Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

Kuna muda nikikumbuka nilivyokuwa kijana mdogo nilikuwa natamani kuwa na life fulani la kama don, gari kubwa nyumba ya ghorofa, akaunti imejaa dola. Lakini nikaja kugundua ni utoto tu, cha muhimu zaidi ni uhai na afya njemaπŸ˜ƒ
 
Hahaha, muda bado upo si wana sema life begins 40 hapo πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…