Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just a matter of common sense.Umekuwa msemaji wake kumbe
Ana kazi nyingi mno hawezi kupata muda wa kushughulika na mijadala hewa, tena ya kwenye mitandaoHuyu aliwekwa kimaslahi zaidi pasipo kuzingatia uwezo. Uwezo wake ni mdogo
Hao wanaotoa mchango kwamba mkataba unamapungufu makubwa ni Watz pia na wana haki ya kusikilizwa. Au kwa upande wako hao Watz unaosema wako macho wana haki kuzidi wangine?Watz wapo macho na wanajua wanachokitaka
Kukubaliwa Kumiliki kitu kwa muda usiojulikana ni maana yake nini? Kumbuka wanaosema wapewe hao wawekezaji wapya wana zungumzia kupata mapata ya fedha maradufu ya sasa. Kwa hiyo, in away Kuna exchange of right katika misingi ya fedha.Katika kichwa chako cha habari ondoa neno "UUZWAJI" Hakuna bandari inayouzwa unachofanya ni uchonganishi kwa umma.
Hakuna hoja wala hakuna madalali na wala hakuna Tanganyika kwa sababu ilishazikwa. Lete mjadala wenye tija kwa taifa letu la Tanzania. Umeelewa wee mjombaake Mwanyiru wa Panda hill?nenda kwenye hoja tafadhali madalali wa mali rasilimali za mama Tanganyika, jifunze kwanza namna ya kutumia neno majungu, kama kiwahili ni shida utaweza mkataba tata ulioandikwa kwa legal jagon, ulioandikwa kidhungu na kisheria? , habari ya kuuzwa nilishaijibu sirudii, Mimi ni Mtanganyika, period, kaa na profesa wako haniusu.
Sasa ajibu nini wakati mambo yote yako shwari hakuna cha kuuzwa bandari wala boti? Wanaosema kuna mauzo ya bandari ni wanufaikaji wa mfumo wa hovyo wa sasa na wanaogopa mwarabu akiwekeza mpunga wa kutosha na akanyoosha administration basi watakosa makombo waliyokuwa wakiambulia.achana nae bado anadhani, akiwa tayari atatujibu
Hv kuwa na hela ni kuwa na AKILI Nchi ina Watu wapumbavu sana hii,hata wezi wana hela lkn sio lazima wawe na Akili,mnamwita rostam kwenye mjadala kweli?Kama kwenye ule mjadala wa juzi sikuona chochote cha maana alichosema Rostam, heri kutila mkumbo ni mwanasiasa, lakini Rostam hakustahili kuwa pale , aheri wangemuweka lema au zitto.
Rostam ni mtaalaam nguli wa mijadala kama hii yenye mrengo wa kibiashara. Hawezi kuachwa kando. Hoja nyingine tafadhali!Hv kuwa na hela ni kuwa na AKILI Nchi ina Watu wapumbavu sana hii,hata wezi wana hela lkn sio lazima wawe na Akili,mnamwita rostam kwenye mjadala kweli?
Ss tunakufaham ww rostam usitudanganye hapa,unaanza kujitetea.Rostam ni mtaalaam nguli wa mijadala kama hii yenye mrengo wa kibiashara. Hawezi kuachwa kando. Hoja nyingine tafadhali!
Kwa hiyo mimi ni mhindi Rostam wa igunga mwenye asili ya Mbeya siyo?Ss tunakufaham ww rostam usitudanganye hapa,unaanza kujitetea.
Si umehamia huko.Kwa hiyo mimi ni mhindi Rostam wa igunga mwenye asili ya Mbeya siyo?
Kivipi?Si umehamia huko.