Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

Wivu haukwepeki, hata watu wakiona hulali njaa kama wao wataona wivu 😁😂
Kikubwa ujue duniani ni uwanja wa vita
Umesema vizuri sana,watu wanaweza kuwa na wivu tu kwa vile mambo fulani fulani siyo shida kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…