Nenda hospitali kubwa ( mkoa au rufaa) muone Doctor wa maswala ya uzazi, yeye atakupa muongozo. Sometimes hali hiyo hutokea kwasababu za psychology depending on kind of environments/lives you had grown up in.Na i-solve vipi hiyo mkuu? Kuna muda najishtukia sana
Kuna watu wanapenda kucomplicate maisha; sasa hapo kwani unaumwa nn??? Unakosa nn??? Sex is so overrated na km hutaman wala hu enjoy nothing wrong with you. At least utaishi maisha ya amani kuliko kuhangaika na mapenzi, ngono na usaliti pamoja na magonjwa ya zinaa. Na ungekuwa shoga ndo kabisaaa maisha yako yangekuwa magumu zaidi. So shukuru sana wewe ni asexualNa i-solve vipi hiyo mkuu? Kuna muda najishtukia sana
Njoo nikupatie dawa.Hizo ni raha za duniaBinafsi yangu sio mpenda ngono, Ingawa pia naheshimu sana maneno ya Mungu.
Mke wangu anafahamu, kwahiyo anahitaji kunichokoza chokoza sana ili nihamasike. Mind you Wife ni mzuri(kwangu) na ninampenda, na wala sichepuki ila Iko tu hivyo
Advantage: Kuweza kudumu kwenye tendo mda mrefu sana bila kumaliza, na mara nyingi ku fake kwamba nimemaliza.
Disadvantage: Kuto ku enjoy tendo mara nyingi, kwahiyo unafanya kama wajibu na sio starehe.
Mke wangu, hajawahi kupenda sex ila nikitaka mimi ananipa na ushirikiano anatoa, na anajishangaa kumbe alikuwa na hamu na hajijui! Iko hvooUmewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono.
Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi.
Imewahi kukutokea?
MwanamkeMwanaume au mwanamke?
Naam..Kuna watu wanapenda ngono kuliko kula.
Mimi huwa sipendelei sana hiyo michezo
πππ
Utakufa hey hey hey yu will die na utamu wakoπππ
Kama wanaume wenyewe hamtulii wacha tuwanyime tuUtakufa hey hey hey yu will die na utamu wako
Kama hatulii mtulize...Kama wanaume wenyewe hamtulii wacha tuwanyime tu
Kama mtu hatulii hata ufanyaje hawezi kutulia, ni heri kumnyima tu asikupe magonjwaKama hatulii mtulize...
Kwani shi ngapi πππ
Uchawi huanzaga hvi mpaka unaona mtu kafikia hatua ya kuloga jua alianza kama weweKama mtu hatulii hata ufanyaje hawezi kutulia, ni heri kumnyima tu asikupe magonjwa
Naam..
Nimesikia unaniita mkuu