Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?

  • Total voters
    111
Then what? Mods ondoa huu ujinga maana haina tija kwa mtu yeyote.....,any way we mbona hatuna Imani na baba yk Kama ni wa kweli mbona haijabadolisha kitu
 
kwa asilimia 30
Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
 
Jeshi hili la polisisiemu naliamini kwa 10% tena kwa baadhi yao ambao ni wachache sana.limekuwa ni jeshi la ccm ambalo linatekeleza mauaji,na linatumika kuua demokrasia.
 
0% lakini hawajali kwa sababu wao ni tawi la CCM ambao wataondoka nao madarakani.
 
5% bado wapo hao wachache wanaolibeba jeshi kwa asilimia hizo tajwa.
 
Sijajua hata niwaamini kwa lipi, kama ni kwa ajili ya kupiga, rushwa, kuua watu wasio na hatia, then i believe they can (Ref to Mr. Pinda)
 
polisi kama polisi hawana tatizo ila tatizo linakuja baada ya kupata shinikizo toka chama tawala hapo ndio tatizo kinachotakiwa ni kurekebesha polisi wafanye kazi zao kama askari si kuambiwa na kushinikizwa
 
KISHINDO; Hapo kiufupi huliamini jeshi letu kabisa, kweli hutambui mchango wao hata kidogo?
 
Last edited by a moderator:
100% naamini kwamba wapo.
80% naamini ni wala rusha.
20% wako mbele kufanya kazi zinazoleta maslahi binafsi
5% wanafuata sheria za kuwepo kwao.( mfano wanavaa sare, wanakwenda likizo, n.k)
 
Ndugu wanaJF, Naomba maoni yenu juu ya imani yenu kwa jeshi la polisi kuhusu utendaji kazi wake na mahusiano yake na jamii katika kudhibiti vitendo vya rushwa,uhalifu sambamba na kuzuia na kupambana na hali zote zinazoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Lengo la kuomba maoni yako ni kunisaidia mimi kwenye kuandaa matokeo kutokana na utafiti mdogo ninaofanya kuhusu "MAHUSIANO BAINA YA VYOMBO VYA DOLA NA RAIA KATIKA KUSIMAMIA HAKI" Tayari nimekusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na wananchi kuhusu mahakama na magereza. Niambie unaliamini jeshi la polisi kwa asilimia ngapi? 100%, 90%, 80%, 70%, 60%, 50%, 40%, 30%, 20%, 10% au 0% Naomba umakini (seriousness) uzingatiwe katika kujibu. Karibuni
Matokeo mpaka sasa ni haya:

attachment.php
 
Attachments

  • maoni polisi.PNG
    maoni polisi.PNG
    5.5 KB · Views: 150
Sina imani hata Kidogo! Nimefanya kazi na jeshi hilo kwa karibu kwa zaidi ya miaka nane, yaliyoko ndani ya jeshi la polisi ni majanga, kuna unafiki mwingi sana, uongo mwingi sana undumilakuwili, ulozi, wizi nk nk, na ni kuanzia ngazi za juu mpaka chini kabisa. Narudia tena sina imani hata Kidogo na jeshi la polisi
 
mshana jr; Pole sana mkuu, maneno yako yanaonesha ushuhuda na kutoridhia hali halisi iliyoko ndani ya jeshi la polisi.Kuhusu ulozi huwa nasikia sana na hata upande JWTZ lakini binafsi kwa namna ambavyo wenzetu wanawekeza kwenye mafunzo na teknolojia, sidhani kama tunaweza kuwa mahiri kwa kuwekeza kwenye ulozi!
 
Last edited by a moderator:
Shelui; Hata Morsy alianza kuwapuuza wananchi kama unavyotaka wewe, polisi tunawalipa kodi zetu na wanawajibika kwetu sisi raia kwani kuna tatizo gani kuwafanyia evaluation ili kama kuna sehemu wanakosea wajirekebishe?
 
Last edited by a moderator:
Mentor; Mkuu umesahau kwamba mwenye macho haambiwi ona!
 
Last edited by a moderator:
Bora sungusungu kuliko madhalimu hawa Polisi
 
Jeshi linatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya. Kwa sasa ni mkusanyiko wa wafanyabiashara ya kula rushwa huku gharama za mradi huo zikibebwa na wananchi. Kwa ufupi jeshi la polisi ni fedheha.
 
Back
Top Bottom