Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.

Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.

Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.

Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Niliamini dini za kuletewa ndiyo njia pekee ya kumjuwa Mungu kumbe sivyo......baada ya kuhitimu chuo kikuu na kusoma elimu ya dini ndipo nikajuwa waafrika tumechezewa sana akili, inasikitisha mno na hapa nilipo nafikiria mtu wa kumshitaki kutufanya sie watanzania mambumbumbu kuamini dini zisizo na mashiko kwetu.
 
Leta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
Ni vigumu kufanya hivyo ila ukweli ni kwamba si Qur'an wala Biblia ni vitabu vya Mungu, never. Mungu huyo huyo analaani mauwaji iweje Mohammed na mitume wengine kwenye Biblia walikuwa wanaua wakisaidiwa na Mungu, inaingia kichwani hii jamani? Mohammed alikuwa muuwaji mkubwa tu na mbakaji, pia alikuwa a pedophile.....Mungu alimruhusu kweli lufanya unyama huu? Hizi dini za michongo kwa kweli ni uzushi tu.
 
Kama ni vigumu kuleta aya then your claim is invalid.
Alafu ni kuulize swali mkuu hivi mtu akija kukuvamia wewe anataka kukuua utamwacha akuue na una uwezo wa kupambana nae?
 
Leta ushahidi wa aya.. why empty words?
Nenda ka google, 🤣Sasa nitatuma aya ngapi humu... Kama kila moja unabisha...vitabu hivyo husomi unasikia tu mahubiri. Siku ukishika kitabu kimoja wapo ukasoma, you'll know wat I'm talking abt
 
Leta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
🤣Bro zipo nyingi Kama we ni muislam na hujaona hizo Aya bac husomi yote...unasoma panapokupendeza, imamu alipokuambia usome..sijui Allah anakupenda cjui Nini...
 
Kama ni vigumu kuleta aya then your claim is invalid.
Alafu ni kuulize swali mkuu hivi mtu akija kukuvamia wewe anataka kukuua utamwacha akuue na una uwezo wa kupambana nae?
🤣 Muhammad anasema plainly kill the Jews kila mahala...Jews wamemvamia lini...mtu anaoa mtoto wa miaka 6...🤣Afu ana 50 years..ndo mnamuita katumwa na Mungu...
 
Nenda ka google, 🤣Sasa nitatuma aya ngapi humu... Kama kila moja unabisha...vitabu hivyo husomi unasikia tu mahubiri. Siku ukishika kitabu kimoja wapo ukasoma, you'll know wat I'm talking abt
Yaani unashindwa kuweka ata aya moja tu. Why nika Google naunayesema qur an imekosewa ni wewe onyesha sasa wapi imekosewa ? Don't escape show me where you doubt the Holly qur an.
 
Yaani unashindwa kuweka ata aya moja tu. Why nika Google naunayesema qur an imekosewa ni wewe onyesha sasa wapi imekosewa ? Don't escape show me where you doubt the Holly qur an.
Acha ujinga bro nitatumia mda mwingi kuanza kutuma mapicha huku ndani we Simu unayo...ingia Google search Quran verse ambao inasema jua linazama kwenye tope...inasema jua linaomba ruhsa kwa Allah kuchomoza asubuhi...Kama utaki bac...🤣Sasa why nitunge, 🤣Kama ni dini yako pole bro ndo ushapigwa hivyo...
 
Naomba usinisumbue tena
 
Attachments

  • Screenshot_20230830-071816.png
    Screenshot_20230830-071816.png
    39.3 KB · Views: 6
Asante mkuu, Nilikuwa nataka kujua tu kama sayansi ina majibu ya kila kitu.
Kumbe haina
Sayansi haina majibu ya kila kitu.

Kwa vile sayansi mpaka itoe majibu ni lazima uchunguzi na utafiti ufanyike kutoa uthibitisho wa kuonekana kuhusu uwepo wa kitu fulani.

Imani haifanyi utafiti wowote ule, Haihitaji uchunguzi wowote ule, kuonesha uwepo wa kitu.

Kwa hiyo hata Majibu ya Uongo kwa imani yamewezeka na yana onekana ni ukweli kumbe sivyo.

Sayansi hadi itoa jibu, lazima ijiridhishe kwanza uwepo wa kitu hicho ni ukweli kabisa.

Kwa imani hata Uongo unaweza aminiwa.
 
Nawewe solution yako ni kukataa kuwa watu wawili hawawezi kuwa uchi kwenye bustani au?
Anyway..Embu nisaidie na hili swali pia kwa mujibu wa sayansi iliyowatoa ujinga.
Ni ipi asili ya dunia?
Dunia Haina asili, imekuwepo tangu mwanzo na hata milele.

Uki anza kulazimisha Dunia iwe na Asili, Na kwamba kila kitu kina hitaji Asili.

Lazima na Mungu awe na Asili pia,

Sasa Asili ya Mungu ni ipi?

Kwa nini ulazimishe dunia iwe na asili na Mungu asiwe na asili?
 
Mambo mengi tu. Kuongeza maarifa kunatufanya tutupilie mbali imani za zamani. Tunatakiwa tuwe watu wa kutafuta ukweli na walio tayari kubadilika tukikutana na ukweli mpya.

1. Nilikuwa naamini Yesu ni Mungu kumbe siyo.
2. Niliamini demokrasia ni nzuri kuliko udikteta kumbe siyo.
3. Niliamini USA ndiyo kilele cha ubora, kumbe ni shithole kama shitholes zingine.
4. Niliamini CHADEMA ni chama cha Maana kumbe hamna kitu.
5. Niliamini ubepari na soko huria kumbe ni hovyo kabisa.
Point namba 3,

Hebu fafanua kidogo kuhusu USA kuwa shithole?
 
Mjinga wewe!bado upo ktk Karn ya giza.mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu??ujiuli ukiwa UMELALA!!viongo vyote havifanyi kazi ispokua moyo!je unajua SIRI YA TUKIO HILO?
Lofaa sana
Jenga hoja za kuonesha uwepo wa huyo Mungu.

Matusi hayasaidii kitu hapa.

Kulala na viungo Kuto kufanya kazi, kuna Thibitisha vipi uwepo wa Mungu na si mawazo yako ya kufikirika tu?
 
Mimi binafsi nilikua naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.

Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Binadamu baada ya kukosa majibu ya maswali magumu yaliyo wasumbua.

Wali amua kuunda dhana ya kufikirika, kwamba dhana hiyo ndio itakuwa majibu ya kila swali gumu.

Kwamba, Swali likishindikana basi jibu lake lina fosiwa kuwa dhana hiyo ya kufikirika ndio jibu, Ambayo dhana hiyo ni Mungu.

Sayansi imekuja na majibu mengi sana ya maswali yaliyo sumbua binadamu hapo kale, Sayansi na teknolojia vina endelea kutoa majibu ya maswali mengi magumu,

Lakini dhana hiyo ya kufikirika Mungu, Haikuwahi kutoa majibu yeyote yenye uthibitisho ulio msaidia binadamu katika nyanja za maisha.

Dhana hiyo "Mungu" ni kama Psychotherapy kwa maswali magumu yaliyo kosa majibu.

Yenyewe ni kupiga tantalilaa za maneno tu,
 
🤣Bro zipo nyingi Kama we ni muislam na hujaona hizo Aya bac husomi yote...unasoma panapokupendeza, imamu alipokuambia usome..sijui Allah anakupenda cjui Nini...
Why you rotate? Weka aya hakuna ushahidi my friend Tatizo mnadanganyana sana ooh! Qur an ina makosa wakati wote hamjui qur an yaani mwalimu kipofu mwanafunzi kipofu.
To make this debate good ..Weka aya za kusapport claim yako
 
🤣 Kuoa watoto
Wapi Qur an au biblia imeruhusu watoto kuolewa?
Ninavyojua mimi kwa mujibu wa mtume ameruhusu ndoa kwa mtu mwenye akili timamu na anayejiweza kimwili yaani amefikia baleghe sasa labda uniambie wewe mtu aliyefikia baleghe na ana uwezo wa kuzaa au kuzalisha ni mtoto??
 
Back
Top Bottom