Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
- Thread starter
-
- #61
Tofauti na umbali kuna dalili unaweza kuziona kwenye gari lako...mfano gari kupunguza nguvu, gari kutokuchanganya haraha kama mwanzo, ulaji wa mafuta kuongezeka na sometimes kama zimechoka sana unaweza kupata misfiring...Mkuu aksante sana kwa elimu nzuri unayoitoa hapa na uzoefu wako kwenye magari...
Naomba unisaidie jambo...nitajuaje kuwa spark plugs zinatakiwa kubadilishwa tofauti na huo umbali ulioshauri???
Aksante Mkuu kwa maelezo mujarabu...Tofauti na umbali kuna dalili unaweza kuziona kwenye gari lako...mfano gari kupunguza nguvu, gari kutokuchanganya haraha kama mwanzo, ulaji wa mafuta kuongezeka na sometimes kama zimechoka sana unaweza kupata misfiring...
Angalizo...
Kama fuel pump imechoka, air filter kama imeziba au ni chafu sana pia unaweza kuona hizo dalili hapo juu..
Kwa hiyo hizo dalili zinategemea sababu nyingi sometimes hata MAF iliyochafuka au kuharibika utaona dalili hizo na zaidi utapata check engine light
Nickel/copper spark plugs...Za nickel vp mdau???
ntarudi
kufungua cylinder head ingechukua mda gani?Leo tarehe 9/3/2020 nilikuwa nina ratiba ya kubadili Spark plugs kwenye kausafiri kangu..
Niliponunua nikarejea nyumbani, nikachukua vifaa vyangu nikaanza zoezi la kutoa plugs za zamani na kuweka mpya.
Kwa kifupi ingekuwa ni kazi ya kutwa nzimakufungua cylinder head ingechukua mda gani?
gari yako ni aina gani?Kwa kifupi ingekuwa ni kazi ya kutwa nzima
gari yako ni aina gani?
Plug zingine ni fake.Leo tarehe 9/3/2020 nilikuwa nina ratiba ya kubadili Spark plugs kwenye kausafiri kangu..
Niliponunua nikarejea nyumbani, nikachukua vifaa vyangu nikaanza zoezi la kutoa plugs za zamani na kuweka mpya.
Shukrani kwa ushauri mkuuPlug zingine ni fake.
Mimi huwa nanunua plug pale palipokuwa ofisi za tigo zamani kabla kuhama ..pale kamata panaitwa GATHANI..karibia na kituo cha basi GOLDSTAR...