Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Yaani nilivyoshtuka hapa, nikajua ulinichungulia kwenye coaster afu hukunishtua daah๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
I'm humbled Maki๐Ÿ™๐Ÿ™

Btw ulikuwa uzi gani huo kama unaweza kuumbuka?

Naamini husiano lako linaendelea vizuri kabisa; mimi nalifurahia tu bila sababu
 
Jf ina watu wa maana sana

Nimepata wateja wa kutosha huku.Asanten sana kwa kuwa sehemu ya biashara yangu.

Nna washkaj pia ambao ni members ilaa huwa hatuna story nyingi kuhusiana na JF japo tunajuana tupo huku.

Ilaa kuna watu mnajua kuzificha ID zenu๐Ÿ™Œ.
 
Aisee nakumbuka hiyo story ya huyo kaka
 
JF ya zamani watu walikuwa wanaandika nondo haswaa tena zile za ndaaaani kuhusu serikali,, ila JF ya siku hizi ni ka Facebook tu, haina haja ya kujificha.
 

JF is a zombies world. Utakuta mtu anamtukana baba mkwe. Binti anamfokea mama yake kama mke mwenza.
 
Demis
 
Mimi sijawahi
 
Mkuu habari.....

kindly, ulichapisha comment kwenye uzi mmoja ukisema utaandaa baadhi ya info za pharmaceutical industry... Nauliza ulichapisha huo uzi if yes naomba nitag nikaupitie.. good luck
 
Najua kuna ambao wanakutana kwa matukio maalum.
Ila si ile ya ghafla kwenye daladala au sehemu ya mkusanyiko.
Watu wengi sana simu zao naona zina App ya Jf, na wanafungua kisirisiri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wakiwa kwenye halaiki za watu๐Ÿคฃ
Mimi nna hii app nafungua kwa uwazi bila kuogopa nimeifatilia jamii forum toka nipo form one, mpaka sasa kwahiyo nipo confidently kuingia na kutoka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ