Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

Na i-solve vipi hiyo mkuu? Kuna muda najishtukia sana
Nenda hospitali kubwa ( mkoa au rufaa) muone Doctor wa maswala ya uzazi, yeye atakupa muongozo. Sometimes hali hiyo hutokea kwasababu za psychology depending on kind of environments/lives you had grown up in.
 
Na i-solve vipi hiyo mkuu? Kuna muda najishtukia sana
Kuna watu wanapenda kucomplicate maisha; sasa hapo kwani unaumwa nn??? Unakosa nn??? Sex is so overrated na km hutaman wala hu enjoy nothing wrong with you. At least utaishi maisha ya amani kuliko kuhangaika na mapenzi, ngono na usaliti pamoja na magonjwa ya zinaa. Na ungekuwa shoga ndo kabisaaa maisha yako yangekuwa magumu zaidi. So shukuru sana wewe ni asexual
 
Duuh mimi napenda sanaa sex sijui kwakuwa nimechelewa kuanzA ngono… sema wangu mimi hapendi ngachoka sana
 
Binafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo

Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.

Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Njoo nikupatie dawa.Hizo ni raha za dunia
 
Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono.

Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi.

Imewahi kukutokea?
Mke wangu, hajawahi kupenda sex ila nikitaka mimi ananipa na ushirikiano anatoa, na anajishangaa kumbe alikuwa na hamu na hajijui! Iko hvoo
 
Mimi huwa sipendelei sana hiyo michezo
IMG_20250523_231707.jpg
 
Back
Top Bottom