enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Kwa kutumia akili yako ya kuzaliwa Mungu anaweza kutamka haya maneno? Mungu anaweza kuwa hivi? Tumia akili yako ya kuzaliwa.Don't escape show me where you doubt the Holly qur an.
SURAH MUHAMMAD AYAT 4 (47:4)
فَإِذَا لَقِيتُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا فَضَرْبَ الرِّقَابِ حَتَّىٰ إِذَا أَثْخَنتُمُوهُمْ فَشُدُّوا الْوَثَاقَ فَإِمَّا مَنًّا بَعْدُ وَإِمَّا فِدَاءً حَتَّىٰ تَضَعَ الْحَرْبُ أَوْزَارَهَا ۚ ذَٰلِكَ وَلَوْ يَشَاءُ اللَّهُ لَانتَصَرَ مِنْهُمْ وَلَٰكِن لِّيَبْلُوَ بَعْضَكُم بِبَعْضٍ ۗ وَالَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَلَن يُضِلَّ أَعْمَالَهُمْ ( 4 )
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao.
Al-Baqarah (2:120)
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾
120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
1) Wewe umeona wapi Mungu ana dini?.
2) Wewe umeona wapi Mungu ana mila?.
3) Wewe umeona wapi Mungu anawakataa watu wa jamii kuu mbili wayahudi na wazungu (wakristo) kisha akawasahau wahindi, wajapani, wachina, waafrika ambao wana mila tofauti na za kiarabu?
4) Wewe kwa kutumia akili yako ya kuzaliwa unahisi Mungu anaweza kuwasahau watu wa mila nyingine?
5) Kwa kutumia akili yako maadui wakuu wa waarabu kwenye nyanja zote za kimaisha ni nani? Nyakati za mtume maadui hawa walibadilika? Je, leo?