Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono.

Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi.

Imewahi kukutokea?
 
Binafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo

Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.

Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
 
Huyo pisi akupendi mi mwanamke nikiwa nae kwenye relationship kwanza nikimshika anaanza kutetemeka
Ukigusa chini maji kama yote

Anza kumuandaa kisaikolojia pia tengeneza mazingira mazuri sio unanuka jasho unaenda kumpanda mdada wa watu

Pia tengeneza romantic body sio mwanaume kitambi ichooo
 
Binafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo

Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.

Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Zingatia kufanya mara kwa mara utaipenda tu kuzidi mvuta sigara anavyopenda sigara
 
Mimi huo ujasiri wa kuhisi ngono ni ziada kwangu sina kwakweli😂😂
 
Binafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo

Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.

Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Utakuwa na tatizo kwenye mfumo wako wa sexual hormones particularly in sexual impulses transmission to the brain.
 
Back
Top Bottom