Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Dah aisee kumbe watu wapo serious hivi na mahusiano!!?
 
Mkuu habari.....

kindly, ulichapisha comment kwenye uzi mmoja ukisema utaandaa baadhi ya info za pharmaceutical industry... Nauliza ulichapisha huo uzi if yes naomba nitag nikaupitie.. good luck
Huwa nadonoa donoa some hints hope before end of this December ntapata wasaa kwa utulivu ntaandika
 
Nilikutana na mwana jf kwenye mauzo ya bidhaa yangu baada ya kuinadi jukwaani. Alikuja hadi kwangu nikampa bidhaa nikapokea mpungu akasepa, hakuwa na mambo mengi na alionyesha ustarabu sana .

Sikumjua ni nani kwa id mana niliweka namba tu na jamaa alinipgia. ila yeye alinijua fika, 2018 hiyo.

Ila wengi nawaona kwenye daladala na japo sijaona id zao
 
Hahaaahaaaa....🀣
 
Nimewala sana mademu wengi wa Jf kwa kutumia Id nyingine ambayo ni maarufu sana humu ndani.

Pia nimekutana na wanaume wenzangu kadhaa humu ndani wenye heshima zao ila katika uhalisia hawajiheshimu , ni waongowaongo na matapeli ukikaa vibaya mara mia hata demu wa Jf ukiwa mwanaume anakupa pussy.

Nb: nashangaaga sana wale wanaotafuta wake Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…