Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sasa ushasema watumiaji wa JF hutumia kwa siri sana.Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Utajuaje huyu ni member wa JF na huyu si member wa JF?