Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutana na bwashee johnthebaptist nikamchukua na pic ya kumbukumbu View attachment 3168101
Sawa wakwetu....Wa kwetu acha hizo tufanye tule kitimoto siku moja.
Ni mbaya sana😀😀😀😀😀😀😀
Ilimradi tu🤣🤣🤣🤣nyonyo kubwa kalio dogo🤣
Pale rau kuna bar moja ipo matata sanaSawa wakwetu....
Nitakuona Christmas...Rau Madukani kwenye Ile Ya kuchoma...
Yaani kama utakumbuka ilikuwa ni balaa.Au ndo demiss chamdeko, maana hilo saga mimi lilinipita sikujua hata nini kilitokea...
Kipindi hiko jukwaa la moto.Utoto mwingi na ujinga pia ulichangia kuwaza kumfanyia ivo huyo pisi kali
Hiyo hiyo...Pale rau kuna bar moja ipo matata sana
Yeah nilishagida ulabu sana pale🤣Hiyo hiyo...
Kulia kama unatokea town?
Ndio, ni ulimbukeni wa mapenziHapo mwisho wa maelezo yako unaweza kuwa umeelewa nilichomaanisha...Mwanaume kutoa picha za mgomvi wake ili iweje...
Ukifuatilia hata Drama nyingi humu wanaume ndiyo huwa wanazileta..kaenda kakutana na KE wa JF anarudi jukwaani kuanza kumtoa kasoro na mengineyo....kitu ambacho kwa KE wa JF ni nadra sana kukiona
Yaani hujaelewa.Kwa nyie wadada hapo ni sawa ila kwangu mimi wala siwazi kama ratiba yangu itaruhusu
Na Kuna wengine wapo hadi wanajiona wazuri kumbe sura za baba 😀😀😀😀Ndio, ni ulimbukeni wa mapenzi
Mbona watu tunamalizana kimya kimya?
Tatizo kuna wadada walikuwa wanajiona malaika na hao ndio walikuwa wanatafutwa😂
Tatizo huanza mnakutaka kwa ajili ya nini. Mimi kuna watu kibao tumefahamiana kupitia humu na wote ni watu wema. Mambo ya kuwinda mademu na kutambiana maisha ndo huwa chanzo cha hayo yote.Yaani kama utakumbuka ilikuwa ni balaa.
Watu walikuwa online hata kula nahisi walisahau.
Yule dada kila akitaka kujitetea, picha zaidi zinatumwa na mbaya zaidi kuna watu walikuwa wanamfahamu kumbe yaani ilikuwa ni vita muraaaa!!!!
Kipindi kile wanawake humu walidhalilika sana, hv unakumbuka sakata la 🦧na ile pisi watu walisema anaishi majuu kumbe yuko Ubungo na ni muhudumu pale Riverside bar?
Wanajf walienda mpaka kwenye ile bar kumpiga picha.
Ila wanaume wa Jf🙌🙌🙌🙌🙌
Pia kuna ile ya kualikwa nyumbani kwa member kisha mgeni akapiga picha muonekano wa chumba kuanzia ndani mpaka nje kisha watu wakaja kuvuana nguo hapa jukwaani?
Zamani ilikuwa raha sana
Afu kipindi kile ma-modereta walikuwa hawafuti post, mnachambana mpaka mmoja aibuke mshindi😂😂😂
Haya, tutafutane😂Kumbuka unakokaa wewe ndiko ninakokaa. Jifiche uone kama sijakupata.
Naunga mkono hoja Kuna bidada aliwahi kuniambia tukutane kariakoo aisee nilishtuka 😃Yaani hujaelewa.
Kuna watu wanaibuka ghafla na kuomba kampani bila woga. Hao ni wa kuwaogopa
ILa demiss alikuwa wa moto na mcheshi sana kabla lile jambo kutokea,kulichangamka sana humu kipindi kile, nakumbuka hadi akaunti yake ya facebook tuliitembelea kuona picha.Yaani kama utakumbuka ilikuwa ni balaa.
Watu walikuwa online hata kula nahisi walisahau.
Yule dada kila akitaka kujitetea, picha zaidi zinatumwa na mbaya zaidi kuna watu walikuwa wanamfahamu kumbe yaani ilikuwa ni vita muraaaa!!!!
Kipindi kile wanawake humu walidhalilika sana, hv unakumbuka sakata la 🦧na ile pisi watu walisema anaishi majuu kumbe yuko Ubungo na ni muhudumu pale Riverside bar?
Wanajf walienda mpaka kwenye ile bar kumpiga picha.
Ila wanaume wa Jf🙌🙌🙌🙌🙌
Pia kuna ile ya kualikwa nyumbani kwa member kisha mgeni akapiga picha muonekano wa chumba kuanzia ndani mpaka nje kisha watu wakaja kuvuana nguo hapa jukwaani?
Zamani ilikuwa raha sana
Afu kipindi kile ma-modereta walikuwa hawafuti post, mnachambana mpaka mmoja aibuke mshindi😂😂😂
Tena toka mbio.Naunga mkono hoja Kuna bidada aliwahi kuniambia tukutane kariakoo aisee nilishtuka 😃