Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,069
Reaction score
1,958
Yaan usimwamini mtu,
Hata kama ni ndugu,
Nakumbuka mwaka 2001 nikiwa ufaransa namalizia masomo yangu,nikapata mchongo mkubwa wa hela, ni siri yangu sitasema,
Nikaamua niweke mazingira ya kufungua kimradi maeneo ya muleba kagera, mradi
wenyewe sitautaja ila ulikuwa planned kugharimu 12,000 USD then, nikamtumia mdogo wangu kabisa wa tumbo moja aufungue,

Akaenda sehem akanipigia picha majengo kwamba kayakodi hayo,
Nikakubali nikafurahi kwakuwa ilikuwa sehem powa, akasema anaenda dar kufuatilia usajiri na kupitia wizara na taasisi zote husika, nikamuongezea 500 USD, kumbe ndo ilikuwa njia kurudi bongo nakuta jamaa alienda Malaysia, hakuna kitu alikuwa ananidanganya,

Nikataka nimfungulie kesi, wazazi wakaingilia eti undugu ni muhimu kuliko mali,

Iliniuma mno

Je una la ku share nasi?
 
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
 
Duh
 
Hatari sana hii
 
Kuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.

Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.
 
Kuna jamaa mmoja wa iringa nilimtumia hela anunue Mzigo wa watu atume sehem, (2,300,000) akawa ananikwepa nnikipiga simu hapokei mara anidanganye, anachukulia advantage yangu kuwa nje ya Tanzania ananiletea ujinga nishaweka mitego yangu atasoma namba , subir
Poleni
 
Kuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.

Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.
Hehehe huyo mjanjaaa huwez kusema kakupiga
 
Kuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.

Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.

Alijiuzia yeye kwanza then akakipandisha thamani akakuuzia wewe kwa bei yake
 
Mpaka sasa sijawahi kumuamini ndugu/ rafiki katika suala la pesa 'ndefu', ingawa 'kulizwa' '50,30,20' imewahi nitokea mara kadhaa kwa rafiki zangu wa karibu.
Kuhusu ndugu, mzee wangu alishawahi kunipa stori kuwa baba mkubwa aliwahi kumliza stock ya magunia zaidi ya 50 ya nafaka mbali mbali enzi hizo za late 1990's kweusi.
Yaani 'dingi mkubwa' alikodi wezi wakavunje stoo ya mzee na gari lao usiku mnene, akawapa mchoro wote na wakabeba mzigo wakatambaa nao. By then store ya mzee ilikuwa ipo karibu na makazi ya baba mkubwa, baada ya stori hii mzee alinipa marufuku ya kuaminiana na ndugu especially katika biashara.
 
Back
Top Bottom