HANGAYA THE CHIEF
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 330
- 962
- Thread starter
-
- #41
haya nasubiri, ila ubongo mdogo shida hizi ni factual issues wala ni wadau wa propaganda, kukimbilia kwenye udini, jinsia, huwezi kuona wanaongea kwa evidence yeyote. usikute hata mkataba wenyewe hawajauona wanasimuliwa majukwaani, waziri kasema.Haya yote chiefs of contract negotiation .. Lord denning na covax wanakuja kutolea ufafanuzi juu ya hoja zako mkuu!!
Ngoja waje tuone wanafafanua vp hoja hizi!! Njoeni tafadhali.. Chiefs of contract negotiation Ndugu Lord denning na covaxhaya nasubiri, ila ubongo mdogo shida hizi ni factual issues wala ni wadau wa propaganda, kukimbilia kwenye udini, jinsia, huwezi kuona wanaongea kwa evidence yeyote. usikute hata mkataba wenyewe hawajauona wanasimuliwa majukwaani, waziri kasema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali hawajibiki kwa umma moja kwa moja.Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu amepewa hadhi ya ubunge, kwa kifupi ni Mbunge wa JMT.
ukienda zaidi kusoma kwa pamoja sura ya 268 ya sheria ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kazi na wajibu wake yaani, the office of the Attorneys General ( Discharge of Duties Act), Cap. 268, hasa kifungu cha 8 1) (a), (section 8 (1) (a) ya sheria hiyo inaeleza kazi mbalimbali za mwanasheria mkuu, ikiwa pamoja na kushauri serikali kuu, serikali za mitaa, wizara mbali mbali, taasisi za serikali, mashirika ya umma.
Nimefanya tafiti kidogo kwenye tovuti yao, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ) | Mikataba na Makubaliano, utagundua na utaona wana hadi department (division ya mikataba) imegawanyika katika sehemu tatu yaani; mikataba ya ununuzi wa umma, mikataba ya makubaliano ya kimataifa na mikataba ya uwekezaji wa maliasili.
Je, mwanasheria wa taasisi au wizara ana mamlaka ya kuishauri serikali kuingia kweye mikataba ya kimataifa?
1. Kulingana na katiba yetu na sheria zetu tajwa hapo juu ni hapana. lakini kumekuwa na mwanasheria anaitwa Hamza Johari, kutwa kuchwa anatolea ufafanuzi kuhusu mikataba walioingia kati ya JMT na Manispaa ya Dubai, lakini kwangu mimi nadhani anatukosea watanganyika, kwa sababu kusoma kwangu sijaona mamlaka yake, au anawajibika vipi kwenye taifa letu la mikataba aliyoiingiza yeye katika nafasi yake, au utueleze ana uhusiano gani na mikataba hiyo?
Je, Spika wa Bunge alikuwa sahihi, kuchukua nafasi ya mwanasheria mkuu bungeni?
2. Jibu ni hapana, katika kuongoza nchi, kuna mihimmili mitatu, yaani serikali, bunge na mahakama, kwa muktadha huo serikali ilipeleka mkataba ule kwenye mhimili wa Bunge, na kazi ya Bunge ni kuangalia nini, serikali imeleta, je ni kwa manufaa ya nchi na wananchi wake?, na kama wawakilishi wa wananchi, wana wajibika kuangalia maudhui yake na faida zake, kwa kuihoji serikali yaani, (check and balance, )hiyo Spika aliingilia kazi ya serikali, na kwa kuwa ilihusu mikataba na mikataba ni sheria basi ulikuwa ni wajibu ambatano wa mwanasheria mkuu wa serikali kutolea ufafanuzi, kwa nini serikali wameridhia, kifungu fulani wana nini wanatarajia. maana waliokuwa kwenye negotiation ya mkataba huo ndio "wao" kwa maana wenye mamlaka hayo.
kwa hiyo, kwa kuingilia nafasi ya mwanasheria mkuu, spika analitaarifu taifa alichukua, au alikuwepo wakati wanakubaliana (negotiation), na hivyo anajua maudhui ya nini kinachoelezwa.
3. Je, ukimya wa mwanasheria mkuu unamaanisha nini? (mtazamo binafsi)
katika dhana ya uwajibikaji, alipashwa ajihudhuru kwa upendo, si kwa sababu ameshindwa kazi, lakini kwa sababu ya mazingira hayo hapo juu. yaani bungeni na mitaani;
(a) inaonekana hakushirikishwa vizuri kadili ipaswazo kwa mujibu wa katiba na sheria, kutoa ushauri wa kisheria kuhusu mkataba huu, ndio maana sehemu zote ambazo anapashwa kuongea ameaamua kuchagua kukaa kimya, bungeni ni kama alinawa mikono. kuashiria sihusiki na kinachoendelea malizaneni wenyewe.
(b) huku mitaani, Hamza Johari amekuwa ndio mwanasheria mkuu, akitolea ufafanuzi wa kwa nini waliamua kuingia mkataba.
4. Je, nani alimshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia makubaliano hayo ya uwekezaji?
Bado Sina Jibu, najua wazi kuwa Rais wetu si mwanasheria, sina shaka lazima atakuwa kaomba ushauri kabla ya kutoa ruhusa ya kuiingiza nchi katika mkataba huu aliomba ushauri wa kisheria,
Je, kama aliyemshauri ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, basi ndio alipaswa kuwa msemaji mkuu wa kadhia yote iliyotufikisha hapa, au kama si yeye nadhani wasiwasi wangu unarudi kwa mwanasheria Hamza Johari, Je ni nani hasa na ana interest gani katika mkataba huu?
5. Nani alaumiwe? na nini kifanyike?
kwanza sitaacha kuwalaumu waandishi wa habari, kwani wametuangusha sana, katika tafiti zote za habari kabla hujaenda site, lazima ujue key informers (nani atakupa habari sahihi?), si kila mtu anapaswa kuulizwa kwenye vitu ambavyo vinaitaji majibu ya moja kwa moja, mpaka sasa nimeona midahalo, magazeti, radio, tv, kwa bahati mbaya sana wanaoalikwa si watu sahihi.
Nimalizie, hapo.
mbona mashairi mengi?, by virtue of his post as per article 59 (3) of the CURT, ni member of parliament , ni mbuge huyu? kwa hiyo status yake ni chameleon like, mbuge na mwanasheria mkuu, anawajibika wa umma kama mbuge, alipashwa atolee ufafanuzi huo akiwa bungeni, na tujue msimamo wa serikali, au hujui kazi ya mbuge ni nini? alifanya nini bungeni? kwa hiyo mwanasheria Johari Hamza ndio anawajibika kwa umma? au ndio msemaji wa mwanasheria mkuu? tupe rejea zako, sio siasaMwanasheria Mkuu wa Serikali hawajibiki kwa umma moja kwa moja.
Anawajibika kwa serikali.
Ushauri wake unabaki kuwa siri kwa serikali. Hawezi akajitokeza hadharani akasema sisi AG Chambers tulishauri hivi, team ikafanya hivi.
Ni kazi ya mshauriwa kuwajibika kwa umma.
Rais ndiye anayewajibika kwa umma moja kwa moja na wasaidizi wake nao huwajibika kwake moja kwa moja.
Anayetakiwa kutoa ufafanuzi ambao ni final and conclusive ni Rais. Umma unamjua Rais, haumjui AG.
Na umma siyo serikali.
AG anaweza kuitwa na Rais peke yake au ndani ya cabinet kutoa ufafanuzi lkn umma hauwezi kumuita AG kutoa ufafanuzi. Ushauri wa msaidizi yeyote kwa Rais ni siri. Iwe ni kwenye cabinet au ushauri wa moja kwa moja.
Umma unaweza kumuita Rais wao, waliyemchagua akaunde serikali, awape ufafanuzi.
Rais anaweza akamtuma Waziri Mkuu au Waziri mwenye dhamana.
1. Anaingia bungeni kama mwanasheria mkuu wa serikali.mbona mashairi mengi?, by virtue of his post as per article 59 (3) of the CURT, ni member of parliament , ni mbuge huyu? kwa hiyo status yake ni chameleon like, mbuge na mwanasheria mkuu, anawajibika wa umma kama mbuge, alipashwa atolee ufafanuzi huo akiwa bungeni, na tujue msimamo wa serikali, au hujui kazi ya mbuge ni nini? alifanya nini bungeni? kwa hiyo mwanasheria Johari Hamza ndio anawajibika kwa umma? au ndio msemaji wa mwanasheria mkuu? tupe rejea zako, sio siasa
soma katiba wewe article 59 (3) by virtue of his post ni member of parliament (status yake ni mbuge), na pili angekuwa anaingia bungeni kama mwanasheria mkuu only, asingekuwa na priviledge ya chair in the parliament, asingekuwa na kiti bungeni, angekaa sehemu ya wageni waalikwa, kama viongozi wengine walikialikwa bungeni, ni mbunge kwa mujibu wa katiba na mbunge yeyote anawajibika moja kwa moja kwa wananchi.1. Anaingia bungeni kama mwanasheria mkuu wa serikali.
2. Hamza Johari alikuwa mwenyekiti wa kikosi cha majadiliano.
3. Rejea yangu ni Katiba ya JMT. Soma katiba vizuri kwenye Baraza la Mawaziri na Kwenye Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bungeni anamwakilisha nani?soma katiba wewe article 59 (3) by virtue of his post ni member of parliament (status yake ni mbuge), na pili angekuwa anaingia bungeni kama mwanasheria mkuu only, asingekuwa na priviledge ya chair in the parliament, asingekuwa na kiti bungeni, angekaa sehemu ya wageni waalikwa, kama viongozi wengine walikialikwa bungeni, ni mbunge kwa mujibu wa katiba na mbunge yeyote anawajibika moja kwa moja kwa wananchi.
shida hupendi kusoma, ndio maana mnasaini mikataba ya ajabu, hadi nchi nzima tunaoneka wapuuzi kwa ujinga wa kutokujua au mnajua, katiba inasema by virtu of his post the Attorney general is the member of parliament, sasa niambia mbuge ana kazi gani? awapo bungeni?Bungeni anamwakilisha nani?
(Yule ni mbunge anayeiwakilisha serikali).
ahsante kwa kudhani, na endelea kudhaniNadhani AG angeweza kuwa ameongea kama kungekuwa na shida kwenye kile lilichojadiliwa Bungeni. Ana kazi nyingi mno hawezi kuamka na kuanza kuongelea TETESI za watu kwenye mitandao wanaojadili hewa pasipo kujua wanajadili nini
Epuka majungu hakuna kilichouzwa. Pia Tanganyika haipo. Ilizikwa mwaka 1964 siku ilipojibadilisha jina baada ya kuinyakua Zanzibar ( in profesa Mazrui"voice).Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu amepewa hadhi ya ubunge, kwa kifupi ni Mbunge wa JMT.
ukienda zaidi kusoma kwa pamoja sura ya 268 ya sheria ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kazi na wajibu wake yaani, the office of the Attorneys General ( Discharge of Duties Act), Cap. 268, hasa kifungu cha 8 1) (a), (section 8 (1) (a) ya sheria hiyo inaeleza kazi mbalimbali za mwanasheria mkuu, ikiwa pamoja na kushauri serikali kuu, serikali za mitaa, wizara mbali mbali, taasisi za serikali, mashirika ya umma.
Nimefanya tafiti kidogo kwenye tovuti yao, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ) | Mikataba na Makubaliano, utagundua na utaona wana hadi department (division ya mikataba) imegawanyika katika sehemu tatu yaani; mikataba ya ununuzi wa umma, mikataba ya makubaliano ya kimataifa na mikataba ya uwekezaji wa maliasili.
Je, mwanasheria wa taasisi au wizara ana mamlaka ya kuishauri serikali kuingia kweye mikataba ya kimataifa?
1. Kulingana na katiba yetu na sheria zetu tajwa hapo juu ni hapana. lakini kumekuwa na mwanasheria anaitwa Hamza Johari, kutwa kuchwa anatolea ufafanuzi kuhusu mikataba walioingia kati ya JMT na Manispaa ya Dubai, lakini kwangu mimi nadhani anatukosea watanganyika, kwa sababu kusoma kwangu sijaona mamlaka yake, au anawajibika vipi kwenye taifa letu la mikataba aliyoiingiza yeye katika nafasi yake, au utueleze ana uhusiano gani na mikataba hiyo?
Je, Spika wa Bunge alikuwa sahihi, kuchukua nafasi ya mwanasheria mkuu bungeni?
2. Jibu ni hapana, katika kuongoza nchi, kuna mihimmili mitatu, yaani serikali, bunge na mahakama, kwa muktadha huo serikali ilipeleka mkataba ule kwenye mhimili wa Bunge, na kazi ya Bunge ni kuangalia nini, serikali imeleta, je ni kwa manufaa ya nchi na wananchi wake?, na kama wawakilishi wa wananchi, wana wajibika kuangalia maudhui yake na faida zake, kwa kuihoji serikali yaani, (check and balance, )hiyo Spika aliingilia kazi ya serikali, na kwa kuwa ilihusu mikataba na mikataba ni sheria basi ulikuwa ni wajibu ambatano wa mwanasheria mkuu wa serikali kutolea ufafanuzi, kwa nini serikali wameridhia, kifungu fulani wana nini wanatarajia. maana waliokuwa kwenye negotiation ya mkataba huo ndio "wao" kwa maana wenye mamlaka hayo.
kwa hiyo, kwa kuingilia nafasi ya mwanasheria mkuu, spika analitaarifu taifa alichukua, au alikuwepo wakati wanakubaliana (negotiation), na hivyo anajua maudhui ya nini kinachoelezwa.
3. Je, ukimya wa mwanasheria mkuu unamaanisha nini? (mtazamo binafsi)
katika dhana ya uwajibikaji, alipashwa ajihudhuru kwa upendo, si kwa sababu ameshindwa kazi, lakini kwa sababu ya mazingira hayo hapo juu. yaani bungeni na mitaani;
(a) inaonekana hakushirikishwa vizuri kadili ipaswazo kwa mujibu wa katiba na sheria, kutoa ushauri wa kisheria kuhusu mkataba huu, ndio maana sehemu zote ambazo anapashwa kuongea ameaamua kuchagua kukaa kimya, bungeni ni kama alinawa mikono. kuashiria sihusiki na kinachoendelea malizaneni wenyewe.
(b) huku mitaani, Hamza Johari amekuwa ndio mwanasheria mkuu, akitolea ufafanuzi wa kwa nini waliamua kuingia mkataba.
4. Je, nani alimshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia makubaliano hayo ya uwekezaji?
Bado Sina Jibu, najua wazi kuwa Rais wetu si mwanasheria, sina shaka lazima atakuwa kaomba ushauri kabla ya kutoa ruhusa ya kuiingiza nchi katika mkataba huu aliomba ushauri wa kisheria,
Je, kama aliyemshauri ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, basi ndio alipaswa kuwa msemaji mkuu wa kadhia yote iliyotufikisha hapa, au kama si yeye nadhani wasiwasi wangu unarudi kwa mwanasheria Hamza Johari, Je ni nani hasa na ana interest gani katika mkataba huu?
5. Nani alaumiwe? na nini kifanyike?
kwanza sitaacha kuwalaumu waandishi wa habari, kwani wametuangusha sana, katika tafiti zote za habari kabla hujaenda site, lazima ujue key informers (nani atakupa habari sahihi?), si kila mtu anapaswa kuulizwa kwenye vitu ambavyo vinaitaji majibu ya moja kwa moja, mpaka sasa nimeona midahalo, magazeti, radio, tv, kwa bahati mbaya sana wanaoalikwa si watu sahihi.
Nimalizie, hapo.
Sasa humu unafanya nini!!??Yan niache kujiuliza familia itakula nini nijiulize habar za mwanasheria
nenda kwenye hoja tafadhali madalali wa mali rasilimali za mama Tanganyika, jifunze kwanza namna ya kutumia neno majungu, kama kiwahili ni shida utaweza mkataba tata ulioandikwa kwa legal jagon, ulioandikwa kidhungu na kisheria? , habari ya kuuzwa nilishaijibu sirudii, Mimi ni Mtanganyika, period, kaa na profesa wako haniusu.Epuka majungu hakuna kilichouzwa. Pia Tanganyika haipo. Ilizikwa mwaka 1964 siku ilipojibadilisha jina baada ya kuinyakua Zanzibar ( in profesa Mazrui"voice).
mpotezee huyo vichwa maji haoSasa humu unafanya nini!!??
c uende ukatafute menu ya wanao
Nadhani AG angeweza kuwa ameongea kama kungekuwa na shida kwenye kile lilichojadiliwa Bungeni. Ana kazi nyingi mno hawezi kuamka na kuanza kuongelea TETESI za watu kwenye mitandao wanaojadili hewa pasipo kujua wanajadili nini
Umekuwa msemaji wake kumbeNadhani AG angeweza kuwa ameongea kama kungekuwa na shida kwenye kile lilichojadiliwa Bungeni. Ana kazi nyingi mno hawezi kuamka na kuanza kuongelea TETESI za watu kwenye mitandao wanaojadili hewa pasipo kujua wanajadili nini
achana nae bado anadhani, akiwa tayari atatujibuUmekuwa msemaji wake kumbe