Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

Hamza Johari historia itamuhukumu tena kunyongwa
 
Ni kweli Kuna mushkeli
-Kwani huyu Hamza Johari,yupo Ofisi ya Mwenasheria Mkuu? Au
-Kama hayupo ofisi ya Mwanasheria Mkuu Kwa nini alichaguliwa kuwa MwenyeKiti wa timu ya majadiliano badala ya Mkuu wa kitengo cha Mikataba ya kimataifa baina ya nchi mbili ambaye yupo Ofisi ya Mwanasheria Mkuu?
-Kwa kutomshirikisha Mwanasheria Mkuu, ambaye ametamkwa kwenye Katiba JMT,na kuwekwa Mwanasheria Mwingine,katiba yetu,haijavunjwa? -Mwanasheria Mkuu wa Serikali/Mwakilishi wake,hakupaswa kuhudhuria tukio la uwekwaji sahihi kwenye hiyo MOU huko Dubai?
-Mwakilishi wa Mwanasheria Mkuu ni miongoni mwa wajumbe wa timu ya majadiliano?

Ushauri:
-Mamlaka husika itoe ufafanuzi wa maswali mengi ya wananchi.
- Wahusika wajitafakari na wachukue maamuzi sahihi,haijakaa vizuri.
 
Huyu aliwekwa kimaslahi zaidi pasipo kuzingatia uwezo. Uwezo wake ni mdogo
Ana kazi nyingi mno hawezi kupata muda wa kushughulika na mijadala hewa, tena ya kwenye mitandao
 
Watz wapo macho na wanajua wanachokitaka
Hao wanaotoa mchango kwamba mkataba unamapungufu makubwa ni Watz pia na wana haki ya kusikilizwa. Au kwa upande wako hao Watz unaosema wako macho wana haki kuzidi wangine?
 
Katika kichwa chako cha habari ondoa neno "UUZWAJI" Hakuna bandari inayouzwa unachofanya ni uchonganishi kwa umma.
Kukubaliwa Kumiliki kitu kwa muda usiojulikana ni maana yake nini? Kumbuka wanaosema wapewe hao wawekezaji wapya wana zungumzia kupata mapata ya fedha maradufu ya sasa. Kwa hiyo, in away Kuna exchange of right katika misingi ya fedha.

Kama hiyo ngumu, Sawa wamepewa na hawatanyang'anywa hiyo bandari!
 
Hakuna hoja wala hakuna madalali na wala hakuna Tanganyika kwa sababu ilishazikwa. Lete mjadala wenye tija kwa taifa letu la Tanzania. Umeelewa wee mjombaake Mwanyiru wa Panda hill?
 
achana nae bado anadhani, akiwa tayari atatujibu
Sasa ajibu nini wakati mambo yote yako shwari hakuna cha kuuzwa bandari wala boti? Wanaosema kuna mauzo ya bandari ni wanufaikaji wa mfumo wa hovyo wa sasa na wanaogopa mwarabu akiwekeza mpunga wa kutosha na akanyoosha administration basi watakosa makombo waliyokuwa wakiambulia.
 
Kama kwenye ule mjadala wa juzi sikuona chochote cha maana alichosema Rostam, heri kutila mkumbo ni mwanasiasa, lakini Rostam hakustahili kuwa pale , aheri wangemuweka lema au zitto.
Hv kuwa na hela ni kuwa na AKILI Nchi ina Watu wapumbavu sana hii,hata wezi wana hela lkn sio lazima wawe na Akili,mnamwita rostam kwenye mjadala kweli?
 
Hv kuwa na hela ni kuwa na AKILI Nchi ina Watu wapumbavu sana hii,hata wezi wana hela lkn sio lazima wawe na Akili,mnamwita rostam kwenye mjadala kweli?
Rostam ni mtaalaam nguli wa mijadala kama hii yenye mrengo wa kibiashara. Hawezi kuachwa kando. Hoja nyingine tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…