Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Sasa mbona ulikuwa unakataa na hapa unakubali?
Anyway siku njema.

Nimekataa kusema nawakandia ninyi wakati sivyo.

Mimi kuwaambia single mother watafute pesa ndio kuwakandia?
Kuhusu ukweli wa ninyi kutokupewa kipaombele kwenye mahusiano na vijana below 40 Hilo liko duniani kote. Sio Tanzania tuu.

Ndio maana nikawapa ushauri wa Bure. Sasa kumbe Mimi ndio mbaya tena
 
Kumbe ni hivi? Iwapo ni hivyo, basi Watu hawa hawako sahihi hata kidogo, kwani ikiwa ni hivyo, basi ni unyanyasaji wa grade ya juu kabisa. Sasa ngoja hawa nije niandae mkutano online niwaalike walete hoja zao hizo Ili niwasikilize niwaelimishe jinsi gani hawatendi haki kabisa na asiyetenda haki anarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii, hana analoboresha.

Msife moyo, mjiamini tena mjiamini kwamba, kuwa mzazi mmoja pale inapokuwa haikwepeki siyo dhambi kiasi kuwa binadamu mwingine akunyanyase.

Narejea sasa kutoka Sikonge, Wana sikonge oyeee...
 
Kabisa mama
Andaa mkutano wa online uwaelimishe hao wenye imani potofu.

Oyeeee....
Japo mimi kwetu ni Kaliua hukohuko Tabora
 
KATIKA HARAKATI ZANGU ZA UDALALI WA NYUMBA HAPA MOSHI nakutanaga na wadau aseeeeeee wengi wa humu humu jf wakihitaji makazi hata fremu............................ ila ni watu wa zito balaaaa ....mara manager wa benki mara ABC hahahaah sema ndo life lilivyo
 
Hawa hapa mama 👇
Satirical Yet Awesome
Hammer11
Cruel conman
Robert Heriel Mtibeli
Mjanja M1
Hao hapo juu ni baadhi tu ya wanaume katika maelfu ya wanaume humu wanaotusakama sana sisi single mother mama 😭😭
Yaani mpaka tunahisi tuko utupu mbele ya jamii na Dunia kwa ujumla.

Kila siku nawaambia wanaume humu ndani kuwa, kuwa single mother sio kigezo cha kutofikia malengo chanya na wala si kigezo cha kutopata mwenza, kila binadamu ana haki zake za kimsingi na kisheria, kikatiba na kiutawala katika kuheshimu mipaka ya mahusiano au matabaka ya mahusiano.

Mama 🤧🤧 naomba uwaseme sana hawa watu humu ndani maana wengine hupeleka hiyo hulka katika mikutano au makongamano ili tu sie single mother tuonekane ni aina fulani ya jamii ya wanawake ambao hatuhitaji nafasi ya kupendwa tena.

Mama 🤧🤧 waambie kuwa single mother sio mwisho wa maisha na wala si kufeli kimaisha
Single mother wangapi wako vizuri kiuchumi, kimalezi, kielimu au nyanja zozote?
Wapo wengi tu.

Pia sambamba na hili si kila single mother alipenda kuwa hivi, kuna hali fulani ya mahusiano/ndoa hupelekea mwanamke kuwa single

Mama waziri Dkt. Gwajima D kuna baadhi ya wanawake huaminisha umma kuwa single mother hatupaswi kupata wenza. Wamesahau kuwa wao pia huenda walitokea kwenye malezi hayohayo ya mzazi mmoja.

Yangu ni hayo tu mama 🤧🤧🤧
Waseme wakusikie

NB:
Ukirudi ziara Sikonge usisahau kuniletea zawadi 🤗🤗🤗
Katrina katrina katrina, utanifanya nikose uteuzi
 
Umeandika kama mtoto
 
Katika list ya viongozi active ambao tuko nao humu Jf na wanajibu vyema hoja zao humu, Mh. Waziri Dkt. Gwajima D wewe unaongoza na unapeperusha vyema bendera yako ya uongozi.
Nakukubali sana 🫡🫡👏👏🤝🤝

Sema lalamiko langu kubwa humu ni kuhusu single mother.
Yaani humu ndani single mother tunaongoza kwa kusemwa, kunyanyapaliwa na kusengenywa mpaka tunajiona hatuna thamani.
Nalia mimi waziri ....😭😭😭 🤧🤧🤧
Wanaume wa humu JF sijui tumewakosea nini🥺🥺🥺

Mbona sie single mother tunaweza kulea ndoa zetu na kutimiza majukumu yetu vyema tu, sasa haya masimango yanatokea wapi? 🤧🤧🤧
Naishiwa pumzi waziri :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:!!!
We mtoto acha kulialia humu
 
Back
Top Bottom