Wewe mwenye hoja mbona huzitoi?
Alafu ni aibike kwa kipi ? Katika kutafuta elimu Kuna stage nne, Bahati mbaya wewe upo stage ya kwanza katika kujifunza katika stage hii Mtu hudhani anajua kila kitu na hapa mtu huwa anajifungia katika cage ya kudhani kuwa hayo anayo ya elewa ndio kweli, bila kujiuliza hivi hichi ninacho kiita kweli ni kweli ndio kweli?. There is alot of things beyond science my friend , Ongeza hekima yako katika kujifunza utajua mambo mengi ila kwa level yako you are so weak to argue this kind of topic.
Anyway...Nisaidie na hili swali pia mwanasayansi mbobezi wa karne hii.
What is origin of solar system?