Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Sasa ushasema watumiaji wa JF hutumia kwa siri sana.

Utajuaje huyu ni member wa JF na huyu si member wa JF?
 
Hongereni wote mlioweza kukutanishwa na JF πŸ‘πŸ‘

Miaka ya zamani watu waliweza kukutanishwa kupitia events za JF parties kupitia mikoa mbalimbali waliopo.

Baada ya kuasisiwa hizi Siasa za Chuki na kutekana, wengi wanaogopa kukutana na kufahamiana tena.

Tukutane kwenye mabasi,Ndege, Treni ama kwenye viwanja vya Gymkhana tukicheza Golf pasipo kutambuana kwamba huyu Mzee aliyenifunga ndiyo Mzee Grahams πŸ€—
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Au ndo demiss chamdeko, maana hilo saga mimi lilinipita sikujua hata nini kilitokea...
 
Nimekutana nao wengi sana hata jumapili ile iliyopita nilikuwa na mmoja kwenye biashara fulani,nilichoweza kuwashinda ni wao kutonitambua kwa namna yoyote ile na hili nimeliweza kwa sababu mara zote sikuwa interested kutaka kuwajua na wasijue kama nawajua ila mmoja tu nilijichanganya baada ya kufanya nae kazi zaidi ya mara moja.

Ila nilichogundua kupitia niliokutana nao,humu mtu ukipachukulia serious kuna mambo mengi mazuri sana.nimekutana na washauri wa ujenzi,nimepata kununua vitu vizuri sometimes kwa bei za offer pia kushauriana mambo mengi sana na watu smart waliopo humu.
 

Kwenye usafiri wa umma nikamwona mmama anasoma uzi wa kula tunda kimasihara, nilisikitika sana...
Daaah aisee ni vibaya sanaa🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…