Mkuu kwann uliishia njiani DITHuwa sipendi hata kuyakumbuka maisha yangu ya shule, visa na mikasa mingi, kuna kipindi ndoto za kuwa shule ziliniandama saana, kuna sehemu nilipaswa kufika ila haiko hivyo.
Kuanziia primary mpaka O level A zilikuwa za kuokota hata kwenye giza.
Form 5 kwa uchache
6 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
DIT mwaka mmoja niliopiga pale mabanda nilikuwa nayo ya kutosha.
May b ndio fate yangu. 🙏
Upo nje ya mada [emoji28]Mimi furaha yangu ni advance form six somo la account ile mitihani ya kanda kimkoa nilipataga 100%.
Aise niliosha sana sana...
Unataka akuambie kuwa amepigika kimaisha na anafanya vijikazi ambavyo hata angeishia la tano angeiweza? Ili utafiti uende vizuriHebu tuambie sasa hivi kimaisha ukoje na unafanya shughuli gani? Kuna tafiti nafanya kuhusiana na ile concept isemayo akili ni kile kinachobaki kichwani baada ya kuondoa elimu yoooteee ya darasani uliyojifunza.
Hongera mkuu, huenda kwa sasa utakuwa unafanya kazi kwenye kampuni kubwa za uvumbuziWakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.
Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Tuliowahi pata F 4 Tukutane hapaWakuu kwema!

Nikiwa Kidato cha Kwanza ,,, kabla impurities hazijaingia kichwani NILIKUWA NABONDA A Tena SoMo la kiswahili ndiyo nilikuwa napata kama 95 hivi,,, lakini mengine yote kama siyo 100 basi 97,98,99.Kimbembe baada ya impurities kuingia kichwani,,,, down head ilipoanza kuendesha mwili.Kuja kukaa stable ni pale Kidato ya pili nikaambulia Average ya B+Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.
Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Nipo napiga consultancy tu mzee. Mimi ni mtaalam wa communication. Nimebobea katika maswala ya Uandishi wa Habari,Uhusiano na Mawasiliano. Mungu mwema silali njaa mjini. Ninapata kazi za kwenda kufanya Uganda,Kenya nk. Japo nimesoma St. Kayumba ila English yangu inawatisha mpaka vijana waliosoma shule za kizungu.Unakazi gani ndg
Nililia sana siku nilipopata matokeo yanayoonyesha masomo yote nimepata F
Hayo mambo ya A A A A A A A A A A A A A hayana maana hapo baadaye kwenye maisha. Wengi tunayo na hata hatutaki kabisa kukumbuka. Ukikua utagundua hayo mambo ni kama chocolate kwa mtoto ili atulie na kupata moyo kwa kuendelea mbele. Mkuu A za kweli zipo baada ya shule kwisha! Tafuta hizo, A za darasani hutakumbuka hata cheti chako umekiweka wapi.Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.
Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Kabisa mkuu aniongezee some inputs kwenye tafiti yangu hahaaaaaUnataka akuambie kuwa amepigika kimaisha na anafanya vijikazi ambavyo hata angeishia la tano angeiweza? Ili utafiti uende vizuri
Mahenge-ulanga-MorogoroMsomi, Kwiro sekondari ipo mkoa gani?Kuna ulozi nataka niufanye.