Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Zingatia kufanya mara kwa mara utaipenda tu kuzidi mvuta sigara anavyopenda sigaraBinafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo
Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.
Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Mwanaume au mwanamke?Imewahi nitokea hii, yaani kwake ngono ni kitu cha ziada sana
🤣🤣🤣Mimi huo ujasiri wa kuhisi ngono ni ziada kwangu sina kwakweli😂😂
Utakuwa na tatizo kwenye mfumo wako wa sexual hormones particularly in sexual impulses transmission to the brain.Binafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo
Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.
Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Na i-solve vipi hiyo mkuu? Kuna muda najishtukia sanaUtakuwa na tatizo kwenye mfumo wako wa sexual hormones particularly in sexual impulses transmission to the brain.