Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?


  • Total voters
    111
Polisi waaminifu na wazuri wapo wachache sana,ni kama 8% tu siyo zaidi ya hao.
 
0.0005% ndio imani yangu kwani wanatumika na ccm mpaka wanaboa,cjui uelewa mdogo mpaka kupelekea kutumiwa?
 
Nina 0% ya imani juu ya jeshi hili, wao ndio waarifu wakubwa, inshangaza sana eti jeshi hili linaendeshwa na mtu ambaye awali alifanya kazi Iterpol?????... Kweli muuaji wa raia anapandishwa cheo?? Angalia mauaji ya kina zombe, polisi wanatangaza wameua jambazi lakini baadae kesi inaisha hakuna anewajibishwa hata kwa kutokusudia basi, angalia mauaji na wizi wa Dar kariakoo, Mara nyingi sasa nawashauri wenzangu kama una hela, majambazi wanakufukuza na polisi wanajua unazo hela ni bora ukimbilie upande wa majambazi ukubali kuwaachia pesa maana polisi watakuua na watachukua pesa, utakosa vyote

 
Nawaamini kwa 10% tu!. Laiti wangefanya kazi zao kwa ueledi waliofundishwa bila shaka tusingefika hapa tulipo. lakini sasa limekuwa ni jeshi la chama tawala na sio la wananchi.
 
berenya; -0 + 0=??? Naheshimu mawazo yako mkuu, ila naomba seriousness kwa wachangiaji wengine!
 
Last edited by a moderator:
Naliamini kwa 2o%. hii ni kutokana na kusikiliza kauli za watafuna inch
 
nikikutana na polisi naona niko hatarini kuliko jambani,sina imani kabisa na jeshi la polisi kwa 100%
 
nikikutana na polisi naona niko hatarini kuliko kukutana jambazi,sina imani kabisa na jeshi la polisi kwa 100%
 

Wewe ungeomba mods wakuwekee katika mfumo wa kura ya maoni ambapo mtu unabonyeza tu kitufe na maoni yako yanarekorediwa. Hii ya kila mtu kuandika lake, utakuwa na wakati mgumu kufuatilia huu uzi.
 
there is no need of blah blah the answer is 0%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…