Naliamini.siyo kila mahali ni wabovu kwani ingelikuwa hivyo hata amani hii kidogo tuliyonayo isingelikuwepo.
Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
Usijidanganye ndugu yangu.sisi siyo wastaarabu wa kiasi hicho.mfano mzuri Angalia tunavyofungana barabarani hata Kama taa zinaongoza Magari asipokuwepo Askari wa usalama barabarani ni lazima tutafungana hapo kati kati.huo ndo ustaarabu wetu?Amani kidogo tuliyonayo ni kwa sababu watatnzania ni wastaarabu tu, Lakini Police ndio wavuruga amani nambari one hapa nchini wakitumiwa na Chama Cha Majambazi
Kama ingelikuwa Inawezekana ningeliomba polisi wote waende likizo kwa masaa 24 halafu ungeuona huo uoga wa watanzania .huku uswahilini kuna wababe ndugu yangu na Kama si kuwepo kwa polisi ambao tunawadharau sana tusingelikaa kwa amani hii kiduchu.kitu cha thamani ukiwa nacho hauwezi ona thamani yake mpaka kikutoke ndipo utaijua thamani yakeNaliamini.siyo kila mahali ni wabovu kwani ingelikuwa hivyo hata amani hii kidogo tuliyonayo isingelikuwepo.[/QU[/QUOTEAmani hii tuliyonayo Makala Jr ni kutokana na waTz kua wavumilivu na uoga tuliokua nao toka enzi hizo vinginevyo hakuna Amani hapa
mimi nawapa asilimia 10 na hii ni kwa ajili ya wale tu polisi wanaopokea matatizo mapokezi wanafanya kazi yao vizuri kuwapokea watu wenye kuleta matatizo baada ya hapo kinachofatia ni ubabaishaji tu.Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
mimi nawapa asilimia 10 na hii ni kwa ajili ya wale tu polisi wanaopokea matatizo mapokezi wanafanya kazi yao vizuri kuwapokea watu wenye kuleta matatizo baada ya hapo kinachofatia ni ubabaishaji tu.Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
Sina Imani na serikali ya CCM
Sina imani na jeshi la Polisi
Sina Imani na Mahakama
Sina Imani na spika wa Bunge
Sina Imani na waziri Mkuu
Sina Imani na Rais mtembezi kama Vasco Da gama