nchimbi,,,,,,,,anawaamini hao na anawapenda sana,,,,,
si hayo tu waliowauwa wachimba madini wa mahenge ni kina nani? wanaouwa majambazi bila wao kudhurika na bila uwepo wa ushahidi kuwa ni majambazi ni kina nani?1.Waliomteka ulimboka?
2.Waliomuwekea vinasa sauti dodoma Dr.slaa kwenye gesti ni nani?
3.walio mmwagia tindikali said kubenea nani?
4.walio muwekea sumu mwakyembe ni nani?
5.waliokuwa wakishuhudia machemuli na H.kiwia wakikatwa katwa mapanga ni nani?
Hayo maswali yanatosha kulituhumu jeshi la polisi kuhusika na unyanyasaji dhidi ya wapinzani wa serekali.
Kwa hiyo ikiwa Dr.Ulimboka alikuwa mwiba ndio maana wakapanga kumuua....Aaaaaaaaaaaaaa, sasa nimemwelewa katibu mkuu kiongozi...Ikiwa utakuwa mwiba kwa serikali, basi usalama wa taifa wanakuua..... Hii njema...tamko toka ikulu
katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.
Huku akihojisababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wwa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana ini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.
Kumbe ukiwa tishio kwa wananchi unanyamazishwa (una uwawa) na serikali hii mara moja kama ilivyotaka kumnyamazisha Dr Uli.. hawa jamaa kweli wamepigwa upofu maana hata matamshi yao wanayatoa bila kuyapima na kujua kama yana madhara au la.tamko toka ikulu
katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.
Huku akihojisababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wwa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana ini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.
[h=6]tamko toka ikulu
katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.
Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wwa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana ini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.[/h]
Kwako Mh. Nchimbi,
Salaam! Natumaini umzima wa afya na unaendelea vema na shughuli zako za kuiongoza Wizara Nyeti ya Mambo ya Ndani ya Nchi ambayo Jeshi la Polisi liko chini yake. Mheshimiwa, inawezekana kabisa kuwa Dr. Slaa, Mnyika na Lema wamezusha madai kuwa kuna mpango wa kuwadhuru ambao unasukwa na Vigogo wa vyombo vya usalama. Siwezi kusema ni kweli au la mpaka uchunguzi utakapokamilika.
Ila Mheshimiwa kwa kuwa tuhuma zimetolewa hadharani na wewe ukatoa kauli hadharani itakuwa vema uchunguzi ukikamilika taarifa nayo iwekwe hadharani.
Ningependa kukufahamisha kuwa wananchi walio wengi (mimi nikiwa mmoja wao) hawana imani na Jeshi la Polisi. Kuna viashiria vingi tu vya kukuonyesha kukosa imani kwa wananchi na chombo hiki muhimu ambacho kiesemwa na Katiba na sheria kuwa kina jukumu la kuwalinda raia na mali zao.
Moja ya viashiria Mheshimiwa ni kuongezeka kwa wimbi la kile kinachoitwa "raia wenye hasira kali" kutoa hukumu ya kipigo kikali na pengine hata kifo kwa watuhumiwa wa makosa ya udokozi na ukwapuaji wa mali za raia wenzao. Hujawahi kujiuliza kwanini raia wanapowakamata watuhumiwa huwa hawawapeleki Polisi na badala yake wanatoa hukumu wao wenyewe???
Kwa taarifa Mheshimiwa, wananchi walio wengi wanaona kupeleka mashauri yao polisi wakati mwingine ni sawa na kupoteza muda na hata fedha. Mara nyinigi utatakiwa kununua au kutoa fedha za jalada la kufungulia shauri lako na utatakiwa kutoa fedha au kununua karatasi za kuchukulia maelezo yako.
Hapo upelelezi haujaanza. Upelelezi ukianza utatakiwa kutoa fedha za usafiri kwa askari aliyepangiwa kufanya upelelezi wa shauri lako na wakati mwingine kuvunja shughuli zako na kuambatana nao wakati wa kile wanchokiita kumtafuta mtuhumiwa wako.
Wakati mwingine utatakiwa kutoa fedha za mawasiliano (kununulia muda wa maongezi) na posho ya kuwalipa watu wanoitwa informers wa Polisi ambao wengi wana record Mbaya katika jamii halafu upelelezi unaweza kuendelea milele hasa inapotokea mtuhumiwa naye anakuwa na uwezo wa kuwapooza wapelelezi.
Mheshimiwa, katika mazingira haya bado utasema kuwa mtu asiyeliamini Jeshi la Polisi kwa maana ya askari Polisi wanaotekeleza majukumu ya Ki-polisi ana matatizo? Ningekushauri ufanye uchunguzi uone ni mashauri mangapi yaliyofunguliwa polisi ambayo walalamikaji wameamua kumwachia Mungu matatizo yao baada ya kuona wamegeuzwa ng'ombe wa maziwa na wapelelezi wa polisi, kesi zilizotupiliwa mbali na mahakama baada ya wapelelezi kupeleka ushahidi wa kitoto kwa lengo la kutengeneza mazingira ya watuhumiwa kuachiwa huru na mahakama.
Nawasilisha hoja!
tamko toka ikulu
katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.
Huku akihojisababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wwa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana ini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.
yuko sahihi.... jaribu kusema huna imani na chadema hapa JF kama hujaonekana una matatizo???
Mwamba ngoma huvutia kwake.
Mwambie Dk. Slaa huna imani na chama chake atasema una matatizo ya akili ... ndivyo nchimbi kasema.
Kusema huna imani na jeshi la si sawa. Ila huna imani na baadhi ya watendaji wa jeshi la polisi, lakini pia huna iman na serikali iliyowatelekeza askari poli na kuwaacha kufanys kazi katika mazingira magumu.
Kuna baadhi ya askari wanafanya kazi mpaka unakubali kazi zao, lakini wengine ni waovu. Tatizo si chombo, balli ni watu na serikali yao dhaifu
1.Waliomteka ulimboka?