Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?


  • Total voters
    111
Ni full majanga wapo 1%ni waadilifu kidogo sana lakini wengi wapo kibiashara zaidi wanawabambikia Raia kesi na ucheleweshaji kesi maksudi Waige mfano toka Kenya na Uganda wakuu wa jeshi la Polisi ni Wanajeshi na Wakuu wa Majeshi wana Nguvu sana na imesaidia angalau kidogo nidhamu ya kijeshi ipo tofauti na hapa tz kuingia bure kutoka Pesa .
 
Jeshi la policcm siliamia hata kidogo. 0%

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
kwa kuua, kura rushwa, kushirikiana na waharifu 100%
 
Ninaliamini kwa 20%. Wako polisi waliwazuia wenzao wasipige raia kule Arusha. Polisi mwingine aliumizwa akimzuia Mwangosi asiuawe.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sina Imani na serikali ya CCM
Sina imani na jeshi la Polisi
Sina Imani na Mahakama
Sina Imani na spika wa Bunge
Sina Imani na waziri Mkuu
Sina Imani na Rais mtembezi kama Vasco Da gama
 
Siwaaamini kabisa kwa 96 per cent.sababu,hawafanyi kazi kwa kufuata sheria,bali kwa kuelekezwa tu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hawa wapumbavu sina imani nao kwa 0%. Tena ikibidi -100%
 
5% kwa ajili ya wale achache ambao bado wanauzalendo sema wanaoopa kufukuzwa kazi maana maisha ya mtaani ni noma.
 
Kama mwenye nyumba anaweza kumwamini mbwa koko basi hata jeshi la polisi linaweza kuaminiwa. Imani yani kwa jeshi la polisi ni -100% (yaani asilimia hasi mia moja)
 
Mama timmy; Unawapa asilimia ngapi za ujumla kuanzia kwenye detective intelligence, kupambana na rushwa, usalama wa raia na mali zao (usisahau madai ya fedha za Kariakoo na kukutwa na bangi sambamba na kukutwa na kichwa cha mtu kwa lengo la kumbambikiza mtu kesi) Vilevile kwenye kudhibiti madawa ya kulevya, ujambazi na ulinzi shirikishi.We nipe tu marks za jumla unawaamini kwa asilimia ngapi?
 
Last edited by a moderator:
mama koku; Kura yako itaharibika ndugu, umesema huliamini kwa 0% au ulitaka kumaanisha imani yako kwa jeshi la polisi ni 0%?
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu masikini; Najua wako tayari kusambaratisha maandamano ya Walimu endapo mtadai maslahi yenu, lakini pia wanajitahidi kulinda fedha zenu dhidi ya cyber criminals japokuwa teknolojia yao ni ndogo.Embu tuambie Mwalimu Masikini; unawapa asilimia ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Sababu ya kutotumia akili zao wenyewe asilimia 5% tu naweza kuamini polisi.
 
90% Nimeangalia kimapana yake.mazaifu yapo ndo maana cjatoa mia.wafanyie kaz tu kila kitu kinawezekana
 
Back
Top Bottom