Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
 
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
Duh.Kweli huwa nawashangaa binadamu tulivyo!Hivi kwa sasa moyo wake na familia yake ikoje anapomwona ndg yake anavyoteseka hivyo?Au anadhani yeye ataishi milele?
 
Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
Mkuu hapo pole sana!
Ni shemeji wa upande gani?ameo kwenu au umeoa kwao!
 
Kuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.

Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.
Ni kweli ila angekuwa vizuri kichwani angenunua na chake Leo mngekuwa mnacheka wote.napenda sana wa hivyo sio mademu na pombe kisa haina jasho.
 
Kamuoa dada yangu kabisa aisee. Aliniahidi atanikabidhi Leo lakini simu hazipokelewi
Mkuu kama ni hivyo pole sana maana mpira uko kwa maadui tena golini kwako!
Ikishindikana tafuta wazee wa kwao wenye busara na hekima walishukhulikie hilo!Kwani ukimbana sana anaweza kukutesea dadako pamoja na wanae( wajomba zako) kama kigezo cha kukutuliza!
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
[emoji24] [emoji24] [emoji24] du pole sana mkuu
 
Mkuu kama ni hivyo pole sana maana mpira uko kwa maadui tena golini kwako!
Ikishindikana tafuta wazee wa kwao wenye busara na hekima walishukhulikie hilo!Kwani ukimbana sana anaweza kukutesea dadako pamoja na wanae( wajomba zako) kama kigezo cha kukutuliza!
Mbaya zaidi ni kuwa nimepata habari kuwa alitengeneza then akauza. Nina hasira sana ninavyoandika hapa. Mungu anipe hekima tu
 
Sina hamu na marafiki zangu yani chumba niwalipie kodi alafu saiv hawatki hata nifike hapo kisa nilienda hapo nikalala kesho elf 50 yangu ikapotea kuwaambiao wanamind sasa nasubiria bado miez miwili kodi iiishe watafurahia show nawaambia na hivi hatuongei tena watajua nan atawapiga tafu kodi mxeeew
 
Unaenda kulala hapo kwa Mabest zako huna mume kwani?
 
Kweli usimwamini mtu, mwaka 2003 nilimpa milioni tano rafiki yangu wa karibu ili aninunulie gari ndogo Dar. Kilichofuata alinidanganya kuwa kamtuma mtu aliyeenda Japan kwa kozi fupi. Mwisho akaniambia mtu huyo hapatikani kumbe ilikuwa namna ya utapeli iliniuma sana.
 
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
🙆🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom