dunia imeanza miaka bilion ngapi iliyopita??
na binaadam wa kwanza kuishi??bila sahaka unatumia rejea ya historia za mashuleni.
nini maana kujielewa!!!yaani kujielewa kwako kuna uhusiano gani na story hizi za vitabu!!!
history ndio msingi wa elimu zote,hata unapotaka kuegemea kama rejea ni history ndio utaitumia,ambayo bado huwezi kuitetea kwa ushahidi kwamba ni kweli.sijui nayo inakuwa uongo kwa fikra zako??
wewe haupo katika kundi la wasioziamini,wewe uko kwenye kundi la wanaozikataa,kundi la wasio ziamini huwa wana hoja makini sana.
unakataa kwa sababu unajua magufuli ni rais mmoja tu kuwahi kutokea tz,kwa sababu unamjua magufuli,vipi nikikwambia franklin ni rais wa marekani utakataa au utakubali??
sasa mbona wewe hakuna unachokijua na ndio unatumia hiyo kuwa sababu ya kukataa ??
yaani useme wewe ni mrefu sababu sikujui nakataa kwamba hapa sio kweli.