Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

ila bible haina utoto au sio...hahaha! IMANI NI UPOFU!. me nadhani mtu makini ni yule anayeuliza kila kitu na kuchunguza kila kitu kabla ya kukikubali. Dini wameletewa babu zetu nasi tumezaliwa tumezikuta. Mtu makini ni yule anayechunguza kutaka kujua ukweli, usiwe mpofu wa dini. inawezekana dini zote haziko sahihi na kwamba ni hadithi za kutungwa tu na inawezekana pia mojawapo kati ya hizi dini ikawa ina ukweli ndani yake. CHUNGUZA MTU WANGU USIWE MPOFU WA DINI KISA UMEZALIWA NA KULELEWA KWENYE DINI FULANI!
Soma tena comment yangu utaelewa, sijasema biblia haina utoto. Utoto upo ila kwenye Quran ndo utoto umezidi kupitiliza.
 
Sure tatizo watu wanachanganya Mungu kuwepo na dini Yao kuwa kweli...Quran Ina Mambo ambayo hata mtoto wa la tatu hawezi amini kuwa ni kweli .Ila inabidi aamini coz katishiwa Moto na pia jamii itamtenga...Ila ni upuuzi tu
Kabisa mzee, mi nikisomaga quran huwa najiuliza, hivi inakuwaje mtu mzima na akili zake anaamini kabisa ni kitabu cha Mungu wakati kina upuuzi mwingi hivi?
Kuna muda huwa nahisi watu waliotunga biblia kidogo Wana akili kuliko waliotunga Quran kwa sababu waliotunga biblia walijitegemea kifikra ila hawa watunzi wa quran walipiga chabo kwa Bible.

Naamini Mungu yupo ila sidhani kama anahusika katika utunzi wa Bible na Quran.
 
Kwahio mwenzio nae anarohombaya?unaishi nae vipi?
wee nikichekesho[emoji53]
Nadhan wewe ndie kichekesho aliyesema habari za roho mbaya nani au hujala unatafuta mtu wa kumtulia hasira zako za njaa,
Usiharibu mada za watu, punguza ujuaji.
 
au sio wewe iliesema binadamu wote wanarohombaya?😁😁😁😁
 
Nadhan wewe ndie kichekesho aliyesema habari za roho mbaya nani au hujala unatafuta mtu wa kumtulia hasira zako za njaa,
Usiharibu mada za watu, punguza ujuaji.
wee bwege kweli komenti Yako mwenyewe saivi unarukaruka.
 
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.

Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.

Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.

Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Dini na masuala yake
 
mimi nilikuwa naamini iddi amin alikuwa akila nyama za wa2,,kumbe mzee we2 nyerere alitupiga kamba!!
 
Shida yako ni kuwa hata hiyo qur an huijui yaani qur an huijui wala sayansi huijui alafu umechagua kuwa upande wa sayansi ambayo nayo huijui.. Daah !
Jibu swali kwa hoja...Quran inasema jua usiku linaingia kwenye tope na asubuhi linaomba ruhsa kwa Allah kuchomoza..🤣asa kitabu kina story kama hii nikichukulie serious kwa lipi
 
Kabisa mzee, mi nikisomaga quran huwa najiuliza, hivi inakuwaje mtu mzima na akili zake anaamini kabisa ni kitabu cha Mungu wakati kina upuuzi mwingi hivi?
Kuna muda huwa nahisi watu waliotunga biblia kidogo Wana akili kuliko waliotunga Quran kwa sababu waliotunga biblia walijitegemea kifikra ila hawa watunzi wa quran walipiga chabo kwa Bible.

Naamini Mungu yupo ila sidhani kama anahusika katika utunzi wa Bible na Quran.
Thank u for understanding
 
Jibu swali kwa hoja...Quran inasema jua usiku linaingia kwenye tope na asubuhi linaomba ruhsa kwa Allah kuchomoza..🤣asa kitabu kina story kama hii nikichukulie serious
Leta ushahidi wa aya.. why empty words?
 
Kabisa mzee, mi nikisomaga quran huwa najiuliza, hivi inakuwaje mtu mzima na akili zake anaamini kabisa ni kitabu cha Mungu wakati kina upuuzi mwingi hivi?
Kuna muda huwa nahisi watu waliotunga biblia kidogo Wana akili kuliko waliotunga Quran kwa sababu waliotunga biblia walijitegemea kifikra ila hawa watunzi wa quran walipiga chabo kwa Bible.

Naamini Mungu yupo ila sidhani kama anahusika katika utunzi wa Bible na Quran.
Leta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
 
Back
Top Bottom