Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

😂😂😂Yaani me naumwa kisa siamini story za mfufua wafu mtembea majini na multiplier of breads and fish...sawa we una akili Sana mkuu
kwanini unadhani ni muhimu mimi kukueleza hilo swala???
 
Hankuna
Hakuna sehemu sayansi imeshindwa toa majibu mkuu?
 
Unajua moto uliweza kuwa tamed lini, Sasa miaka 5000 iliyopita mwanadamu si tiyari alikua anakaa kwenye nyumba kabisa pyramid zimeisha jengwa
 
Hankuna

Hakuna sehemu sayansi imeshindwa toa majibu mkuu?
Zipo kabisa na uzuri wa science kama imeshindwa kutoa majibu na ushahidi haupo au sio wa kutosha au ni hafifu science Ina utaratibu wa kukubali wazi kwamba haina majibu. Mfano tu dawa ya ugonjwa ikikosekana.

Ila dini inasema Ina majibu yote ushahidi wa kueleweka hakuna tunachoambiwa tukubali tu kwa IMANI bila kuomba ushahidi au maelezo yenye mantiki. Kwa utaratibu huu wa Imani kuna hatari ukaamini na uongo na ukaukomalia na tunayaona ndo maana nilitoa mfano wa nuhu na safina mtu mwenye Imani ya dini hapo bado ilitokea kweli pamoja na huo mfano mrahisi tu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
naamini kuwa tuliumbwa but tumesahaulika au kutelekezwa au ss sio wa muhimu kwa alietuumba kama tunavodhani
 
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?

Lofaa sana
Mungu ni kiumbe kilichotengenezwa na hawa Caucasian ili kumtisha mtu mweusi na kumtoa kwenye tamaduni zake lakini kiuhalisia hicho kiumbe hakipo,ila huu ulimwengu unanguvu kuu ya asili yaani natural, ukifanya mema utayaona mema yakija kwako na ukifanya mabaya utayaona pia na utayalipia hapahapa duniani na sio kutishiana eti Kuna moto wa jehanam, yaani Mungu yeye mwenyewe kakishindwa kiumbe chake (shetani wa mchongo) kikapigana mpaka na malaika vita kuu mbinguni ndo akuletee wewe binaadam ukishinde? Ni uzwazwa huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe mfano wa concept ya science ambayo hsiko proved experimentally ni maelezo tu ?

Yuko wapi huyo anaepaa na ungo nimuone? Mbona mi najua watu husafiri Kwa ndege, mabasi, train, cable cars

Kutembea juu ya majibu na alikuwa na mwili kama binadamu [emoji23][emoji23] ni wadudu tu kama water striders ndo surface tension inawaruhusu kusimama juu ya maji

Najua aliumba bila vifaa alitamka tu vikaja, wanadamu walibumbwa kwa udongo [emoji23][emoji23]


Utafiti wa science unaonyesha dunia Ina umri wa zaidi ya hiyo miaka 6000 ambayo biblia inaonyesha

Utafiti wa archeologist haujawahi kupata ushahidi wa Wana wa Israeli kutumikishwa misri

Unataka tafiti gani za zaidi hizi hazitoshi?

Mbona sasa mnasemaga kwamba kuna mambo ya kisayansi kwenye biblia [emoji23][emoji23] na Quran (hasa waislamu eti kuna vitu uislamu ulijua kabla ya tafiti za science kugundua[emoji23][emoji23][emoji23]




Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
naamini kuwa tuliumbwa but tumesahaulika au kutelekezwa au ss sio wa muhimu kwa alietuumba kama tunavodhani
Haha usiseme hivyo...sema katuumba katuacha tujitegemee
😅It makes more sense...haya mambo ya mtume kasema Nini ni propaganda tu
 
😂Watakuambia hakushindwa aliwafukuza
 
😂😂Kuna mmoja wa sexual discharge kanikimbia
 
Wakikujibu Niite niko palee
 
duuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…