Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,069
- 1,958
Kuna wengine anakutapeli anakuwahi kwa mgangaDunia ya leo mtu akinitapeli nafuu nifanye ushirikina nimuue tu
HahahaCCM inawatakia jioni njema.
DuhKuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
Hatari sana hiiKuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
Huwezi amini mkuu yaan hapo kuna mambo mawili jamaa kamzulumu mdogo ake na bado kuna mambo ya nyumba za urithiHatari sana hii
PoleniKuna jamaa mmoja wa iringa nilimtumia hela anunue Mzigo wa watu atume sehem, (2,300,000) akawa ananikwepa nnikipiga simu hapokei mara anidanganye, anachukulia advantage yangu kuwa nje ya Tanzania ananiletea ujinga nishaweka mitego yangu atasoma namba , subir
Hehehe huyo mjanjaaa huwez kusema kakupigaKuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.
Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.
Namjua huyo jamaa nipe hiyo kaziKuna jamaa mmoja wa iringa nilimtumia hela anunue Mzigo wa watu atume sehem, (2,300,000) akawa ananikwepa nnikipiga simu hapokei mara anidanganye, anachukulia advantage yangu kuwa nje ya Tanzania ananiletea ujinga nishaweka mitego yangu atasoma namba , subir
Kuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.
Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.
Hahaha jinga sanaKwa Mimi niliyetapeli itabidi nianzishe Uzi kwa waliotapeli ndugu zao