AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
Sasa mbona ulikuwa unakataa na hapa unakubali?Kwani wewe unachukuliaje suala la usingle mother?
Maana duniani kote single mother ni tatizo
Anyway siku njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ulikuwa unakataa na hapa unakubali?Kwani wewe unachukuliaje suala la usingle mother?
Maana duniani kote single mother ni tatizo
Sasa mbona ulikuwa unakataa na hapa unakubali?
Anyway siku njema.
Kabisa mamaKumbe ni hivi? Iwapo ni hivyo, basi Watu hawa hawako sahihi hata kidogo, kwani ikiwa ni hivyo, basi ni unyanyasaji wa grade ya juu kabisa. Sasa ngoja hawa nije niandae mkutano online niwaalike walete hoja zao hizo Ili niwasikilize niwaelimishe jinsi gani hawatendi haki kabisa na asiyetenda haki anarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii, hana analoboresha.
Msife moyo, mjiamini tena mjiamini kwamba, kuwa mzazi mmoja pale inapokuwa haikwepeki siyo dhambi kiasi kuwa binadamu mwingine akunyanyase.
Narejea sasa kutoka Sikonge, Wana sikonge oyeee...
Katrina katrina katrina, utanifanya nikose uteuziHawa hapa mama 👇
Satirical Yet Awesome
Hammer11
Cruel conman
Robert Heriel Mtibeli
Mjanja M1
Hao hapo juu ni baadhi tu ya wanaume katika maelfu ya wanaume humu wanaotusakama sana sisi single mother mama 😭😭
Yaani mpaka tunahisi tuko utupu mbele ya jamii na Dunia kwa ujumla.
Kila siku nawaambia wanaume humu ndani kuwa, kuwa single mother sio kigezo cha kutofikia malengo chanya na wala si kigezo cha kutopata mwenza, kila binadamu ana haki zake za kimsingi na kisheria, kikatiba na kiutawala katika kuheshimu mipaka ya mahusiano au matabaka ya mahusiano.
Mama 🤧🤧 naomba uwaseme sana hawa watu humu ndani maana wengine hupeleka hiyo hulka katika mikutano au makongamano ili tu sie single mother tuonekane ni aina fulani ya jamii ya wanawake ambao hatuhitaji nafasi ya kupendwa tena.
Mama 🤧🤧 waambie kuwa single mother sio mwisho wa maisha na wala si kufeli kimaisha
Single mother wangapi wako vizuri kiuchumi, kimalezi, kielimu au nyanja zozote?
Wapo wengi tu.
Pia sambamba na hili si kila single mother alipenda kuwa hivi, kuna hali fulani ya mahusiano/ndoa hupelekea mwanamke kuwa single
Mama waziri Dkt. Gwajima D kuna baadhi ya wanawake huaminisha umma kuwa single mother hatupaswi kupata wenza. Wamesahau kuwa wao pia huenda walitokea kwenye malezi hayohayo ya mzazi mmoja.
Yangu ni hayo tu mama 🤧🤧🤧
Waseme wakusikie
NB:
Ukirudi ziara Sikonge usisahau kuniletea zawadi 🤗🤗🤗
Pole, ndio ushakosa uteuzi kwa kutunyanyapaa single mothers 👩Katrina katrina katrina, utanifanya nikose uteuzi
Umeandika kama mtotoHawa hapa mama 👇
Satirical Yet Awesome
Hammer11
Cruel conman
Robert Heriel Mtibeli
Mjanja M1
Hao hapo juu ni baadhi tu ya wanaume katika maelfu ya wanaume humu wanaotusakama sana sisi single mother mama 😭😭
Yaani mpaka tunahisi tuko utupu mbele ya jamii na Dunia kwa ujumla.
Kila siku nawaambia wanaume humu ndani kuwa, kuwa single mother sio kigezo cha kutofikia malengo chanya na wala si kigezo cha kutopata mwenza, kila binadamu ana haki zake za kimsingi na kisheria, kikatiba na kiutawala katika kuheshimu mipaka ya mahusiano au matabaka ya mahusiano.
Mama 🤧🤧 naomba uwaseme sana hawa watu humu ndani maana wengine hupeleka hiyo hulka katika mikutano au makongamano ili tu sie single mother tuonekane ni aina fulani ya jamii ya wanawake ambao hatuhitaji nafasi ya kupendwa tena.
Mama 🤧🤧 waambie kuwa single mother sio mwisho wa maisha na wala si kufeli kimaisha
Single mother wangapi wako vizuri kiuchumi, kimalezi, kielimu au nyanja zozote?
Wapo wengi tu.
Pia sambamba na hili si kila single mother alipenda kuwa hivi, kuna hali fulani ya mahusiano/ndoa hupelekea mwanamke kuwa single
Mama waziri Dkt. Gwajima D kuna baadhi ya wanawake huaminisha umma kuwa single mother hatupaswi kupata wenza. Wamesahau kuwa wao pia huenda walitokea kwenye malezi hayohayo ya mzazi mmoja.
Yangu ni hayo tu mama 🤧🤧🤧
Waseme wakusikie
NB:
Ukirudi ziara Sikonge usisahau kuniletea zawadi 🤗🤗🤗
We mtoto acha kulialia humuKatika list ya viongozi active ambao tuko nao humu Jf na wanajibu vyema hoja zao humu, Mh. Waziri Dkt. Gwajima D wewe unaongoza na unapeperusha vyema bendera yako ya uongozi.
Nakukubali sana 🫡🫡👏👏🤝🤝
Sema lalamiko langu kubwa humu ni kuhusu single mother.
Yaani humu ndani single mother tunaongoza kwa kusemwa, kunyanyapaliwa na kusengenywa mpaka tunajiona hatuna thamani.
Nalia mimi waziri ....😭😭😭 🤧🤧🤧
Wanaume wa humu JF sijui tumewakosea nini🥺🥺🥺
Mbona sie single mother tunaweza kulea ndoa zetu na kutimiza majukumu yetu vyema tu, sasa haya masimango yanatokea wapi? 🤧🤧🤧
Naishiwa pumzi waziri!!!
Fake PHivi....
Kumbe kuna watu humu hua wanakutana..🤔
Alikuwa mzuri!Nilikuwa na mpenzi wangu wa kweli humu tukawa tukikutana mara kwa mara baadae tukazinguana akabadilisha id yake ya humu pamoja na namba ya simu hadi leo simpati tena
Ndio nani huyu mkuu...🤨
Your mchepuko mkuu nyie si mnatombanaga na kukojoleana hapo rainbow dodoma!!!Ndio nani huyu mkuu...🤨
Kumbe wamjua een?Alikuwa mzuri!
Nimekuuliza mkuu mi simjuiKumbe wamjua een?