Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

So whats ur point?
 
Mimi nilikuwa naamini viongozi wa dini ni watu wema kuliko wengine lakini nilichokuja kushuhudia kwa wale watu Imani yangu iliisha kabisa.
Hili pia mimi nililiamini zamani ila sasa hapana.
 
Niliamini hivo ila ukiona wanazo tafuta kwa jasho.
 
grand millenial yuko wapi ametuita watu "layman" tunataka kuona argument zake yeye kama "intellectual"

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikua naamini mafuta ndio yananenepesha watu ila sasa nimebadili mtazamo naamini kua wanga na sukari ndio adui mkuu sababu nimejifanyia majaribio nimeamini
 
😂😂😂😂😂So Muhammad ndo kasema tumeumbwa bila hivyo watu walikuwa wanaamini hawajaumbwa....😂hivi hauchoki kuonekana mjinga
Kwani ulivyosema tufanye tumeumbwa .. tusingefanya tungiwa atujaumbwa?
Huchoki kujifanya mjuaji kumbe mjinga??
 
Mungu angekuwa real Kama huyo Allah unayemsemea 😂angekutokea wewe na Mimi...why mtu mmoja aamke usingizini atupe sheria za kuoa watoto na bikra za mbinguni afu tumwamini
Mfano wa hiyo sheria ya kuoa watoto ni ipi?
Nimekwambia share Basi hiyo qur an yako ya kipekee ambayo ina aya ambazo sisi hatuzijui.
Kuhusu kuoa bikira mbinguni hilo ni kweli na hizo ni fadhila za mola wetu kwa tuliomuamini tunaoa bikira duniani na mbinguni pia ila kwa nyie ambao hamjamuamini mtaishia kuoa wa duniani.
Au wewe hujaoaga bikra??.
 
Sijasema Mungu hayupo..lakini huyo Mungu hajawahi kumtokea mtu yoyote kila mtu anabwabwaja za kichwani kwake ndo maana kila siku dini mpya zinaundwa
Kama hujasema Mungu hayupo maana yake yupo.
Basi hongera kwa kukubali uwepo wa Mungu.
 
Namwambia asome qur an .mnajiwekea akili sana.
Vipi wewe ukitaka mtu ajue unafanyaje?
Mtu ukitaka akujue, ukitaka uwe na relationship nae au friendship Cha kwanza unaji introduce. Unatokea, bana Mimi hapa ni fulani nataka fulani na fulani... Hutumii barua ishirini kila moja inasema hivi na kutuma watu buku matapeli . U become present. Allah wako ameshindwa kujiintroduce, Hana communication skills hata mtoto mdogo anamshinda. So akishajiintroduce nitamuamini yupo
 
Hoja ni mbona huyo Allah anaotwa tu na mtu mmoja pangoni alafu ghafla ndo dini nzima inaanzishwa na wajinga mnaamini
 
Kama hujasema Mungu hayupo maana yake yupo.
Basi hongera kwa kukubali uwepo wa Mungu.
Sijakubali chochote. ...bado doesnt prove yupo ..na it's not kwamba ndo Allah yupo au Muhammad mgonga watoto alikuwepo no...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…