha nazi adi maprofesa, walalahai na walalahoi wote tunakutana apa, ukijifanya mjuaji unakutana na wajuaji zaidi unapewa darsa adi ukae saizi inayokufaa
 
kama for 5000 years hatuwezi tuka notice chochote cha tofauti kati ya watu walioishi miaka hiyo na hii ya sasa means evolution is very speculated na haiwezi kupita as a fact .

Means hauwezi kutumia evolution theory ku prove nature of human being maana aliyeitunga (darwin) ali speculate kwamba inawezekana ndivyo mambo yalivyotokea na hakufanya experimentation yoyote.

Najua hapo kichwani kwako unawaza "ooo what about fossils ?" Fossils haziwezi kutumiwa kama basis ya ku prove A THEORY let it be a theory maana hata hizo fossils huwa wana guess tu wakisahau kwamba 86% ya species hatuzijui .
Sasa we jamaa hamnazo kabisa mwanadamu ameevolve miaka zaidi ya laki 5 iliyopita unasemaje Darwin Evolution ni uongo.. Mfano ndege wameevolve zaidi ya miaka milioni 65 iliyopita
 
daah mm ilikuwa kinyume kabisa. zaman kipindi icho inaitwa Jamboforum nilijua apa ni pa wanafunzi na majobless wapiga soga tu na kupoteza muda tu.

Bwana Bwana Bwana apo mbeleni nkaona vinashushwa vitu humu adi nlijikuta tu naikubali sana hii forum

nkagundua kuna vichwa vya kila aina apa ndani kuanzia waangusha nazi adi maprofesa, walalahai na walalahoi wote tunakutana apa, ukijifanya mjuaji unakutana na wajuaji zaidi unapewa darsa adi ukae saizi inayokufaa
au mimi naichukulia ndivyo sivyo?
 
Sasa we jamaa hamnazo kabisa mwanadamu ameevolve miaka zaidi ya laki 5 iliyopita unasemaje Darwin Evolution ni uongo.. Mfano ndege wameevolve zaidi ya miaka milioni 65 iliyopita
plane words hazitokusaidii chochote hakuna actual proof kwamba evolution ilitokea ni just speculations , ndiyo maana ikabaki kuitwa THEORY na theory si fact kuwa mwelewa.
 
Back
Top Bottom