Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

Huwa sipendi hata kuyakumbuka maisha yangu ya shule, visa na mikasa mingi, kuna kipindi ndoto za kuwa shule ziliniandama saana, kuna sehemu nilipaswa kufika ila haiko hivyo.
Kuanziia primary mpaka O level A zilikuwa za kuokota hata kwenye giza.
Form 5 kwa uchache
6 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
DIT mwaka mmoja niliopiga pale mabanda nilikuwa nayo ya kutosha.

May b ndio fate yangu. 🙏
Mkuu kwann uliishia njiani DIT
 
Mimi hesabu ndio nilikua napata A masomo mengine sasa. Nashukuru mpaka namaliza kusoma level zote sijawahi pata F[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu tuambie sasa hivi kimaisha ukoje na unafanya shughuli gani? Kuna tafiti nafanya kuhusiana na ile concept isemayo akili ni kile kinachobaki kichwani baada ya kuondoa elimu yoooteee ya darasani uliyojifunza.
 
Unataka akuambie kuwa amepigika kimaisha na anafanya vijikazi ambavyo hata angeishia la tano angeiweza? Ili utafiti uende vizuri
 
Wakuu kwema!

Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.

Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.

Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Hongera mkuu, huenda kwa sasa utakuwa unafanya kazi kwenye kampuni kubwa za uvumbuzi
 
Wakuu kwema!

Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.

Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.

Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Tuliowahi pata F 4 Tukutane hapa
 
Nikiwa Kidato cha Kwanza ,,, kabla impurities hazijaingia kichwani NILIKUWA NABONDA A Tena SoMo la kiswahili ndiyo nilikuwa napata kama 95 hivi,,, lakini mengine yote kama siyo 100 basi 97,98,99.Kimbembe baada ya impurities kuingia kichwani,,,, down head ilipoanza kuendesha mwili.Kuja kukaa stable ni pale Kidato ya pili nikaambulia Average ya B+
..... Nilikuja kupata 100 tena Chuo papaer kama 3 hivi....
 
Unakazi gani ndg
Nipo napiga consultancy tu mzee. Mimi ni mtaalam wa communication. Nimebobea katika maswala ya Uandishi wa Habari,Uhusiano na Mawasiliano. Mungu mwema silali njaa mjini. Ninapata kazi za kwenda kufanya Uganda,Kenya nk. Japo nimesoma St. Kayumba ila English yangu inawatisha mpaka vijana waliosoma shule za kizungu.
 
Sijawahi pata A zote kwa kweli ila chuoni kuna course nilipata A na hiyo ndo inanipa pesa nzuri na connection za kutosha. Mungu ni mwema.
 
Mh nilipataga A ya kiswahili sekondari
Nikaja kupata A chuo za kunitosha tu

Kuna watu watasema A ya kiswahili wana mashaka nayo kulingana mwandiko wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu kwema!

Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.

Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.

Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Hayo mambo ya A A A A A A A A A A A A A hayana maana hapo baadaye kwenye maisha. Wengi tunayo na hata hatutaki kabisa kukumbuka. Ukikua utagundua hayo mambo ni kama chocolate kwa mtoto ili atulie na kupata moyo kwa kuendelea mbele. Mkuu A za kweli zipo baada ya shule kwisha! Tafuta hizo, A za darasani hutakumbuka hata cheti chako umekiweka wapi.
 
Unataka akuambie kuwa amepigika kimaisha na anafanya vijikazi ambavyo hata angeishia la tano angeiweza? Ili utafiti uende vizuri
Kabisa mkuu aniongezee some inputs kwenye tafiti yangu hahaaaaa
 
Mm university tu ndo nliwanyoosha,kupata A kawaida sana na ckuwahi kupata B plain Wala C
 
Back
Top Bottom