Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Asipo wapa watu mali yeye ana faidika na nini?

Kama uwezo wa kuwapa watu wote mali anao kwa nini asiwape wote?

Huyo Mungu ana upendo kweli au ana upendeleo?

Kama anaweza yote, Alishindwaje kuwapa mali binadamu wote?

Huyo Mungu anaweza yote kweli?
Akiwapa mali wote mtaa question Kama anaweza yote mbona ameshindwa kuwanyima watu mali.
 
Nani kasema evolution imestop?
Na hayo maswali unayouliza majibu yake unayo...au ndo God did it..coz hujui
Hakuna sehemu nimemtaja Mungu be humble 😁 , maswali yangu yoote nimeuliza kwa sababu nina kiu ya kutaka kufahamu.

Anyways unaweza kunitajia any new evolution phenomenom discovered ukiacha ambazo tayari zinajulikana??
 
Mungu anaposema ana mila ni kwa sababu yeye ndio kafundisha taratibu hizo ili sisi tuzifuate kwa hiyo Allah anaposema na mfuate mila yangu maana yake na mfuate utaratibu wangu kwa maana utaratibu ambaye yeye Allah kauweka ajili ya wanadamu
Samahani ndugu, nakuomba tena utumie akili yako ya kuzaliwa. Kazi kuu ya kichwa ni kufikiri. Au hauna akili?

Nakuuliza tena: Ukitumia akili yako ya kuzaliwa Mungu anaweza kutamka haya maneno?

SURAH MUHAMMAD AYAT 4 (47:4)


فَإِذَا لَقِيتُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا فَضَرْبَ الرِّقَابِ حَتَّىٰ إِذَا أَثْخَنتُمُوهُمْ فَشُدُّوا الْوَثَاقَ فَإِمَّا مَنًّا بَعْدُ وَإِمَّا فِدَاءً حَتَّىٰ تَضَعَ الْحَرْبُ أَوْزَارَهَا ۚ ذَٰلِكَ وَلَوْ يَشَاءُ اللَّهُ لَانتَصَرَ مِنْهُمْ وَلَٰكِن لِّيَبْلُوَ بَعْضَكُم بِبَعْضٍ ۗ وَالَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَلَن يُضِلَّ أَعْمَالَهُمْ ( 4 )


Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao.


Mbona jibu ni rahisi ukiamua kutumia akili ya kawaida! Au hauna akili?
 
Inaonekana una ufahamu mdogo wa mambo
Anyway..
Mimi nasema ndio anaweza.
Haya wewe tumia akili yako ya kuzaliwa kutoa hoja kwanini hawezi.
Nakusubiri
 
Basi umeshinda na unaonekana una ufahamu mkubwa wa mambo.
Asante kwa ku appreciate ubora wangu ni watu wachache sana wanaoweza kukubali kuzidiwa ufahamu.
Mungu akujalie ufahamu mpana wa kuelewa mambo na akuongoze
 
HAMNA WAPARE WANAOFANYA HVYO...
JAPO NAKIRI WALE WA ZAMANI WALIKUA WABAHILI SANA
 
Maswali yote unayo uliza ni ya kipuuzi kwa sababu haya sibitishi uwepo wa Mungu
 
Maswali yote unayo uliza ni ya kipuuzi kwa sababu haya sibitishi uwepo wa Mungu
Embu wewe uliza maswali yasiyo ya kipuuzi yasiyothibitisha uwepo wa Mungu?
Note: Hilo swali mimi sikuuliza kuthibitisha uwepo wa Mungu niliuliza ili kutaka kujua kama sayansi ina majibu ya kila kitu basi sayansi itusaidie kujibu hilo swali .
Siku nyingine usijibu kama hujaelewa sawa? Itakusaidia sio hapa jamii forum tu hata huko ulipo.
 
Nilikuwa naona uchaguzi wa viongozi na kwenda kupiga kura ni kitu ya maana kumbe tunaenda pigia kura wezi.

Viva North Korea
 
🤣Bora umesema ukweli
Alafu hawa watu wanaojifanya wanajua haya mambo ya mungu ni wanafki kishenzi , hakuna watu wenye roho chafu kama hawa , juzi kati kuna nabii uchwara nilimnasa kibao kwa kulazimishia story zake za abunuasi mbele yangu.🤪
 
Hilo la kwanza tu ndio hatuko pamoja

Mengine yote nipo nawe.

Hebu niambie kuhusu Yesu tafadhali.
 
Mim zaman Nilikuwa naaamini Kama mungu yupo lakin Nilikuwa siamini Kama mungu anajibu maombi sababu mim at that time sikuona majibu kutoka kwa mungu japo Nilikuwa nasali mno like hell dah baaada ya kipind kirefu nimekuja kuamini Kama mungu yupo anajibu maombi mwaka huu I can make 60$per hour God your good!
 
Leta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
Kuna aya inasema Mungu na malaika zake wanamsalia mtume....unaijua hiyo au niingie kwenye makablasha yangu niitafute?
 
Umewahi kuiona akili yako?
🤣 Haya maswali ni ya kijinga Sana mpaka tushayazoea.. ushaona upepo sijui akili...🤣bro huwezi ona ubongo wako labda CT scan huko..Ila kuuona hivi huwezi ila tukipasua kichwa tukautoa ubongo na wewe haupo...sijui unanielewa..tunajua ubongo upo coz tumeuona kwa wanyama mbalimbali ikiwemo binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…