Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

Wakuu kwema!

Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.

Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.

Karibuni kwa mjadala Wakuu.
Wazee wa CCCCC na DDEF(g.s) advance mupo
 
Ok, tuambie uko ofisi/kitengo gan nowadays!
 
Sijawahi kabisa
 
Nilipiga mara tatu form one, form 2 na necta pia niliosha cheti na A zote, advance nilipata A zote necta tu
 
Huwa sipendi hata kuyakumbuka maisha yangu ya shule, visa na mikasa mingi, kuna kipindi ndoto za kuwa shule ziliniandama saana, kuna sehemu nilipaswa kufika ila haiko hivyo.
Kuanziia primary mpaka O level A zilikuwa za kuokota hata kwenye giza.
Form 5 kwa uchache
6 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
DIT mwaka mmoja niliopiga pale mabanda nilikuwa nayo ya kutosha.

May b ndio fate yangu. 🙏
Engineer 👨‍💻
 
Back
Top Bottom